jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. Action and Reaction

    Huyu jamaa sijawahi kumwelewa katika uchambuzi wake!

    Sijui anaitakia nini tasnia ya michezo, akisemwa anablock watu!
  2. SuperHb

    Kuna meseji nzito imemchangaya jamaa yangu

    Habari za saa hizi ndugu zangu. Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo KIUFUPI Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato...
  3. lee Vladimir cleef

    CCM wote ni walewale, lakini kwangu mimi Naona afadhali kuongozana na Rais Samia kuliko aliyepita

    Nchi sasa imepumua, hakuna kupotezwa, hakuna kutekwa, hakuna kutukanwa,hakuna kufokewa hakuna uongo, hakuna vitisho, hakuna kubaguliwa hakuna kunyanyaswa kwenye nchi yeti wenyewe. Kama ukiniuliza kati ya wawili hao mimi ni bora samia.Yule jamaa hakua mtu. Hofu inapungua taratibu kwa sababu...
  4. MR.NOMA

    Jamaa amemkumbatia mke wa Mjeda na kumbusu, kuja kutahamaki kumbe Mwenye Mke alikuwa pembeni ya fensi na panga lake akifyeka miti!

    Wakuu habari za Leo! This is true story. Imetokea hivi karibuni hapa jijini Dar, Kuna jirani yangu amenisimulia nimshauri afanyaje maana, hivi karibuni akiwa anaingia kupata Moja moto moja baridi kwenye glossary ya jirani yetu mwingine ambaye ni Mjeda na amemfungulia glossary mke wake hapohapo...
  5. JF Member

    Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

    Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu. Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje. Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha? Maana najisikia...
  6. K

    Godfrey Mwakikagile nani anamfahamu huyu jamaa anaonekana ameandika vitabu vingi sana na Mtanzania

    Mwakikagile's books are used in various academic disciplines up to the post-graduate level including doctoral studies. He has also been invited to give lectures at different colleges and universities. And as a public intellectual, he has also been sought for interviews by BBC, PBS and Voice of...
  7. B

    Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

    Huyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini mwezi wa tano sasa. juzi akawa anasema kuwa baba yake anaumwa mafua makali na kikohozi nikamuuliza...
  8. K

    Jamaa yangu ana pass Degree lakini tayari kapata kitengo

    Kuna jamaa yangu tumepiga nae shule, yeye alikua sio mtu wa ile misuli mirefu,kapata pass degree grade.ila cha kufurahisha ni kwamba jamaa tayari kalamba mkataba kwenye kampuni kubwa tu linalojihusisha na utengenezaji na usambazaji wa cement hapo mjini Daslamu. Binafsi zamani nilikuwa najua mtu...
  9. Niache Nteseke

    Huyu Jamaa Kabakiza Siku Chache Kupoteza Uhai. Hatari Sana...!

  10. K

    Jeshi la Uhamiaji mmepiga gwaride zuri, sijawahi kuwaza hawa jamaa ni Askari

    Hii nchi ina siri kubwa kwenye mfumo wa Ulinzi, Watendaji wa Uhamiaji ukikutana nao huwezi sema ni jeshi, Naamini Mwalimu wakati anatengeneza mfumo wa nchi aliona mbali Sana. Jinsi miaka inavyozidi kwenda ndipo Watanzania wanatambua kauli ya kwamba wananchi wote ni Askari. Kama Hawa hjamaa ni...
  11. Sky Eclat

    Jamaa alifundishwa jinsi ya kujitambulisha kwa watu muhimu, na alichofanya ilikuwa hivi

  12. YEHODAYA

    Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

    Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja. Mwenyewe...
  13. Replica

    Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

    January Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei. Akijibu swali la mdau alieuliza mkanganyiko kati ya...
  14. Suzy Elias

    Hayati Magufuli angejaliwa subira hakika angekuwa habari nyingine

    Pamoja na kupungukiwa subira hakika JPM alikuwa na tamaa ya dhati kabisa kuisaidia Nchi yetu iweze kufikia maendeleo ya kweli. JPM hakuwa na subira ya hata chembe kitu ambacho kiliwaumiza na wasio husika. Mfano mzuri ni suala la vyeti fake JPM alitakiwa angalau wale ambao walikuwa na uzoefu wa...
  15. TODAYS

    Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

    Hakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana. Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka Singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza. Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..? 🧭 Yule anayetaka kujua umbali kwa mfumo wa picha...
  16. mathsjery

    Huyu jamaa, namshangaa sana!

    Okay, Kuna jamaa yeye huwa anafanya kazi akiwa na shida ya hela akipata hafanyi mpaka ziishe yaani anaweza nunua tv, sofa na kitanda lakini pia akanunua mahitaji ya nyumbani, basi anaweza kaa, kaa bila kufanya kazi na king'amuzi chake cha Dstv mpaka yakaisha na ikikaribia mwisho wa mwezi anauza...
  17. mama D

    Nawatakia mkesha mwema ndugu, jamaa na marafiki katika kuadhimisha Mawlid ya Mtume Mohammad SAW

    Kwa ndugu zetu waislam nawatakia kila la heri katika kusherekea kuzaliwa kwa kiongozi mkuu wa kiroho Mtume Mohammad SAW Mungu ibariki Tanzania
  18. K

    Huyu jamaa angu hana hamu na UDSM kwa hiki alichokipata

    Kwema wasomi? Kuna jamaa angu ni in service wa halmashauri moja hapa Tanzania, mwaka 2019 alinifuata kuniomba ushauri wa program na chuo cha kusoma hapa Tanzania, kwa uelewa wangu kiasi niliokua nao kwa kipindi hicho, nikamahauri ni Bora atafute chuo cha private walau huko kunakua na unafuu na...
  19. C

    Hii iliandikwa jamaa akiwa kwenye kifafa cha Shaytwan, alipokuwa karogwa, au wakati kapoteza fahamu, au ni nini jamani? Hebu tuwasaidie ndugu zetu

    Matusi hayatakiwi. Naomba ukielewa toa mtazamo wako kwa hoja kama jamaa huyuJihad, alivyoelewa na kubaki anashangaa!. NIkweli wafuasi wa huyu, bwana walikuwa hawahoji mambo katika mambo haya, kwa kuwa hawakuwa na ufahamu? waliogopa kuuawa, waliona yanawarahisishia maisha, walijua agenda za...
  20. Komeo Lachuma

    Walichomfanyia jamaa yangu. Anatokwa na machozi kila anapokumbuka

    Jamaa yangu tupo naye kazini kitambo sana. Si haba vijicent vipo. Shida kubwa ya jamaa ni ubabe na unyanyasaji sababu ya vijicent. Huwa namwambia asiwe na lugha za kibabe, dharau na unyanyasaji kwa watu wa kipato cha chini. Haelewi. Anajenga nyumba. Ashafukuza sana mafundi bila kuwalipa na...
Back
Top Bottom