KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas.
Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu usajili wake ulikuwa gumzo kutokana na utambulisho wake uliofanyika Julai 15 alfajiri huku akitegemewa...
Wanaharakati wa Haki za Wanawake wamesema Mswada unaopendekezwa wa kuhalalisha na kurejesha tena ndoa ya wake wengi kwa Wanaume, ni kurudisha nyuma jitihada za vita vya usawa wa kijinsia Nchini humo.
Ndoa za wake wengi zilipigwa marufuku nchini humo mnamo 1964 huku Tume ya Umoja wa Mataifa ya...
Serikali ya Mali inawashikilia wanajeshi 50 wa Ivory Coast ikidai ni mamluki waliowasili Nchini humo kwa mgongo wa kuwa wanafanya kazi na Umoja wa Mataifa
Msemaji wa Serikali ya Mali, Abdoulaye Maiga amesema wanajeshi hao waliwasili kinyume cha sheria akiwaita watu hao ni ‘mamluki’ na kuwa...
Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Patrick Achi amewasilisha barua ya kujiuzulu kwake na kwa Serikali yake.
Rais Alassane Ouattara amekiri ukweli wa taarifa hiyo maamuzi ambayo yalitangazwa baada ya mkutano wa Baraza la Mawaziri ambapo alikubali kujiuzulu.
Mkutano huo ulifanyika leo Aprili 13, 2022...
Natamani ifanyike kampeni kubwa ya kuhamasisha timu yetu ya taifa kwenye mashindano ya AFCON 2023 yatakayofanyika Ivory Coast 2023.
TFF na Serekali huu ndiyo wakati wa kuunganisha nguvu kuwashirikisha wadau na wanachi kwa ujumla kwenye kampeni hiyo.
Updates
TIMU ya Taifa Tanzania 'Taifa...
Benki ya Maendeleo ya Afrika imemualika Rais Samia Suluhu kuhudhuria Jukwaa la Wawekezaji Afrika litakalotoa fursa ya kuwakutanisha na wawekezaji na kusaidia upatikanaji wa mitaji.
Mualiko huo umetolewa leo na Rais wa Benki hiyo, Dkt Adesina Akinumwi alipozungumza na Rais Samia kwa njia ya simu...
Mwendo wa kuendelea kutia Afrika yote kwapani na kukimbia nayo. Hapa Afrika Mashariki na Kati tulishamaliza mchezo, tumefika pia SADC sasa tunelekeza pua.
Magharibi na Kaskazini mwa Afrika, hili bara lina watu zaidi ya bilioni, yaani parefu sana.
======
Sendy Ltd, a Kenyan digital logistics...
Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast Bi Simone Gbagbo leo ameshiriki katika uzinduzi wa harakati ya kisiasa, ikiwa ni hatua moja kuelekea kuasisi chama chake cha siasa kwa ajili ya uchaguzi wa rais wa mwaka 2025.
Simone Gbagbo ametilia mkazo mwelekeo wake wa kuwa na "Kodivaa yenye nguvu, iliyo...
MKURUGENZI MKUU WA POSTA IVORY COAST ATEMBELEA POSTA TANZANIA.
Na Mwandishi Wetu, Dar e's Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Posta Ivory Coast na Mwenyekiti wa Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Afrika (PAPU) na Umoja wa Posta Duniani (UPU), Ndugu Isaac Gnamba Yao ametembelea Makao Makuu ya Shirika...
Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara amejitenga baada ya kuwa karibu na mtu ambaye aligundulika na Virusi vya Corona. Jina la mtu huyo halijawekwa wazi.
Ametoa wito kwa Wananchi kupata Chanjo dhidi ya Ugonjwa huo na kuheshimu Kanuni ambazo zimewekwa ili kupambana nao.
Endapo muda wake wa...
Serikali ya Ivory Coast imewasimamisha Wakaguzi wote wa majaribio ya kuendesha magari Nchi nzima ikisema inasafisha sekta hiyo
Miongoni mwa sababu za uamuzi huo zimetajwa kuwa ni udanganyifu, ufisadi na ongezeko la ajali za barabarani. Kuanzia wiki ijayo, zoezi la majaribio ya udereva...
Nchi jirani za Afrika ya Magharibi za Ghana na Ivory Coast wiki hii zimepokea mzigo wa chanjo za bure aina ya Covax na kuanza kuwachanja raia zao.
Wa mwanzo kuonesha mfano wa kupokea chanjo hizo alikuwa ni raisi Nana Akufo-Addo Ghana. Mara baada ya kuchanjwa raisi hiyo alisema anataka aoneshe...
MV PROBO KOALA hii ilikuwa ni meli ya kubeba mafuta iliyokuwa imekodiwa na kampuni ya Traffigura yenye makao makuu nchini Singapore. Meli hii ilikuwa na usajili wa nchi ya Panama na kumilikiwa na kampuni ya wagiriki Prime Marine Management Inc.
Meli hii ilikuwa imebeba petrol yenye ubora wa...
Katika uchaguzi wa rais uliofanyika Cote d'Ivoire siku ya Jumamosi, tume ya uchaguzi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi imemtangaza Rais Alassane Ouattara kuwa mshindi kwa asilimia 94.27 ya kura zote zilizopigwa
Tume ya Uchaguzi ya Ivory Coast imetangaza Alassane Outtara kama mshindi wa uchaguzi...
Opposition protesters see Ouattara's bid for a third term as unconstitutional
Ivory Coast voted in a presidential election on Saturday with opposition leaders rejecting the ballot after a boycott and pockets of unrest against President Alassane Ouattara's attempt to secure a third term.
At...
Rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo amezuiwa kugombea urais katika uchaguzi ujao baada ya mahakama kuidhinisha uamuzi wa tume ya uchaguzi.
Wakili wake Claude Mentenon amelimbia shirika la habari la AFP amesema kuwa kuna matatizo menginezaidi ya kisheria ndani ya Ivory coast dhidi yake...
Salaam wanaJF.
Kwa watu wanaomfahamu Laurent Gbagbo, wengi bado tunakumbuka alivyoondolewa madarakani kwa aibu na nguvu baada ya wapinzani wake kupata support kubwa kutoka ufaransa na washirika wake. Kwa mda kidgo, nimekuwa nikitafakari kilichokuwa nyuma ya nguvu kubwa ile na kwa namna gani...
Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Amadou Gon Coulibaly amefariki dunia ghafla baada ya kuzimia, Bw Coulibaly alizimia ghafla wakati akiwa kwenye kikao cha Mawaziri
Baada ya kuzimia alichukuliwa ni kukimbizwa Hospitalini ambako baada ya muda alitangazwa kuwa amefariki
Bw Coulibaly alikuwa anatarajiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.