jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. Chief Kumbyambya

    Mwanamke andika neno BLUETOOTH, mwanaume reply CONNECTED, mwanamke kama umemwelewa jamaa reply SUCCESSFFULLY

    Tutapata date za kumalizia mwaka, haya twende kazi... Sema JF Bluetooth ziko chache sana
  2. Stephen Ngalya Chelu

    Moja ya mashujaa wanoishi

  3. February Makamba

    Hivi huyu jamaa wa kujiita maarifa anaimba nini?

    Oya wana kibaha eeeh!! Em njooni apa. Hivi hii ndio finest yenu? Yani kibaha nzima hakuna msanii wa maana mkaamua mtuletee huyu maarifa?? Ana maarifa gani? Anaimba utumbo gani? Kuna mtu anamuelewa kabisa huyu jamaa wa kujiita maarifa?
  4. M

    Gaming Act inaruhusu watu wazima kucheza kamari. Sasa mbona Waziri Mkuu anamzuia huyu jamaa?

    Waziri Mkuu amemuonya mtumishi wa umma kuacha kucheza kamari kwa kuwa muda wote ataliwa tu. Atachukua mikopo benki na bado ataendelea kuliwa ambapo ataingiwa na msongo wa mawazo. Amempata kazi mtumishi mwingine kumfuatilia mtumishi huyo
  5. Jackal

    Anayewafahamu hawa jamaa onyeshe mkono!

  6. MakinikiA

    Huyu jamaa kazaliwa South Africa matendo yake yanafanana na tabia za Kiafrika

    Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe Wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalum hadi kufikia Nov. 17, 2022 jioni Musk amesema "Ili kwenda mbele, kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na kufanikiwa katika Ulimwengu unaozidi...
  7. M

    TRA inapataje kodi za Kariakoo wakati jamaa hawatoagi risiti

    Kariakoo ni kituko sehemu kama ile ningefikiria ndiyo iwe focal point ya ukusanyaji wa mapato lakini nenda duka lolote kariakoo ukanunue kitu alafu omba risiti uwone. Kwanza wana kali moja hiyo, wanakuambia bila risiti bei inapungua, mbili, ukiwa unachukua mzigo mkubwa unapeleka mbali...
  8. S

    Daah! Ama kweli muosha huoshwa. Mcheki huyu jamaa aliyekuwa na confidence la "kufa mtu" kabaki kichwa tu

    Bado na wewe (fulani) unayepuuza sauti zetu siku za kuanguka kwako zinakaribia.
  9. Vifaranga200

    Umughaka jamaa mmoja hapa JF nimependa sana

    Huyu bwana namfuatilia Sana he is awesome. Sio mkorofi historia ya maisha yake mpaka response to critic anapata humu. Huyu MTU UMUGHAKA angesima angekuwa daktar mzuri sana. Kuna muda baadhi ya watu tukubali kuwapa heshima zao tu
  10. tutafikatu

    Hata tupoteze watu elfu, wale jamaa huwa hawakatizi safari.

    Viongozi watanzania huwa hawajali. Hata mfe mamia au maelfu kwenye ajali moja hawawezi katisha safari zao, sembuse makumi. Shida huwa hakuna uwajibishaji. Utawasikia wapiga tarumbeta wao wakikwambia kwani akifupisha ziara, atakuja kuwafufua wafu? Au wewe bwege wajua faida ya ziara? Tuna...
  11. Chizi Maarifa

    Hamis Kigwangala tena, huyu jamaa sijui shida nini

    Hii itakuwa kazi ya Hamis Kigwangala. Huyu ndiyo alimchonga mjomba wake akaja kutuambia ni Hayati Baba Wa Taifa J.K Nyerere. Alipoonesha watu kwa mara ya kwanza wakawa hawaelewi anawaonesha sanamu ya nani. Ndiyo mmoja mtu mzima mwana CCM kindaki toka miaka ya 70 akauliza hiyo sanamu ya nani...
  12. Nyuki Mdogo

    Jamaa anapenda mizigo mizito huyu

    Wachache sana watajua namzungumzia nani. hebu vuta picha😂😂😂, jamaa ni maarufu.
  13. britanicca

    Waziri Mkuu Majaliwa anawaangalia kama hawaoni vile ila anipiga kazi sana

    Kasim Kasim Kasim Kasim Majaliwa nimekutaja mara nne , Una mapungufu yako ya kuwa obdient sana kwa aliyekuchagua yeyote Ila kazi yako naikubali sana Naona Cross broad ya Kikwete na Mkapa !!!! May be one day nitafufua uzi huu mwaka 2030 Mungu atuweke , Wewe na Hussein Mwinyi mnakubalika zaidi...
  14. enzo1988

    Hawa Wayahudi ukiwagusa tu unalo!

    Hii ndiyo hali anayokumbana nayo msanii Kanye West baada ya kuwagusa "wenye dunia yao"(Wayahudi)! Jamaa alitoa kauli hii “I’m a bit sleepy tonight but when I wake up I’m going death con 3 On JEWISH PEOPLE The funny thing is I actually can’t be Anti Semitic because black people are...
  15. Execute

    Jamaa wa Iran kanikaribisha nikatalii nchini kwao akisema nikiwa na Usd 100 nitaishi kama mfalme

    Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
  16. comte

    Jamaa huyu anaomba msaada

    Jamaa alikwenda baa jana akanywa na kulewa. Ila aliweza kurudi nyumbani akiendesha gari lake na kweza kuliegesha kama inavyoonekana; sasa ameshindwa kulitoa anaomba msaada
  17. M

    Kama kweli jamaa anajiamini yeye ni mwanaume kweli afanye hivi

    Kama kweli anajiamini yeye ni kidume asijifiche ajichanganye hadharani kama zamani. Aende sokoni kama kariakoo. Asitumie sana usafiri binafsi. Asijifiche jifiche. Hapo nitamuamini jamaa kweli mwanaume. Ila kwa wabongo wanavyokera utasikia huyooo huyoooo kachapiwaaa huyooo huyoo kagongewa. Yaani...
  18. ankai

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

    Yaaani nimeshindwa kuelewa mshauri wa masuala ya usalama katika nchi analeta utoto kama huu duuh
  19. Sa 7 mchana

    Jinsi watu wanaingia Marekani kimazabe

    Ama hakika maisha ni safari ndefu, USA inaonekeana kuwa kimbilio kwa wanyonge walio wengi. Vipande vya video nilivyoambatanisha zinaonesha vile watu walivyo serious na maisha mpaka kuamua kuchukua risk kubwa mno kutembea kwa miguu zaidi ya kilometer 7200 kuitafuta boda ya kuingia marekani...
  20. MK254

    Jamaa aua watu sita na kujiua Urusi, raia wameanza kuchanganyikiwa

    Taifa limefika pabaya, damu ya watu wa Ukraine itawatia pabaya Warusi....wajaribu na kurekebisha mapema... Ukraine walikua wanaendesha nchi yao kwa amani, tena kidemokrasia walikua wameizidi Urusi, unawakuta na kusambaratisha nyumba zao, na kuwaua halafu unategemea watu wako waishi kwa amani...
Back
Top Bottom