ITV - Independent Television Limited (ITV) ni kampuni shirikishi ya IPP Limited. ITV ilianza shughuli zake mwaka 1994 ikiwa na kituo kimoja cha televisheni na kituo kimoja cha redio ambacho ni ITV na Radio One.
Mwaka 2009 kampuni ilizindua kituo kingine cha Capital Television na Capital Radio.
Mawaziri wa CCM leo kwenye sherehe za CCM Morogoro mbele ya Karibu Mkuu wakijibu kero kwa wananchi wamedhihirisha kuwa maamuzi mabovu ya serikali yao ni chanzo cha matatizo Kwa Watanzania.
Ona mifano hii. Waziri wa kilimo anasema serikali ya Mhe. Samia Ina nunua mazao ya wakulima wakati wa...
Huyu wa leo naomba akapimwe akili jamani
Yaani kwa kuumizwa kule mwanfunzi hawa walimu
Sio hivi hivi wana shida ya utimamu wa akili jamani. Yaani mwenzio kachafua hali ya hewa hana wiki na wewe unaenda kurudia yale yale
Hivi walimu mmelogwa?Au ndio kampeni yenu mmeiandaa 2023 kuumiza watoto...
Superbrand Afrika Mashariki vipi tena. Matangazo yenu yanakatakata sana. Taarifa ya habari saa 2 ndio usiseme. Tatizo lipo wapi? Tena ni muda sasa satelite zenu zinasumbua sana hadi binafsi naondokewa na mood ya kutazama vipindi vyenu
Hivi inakuaje TV ambao wakristo na waislamu wanaingalia kutwa kupiga nyimbo za injili hii sahihi kweli? Yaani kila siku Saa kumi na mbili asubuhi ITV na startv wao nyimbo za injili tu huuu si ubaguzi huu jameni?
Mbaya zaidi kwenye taarifa za habari au vipindi vyao watangazaji wao wanawafosi...
Nilimsikia Inspekta Haroun akihojiwa ITV Jumapili iliyopita usiku, aliongea kwa akili na alionyesha ukomavu. Tofauti na wasanii wengine niliowahi kuwasikia, hakuwa analalamika au kuponda wenzake, na majibu yake yalionyesha kuwa ni mtu ambaye kichwa chake kipo safi.
Nafurahia ujio wake, mimi...
Tokea uipate Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini (kama sijakosea) mwaka Jana umekuwa ni Mnoko Mnoko na mpenda Kujipendekeza (Kujikomba) kwa Mamlaka (Serikali) hasa pale Wachangiaji wa Kipindi cha Malumbano ya Hoja wakiwa Wanaikosoa.
Kinachonishangaza hasa Mimi...
Kipindi chenu cha kipima joto cha leo, hakikuwa na mvuto sababu ni staged!
Hakina mvuto sababu kama Taifa bado tunasafari ndefu sana!
Mambo muhimu kama ya umeme, maji , Afya, Elimu etc ,tuweke mambo ya siasa mbali, tuwe na focus kama nchi! hao ilipaswa waulizwe maswali ambayo hayakupangwa...
Wale matapeli wa Vanila village Njombe sasa wamehamia Zanzibar. Na ITV iliyokuwa ikiwatangaza wakiwa Njombe (Vanila village Njombe) ndiyo Sasa inawatangaza wakiwa Zanzibar (Vanila village Zanzibar).
Hawa ITV ndiyo waliohusika kuwatangaza Kaylinda waliochezesha upatu kwenye mitandao na kisha...
Mjumbe wa Kikosi Kazi cha Prof. Mukandala Mhe. Zitto Kabwe yuko mubashara kipindi cha Kipima Joto ITV.
SWALI: Ripoti ya Kikosi Kazi kuhusu Demokrasia ya Vyama Vingi. Je, imejibu matarajio ya wananchi?
Karibu!
=======
Zitto Kabwe
Kwa mazingira ya Tanzania, mchakato wowote hauwezi kumkwepa...
Nasikiliza hapa mkurugenzi wa Bima ya Afya NHIF (Benard); Kaulizwa hivi, Mtu akistaafu inakuwaje?
Kajibu kuwa kwa Mtumishi wa Uma ataendelea kupatiwa huduma. Mtangazaji hakuwa makini kumuuliza na kwa mtumishi wa Secta Binafsi inakuwaje? shame!
Yaani kwa mfano; Raia mmoja aajiriwe...
Habari wananzengo..
Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa
Turudi kwenye mada inawezekana vipi chombo kikubwa kama ITV, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. Kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni...
Kuna mjadala unaendelea ITV hapa kuhusu tatizo la panya road kuibuka tena, watu wanatiririka maoni yao hapa ila muongozaji wa mdahalo ambaye ni mtangazaji Maulid Kambaya ni kama akisikia mtu akitoa maoni ambayo hakubaliani nayo anaanza kumkaba hoja yake kabla hajamaliza
Achani watu watoe maoni...
Utapeli wa mtandaoni ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Kuna aina nyingi sana huu utapeli wa huko mitandaoni. Ukiachana na wale wazee wa "Hiyo pesa tuma kwenye namba hii", kuna huu utapeli mpya ulioingia wa kuwakusanya vijana kisha kuwaaminisha kuna kampuni fulani inatoa commission unapofanya mambo...
Nimemsikia bila aibu asubuhi hii akiwa Radio One akitetea mabasi yote yaanzie Mbezi/ Magufuli bus terminal bila kujali mateso wanayopata abiria wa mbali.
Hivi Kambaya basi likianzia Kigamboni na abiria 10 likapitia Mbezi stendi likajaza abiria na kulipa ushuru wa stendi kisha likaendelea na...
Binafsi mimi na watoto wangu hupenda kuangalia vipindi vya ITV kwa sababu vingi ni vizuri hata kwa watoto.Kwa muda mrefu tulizoea kuangalia tamthiliya ya uzalo saa 1:30 jioni,kifupi tamthiliya hii inafaa hata kuangaliana watoto kwa sababu muda huo hata watoto wanakua hawajalala.Cha kushangaza...
TAALUMA YANGU MASHAKANI.
Elimu Tanzania imekuwa sekta ambayo inatazamwa kama chanzo au nyenzo kuu ya kuzalisha wasomi au watatuzi wengi wa matatizo yanayoikumba jamii katika nyanja zote za maisha lakini imekuwa tofauti hadi sas wasomi kuzalaulika kwa jamii na kuonekana kama wajinga maana wasomi...
Huyu jamaa huwa anatumia syllabus gani...mbona kama namna anaelezea mifumo ya engine na utendaji wa magari ni wa zamani ..
Ni sawa na mm kusoma kitabu cha zaman kinachoelezea namna engine za petrol na diesel zinafanya kazi where utakuta kitabu cha mwaka 70 huko ambavyo ndo vingi vimejaa ma...
Wataalam na watafiti wa masuala ya Uhifadhi wamesema hatua zinazofanywa na Serikali kuhifadhi maeneo muhimu Kitaifa na Kimataifa ikiwemo ikolojia ya Serengeti na Ngorongoro ina tija kubwa kwa kizazi cha sasa na kijacho na ina maslahi mapana kwa wadau wote wa uhifadhi Duniani.
Kwanza kabisa niipongeze Kampuni ya ITV kama channel pendwa. Niwashirikishe changamoto inayoikabili ITV.
Kipindi cha taarifa ya habari ni kipindi muhimu sana kwanza inatazamwa na karibu wananchi wote wa Tanzania na Afrika Mashariki lakini baadhi ya watangazaji hawaitendei haki kipindi hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.