Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Tazarn Alfan Mwambengo (27), mkazi wa Ukonga, ambae anatuhumiwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu kifo cha Dkt. Harrison Mwakyembe kupitia chaneli ya televisheni ya mtandaoni jambo ambalo si la kweli.
Katika chaneli hiyo ya mtandao...
Yaani kajitambulisha week mbili ago. Wakwe zake watarajiwa wanamsumbua kuwa atamwoa mtoto wao lini? Hazipiti siku mbili wanampigia au kumtumia msg kuwa asimsahau mwenzie pale kwao.
Mashemeji zake nao wanamwambia shem mchukue dada yetu muanze furahia maisha. Yaani huyu mchumba kifupi pale kwao...
Huyu jamaa zamani alikuwa serious mtu kazi. Mnapeana kazi kila mtu anamaliza kwa wakati mnafanya majumuisho mnasonga mbele.
Hapa katikati amebadilika sana.mnaweza peana majukumu nyie mkamaliza yeye mkakuta anasua sua na kuwakwamisha sometimes. Ukimpigia anasema yupo busy sana mara sijui nini...
Ni dhahiri kachezea kichapo, ngumi za kwenye uso, ila alipohojiwa nani kampiga akagoma kutoa jibu.
Kwa hasira alizo nazo Putin sasa hivi inabidi kukaa mbali naye, hata kama una urafiki naye wa karibu kiasi gani, utachezea za uso muda wowote...
Ukraine inamuuma kichwa sana kwa kweli...
Kuna MC fulani kitaa ni muongeaji mzuri, kuna siku alikuwa ana kazi mbili. Moja ilikuwa kuongoza ibada ya mazishi makaburini mida ya alasiri kwenye msiba wa mtu wake wa karibu, alipewa kazi hii kutokana na kuwa muongeaji mzuri.
Usiku alikuwa na kazi ya kuongoza sherehe ya harusi na alilipwa kwa...
Rafiki yangu(37) ni single father with 3 kids, ana mchumba wake mganda ambaye naye ni single mother(37 yrs) with one kid. Alikuwa rafiki yake wakati wakisoma chuo, wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate, jamaa anaishi Dar, mrembo anaishi Kampala wakaanzisha uhusiano.
Muda wa...
Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....
Habari wakuu
Nimekuwa na msemo mkubwa sana ambao umekuwa ukitumika sana, "tafuta pesa". Hasa linapokuja masuala ya kuhonga, lakini ndugu unaweza ukajisifu unahonga ila kuna watu wanahonga sana wewe cha mtoto.
Ngoja niwape kilichomkuta jamaa yangu, kilinisikitisha, nisingipenda nitaje majina...
Last week Kuna harusi moja, niliitafuta clip yake nikaipata.
Bwana harusi amewatambulisha ex wake ukumbini, lakini aliwaomba wasisimame, hi inaonesha aliwaharika kwenye sherehe.
Bwana harusi huyo alimuuliza mke wake(Bibi harusi) Kama atakuwa amemkwanza lakini alisema hapana,
Kitu hiki...
Habari zenu wana JF.
Pichani hapo jamaa aliekamatwa akichinja mbwa, akiwa na mbwa huyo, ameshamchinja tayari. Akijiandaa kwenda kumchuna na kumkatakata mishikaki.
Wazee wa kupenda mishikaki pili pili, muwe makini na wauzaji wenu. Kuna siku watu wataanza kulishwa na paka aisee.
Habari za mchana wadau,
Basi bhana, jana nikiwa ndani ya treni kama kawaida nikielekea home. Basi bhana ghafla nikaskia taarifa ya habari kutoka Idhaa ya Kiswahili sauti ya Japan, nikaskia mtangazaji akisema "Dar-es Salaam, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametengua nafasi ya bosi wa...
Mtu mmoja ambaye hajajulikana amevunja milango na kuiba fedha taslimu pamoja na vitu mbalimbali vyenye thamani ya Sh. 7,760,000 mali ya Shirika la Jiokoe na Umaskini yaani Stars of Poverty Rescue Foundation (SPRF) lililopo katika Manispaa ya Singida mkoani hapa.
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika...
Sio kwamba nimesimuliwa hapana.
Huyu jamaa yangu alihitimu bcom in accounting kutoka pale udbs miaka kadhaa iliyopita.
Basi majuzi kati tuko nae ghetto tunapiga mvinyo tukaona tangazo kutoka kwenye kampuni kubwa mafuta lenye makao makuu yake huko Uingereza wakihitaji mhasibu kigezo ni uwe na...
Mwanaume mmoja kachukua hatua ya kuua mtoto baada ya kugundua kuwa mtoto sio wake, baada ya kuchukua Simu ya mkewe na kuona anawasiliana na Baba wa mtoto.
Nafikili Jamaa alikuwa anatoa na huduma kabisa za mtoto yani alimchulia mtoto ni wake.
Jamaa kaua mtoto lakini Sasa anashikiliwa na Jeshi...
Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikuwa this time lazima alambe ajira.
Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.