Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Credit Suisse, Tidjane Thiam ,62, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti ya kushiriki katika uchaguzi wa urais wa Ivory Coast unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba.
Mwaka 2023, Thiam alichaguliwa kuwa kiongozi wa PDCI moja ya vyama...
Alliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Credit Suisse, Tidjane Thiam ,62, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti ya kushiriki katika uchaguzi wa urais wa Ivory Coast unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba.
Mwaka 2023, Thiam alichaguliwa kuwa kiongozi wa PDCI, moja ya vyama...
Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara ameamuru Wanajeshi wa Ufaransa nchini mwake kuanza kuondoka kuanzia Januari hii.
Katika ujumbe wake mnamo Desemba 31, 2024, Rais Ouattara amesema “tumechukua uamuzi kwamba Wanajeshi wa Ufaransa waanze kuondoka Côte d’Ivoire kwa njia iliyopangwa.”
Ufaransa...
Familia imenogewa na kiti cha Urais baada ya Mume sasa Mke naye akitamani kiti hicho!
===================
Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast, Simone Ehivet Gbagbo ametangaza kuwa atagombea katika Uchaguzi wa Urais wa 2025, akisisitiza kwamba anataka kuijenga Ivory Coast mpya.
Amesema kuwa...
Utafiti unaonyesha kuwa chanjo mpya ina ufanisi zaidi ya 75% katika kuzuia magonjwa na vifo vikali katika mwaka wa kwanza na kwamba kinga huongezwa kwa angalau mwaka mmoja zaidi kwa kupata chanjo ya ziada yaani booster.
Zaidi ya 94% ya takribani visa milioni 249 vya malaria duniani na vifo...
Mchezaji mfupi kuliko wote nchini akiwqzidi madifenda wa zamani akina George Magere Masatu au Paulo John Masanja Dickson, Dickson Job ameachwa katika kikosi cha stars kwa madai ya kugomea kucheza beki wa kulia kwenye mchezo dhidi ya DRC.
Huyu bila kupepesa macho wala kuleta ushabiki, ingekuwa...
Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi
Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas
Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu
Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo
Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo
Mchezo umeanza
Dakika...
Sebastian Haller, mshambuliaji wa Ivory Coast aliyefunga magoli muhimu katika mechi za mwishoni zilizoipa Ivory Coast ubingwa wa AFCON 2023 amerudi kwenye klabu yake ya Borussia Dortmund na kupokelewa kwa staili hii.
Mchezaji wa AFCON wa nchi yako amepokelewaje aliporudi klabuni kwake...
Pesa, nyumba na heshima zinatolewa kwa wanasoka kutoka Ivory Coast na Nigeria, baada ya mchujo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Jumapili. Kila mchezaji katika kikosi kilichoshinda cha Ivory Coast ataweka mfukoni $82,000 (£65,000) zaidi ya shilingi milioni mia mbili za kitanzania na...
Baada ya Ivory Coast kutwaa ubingwa wa Kombe la Matafa ya Afrika (AFCON 2023) kila mchezaji anatarajiwa kupata Dola 82,000 pamoja na nyumba ikiwa ni ahadi ya Rais wa taifa hilo, Alassane Ouattara.
Upande wa Nigeria walioshika nafasi ya pili kila mchezaji atapata Tuzo ya Heshima, nyumba na...
Tazama hizi ni barabara za Ivory Coast kwa uchache.
Ivory Coast ni nchi imekuwa kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe hadi miaka ya hivi karibuni.
Angalia miundombinu yao ya barabara.
Jiulize Tanzania tunakosea wapi?
Katika mechi za mwisho hatua ya makundi katika mashindano ya AFCON 2023, Ivory Coast walikuwa wanahitaji Morocco ishinde mechi yake dhidi ya Zambia ili iweze kuinusuru Ivory Coast kuweza kuvuka hatua iliyofuata ya 16 bora. Na kweli, Morocco ilishinda 1-0 na Ivory Coast ikavuka kama best loser...
Baada ya Ivory Coast kutwaa ubingwa wa AFCON 2023, mfungaji wa goli la ushindi Sebastien Haller alihojiwa na Waandishi wa Habari, akiwa katikati ya mahojiano akaanza kulia.
Hatua hiyo ilitokana na kumbukumbu kuwa mwaka mmoja uliopota alirejea uwanjani baada ya kuwa nje ya uwanja kwa miezi sita...
Majira ya Saa 5:00 Usiku kutapigwa mchezo wa Fainali ya AFCON 2024 ambapo Nigeria atawavaa wenyeji Ivory Coast.
Ni mchezo unaovuta hisia za wengi hasa kutokana na viwango vya timu zote mbili. Nigeria ikionekana ni timu iliyokamilika huku Ivory Coast unyumbani ukiwasaidia.
Kura yako unampa nani...
***** yaani Mali akanifanya nijione leo namkalisha kanji kipindi chote cha kwanza mpaka cha pili baada ya goli nikajiona nimemaliza kazi!
***** alooo Ivory coast walinishangaza kama mtu kavamiwa na nyuki, sio kwa boli lile jamani ule ni uchawi, yaani timu iko pungufu baada ya red card halafu...
Licha ya Timu ya Taifa ya Ivory Coast kucheza pungufu kuanzia kipindi cha kwanza dhidi ya Mali katika Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika, bado hiyo haikuwa kikwazo cha kuingia Nusu Fainali kwa kushinda magoli 2-1, Februari 3, 2024.
Ivory Coast ilimpoteza Odilon Kossounou aliyepata kadi...
Katika bara ambalo linavituko na linawatu ambo hawako serious bas ni Africa ndo maana umaskini umetamalaki na uongozi mbovu in general.
Mwaka jana 2023 pacome alipokea tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya ivory coast kupitia tuzo.
Swali la kujiuliza mchezaji bora waziri humjui kabisa hiki ni...
“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndiyo nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”
Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.