jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. DOTHRAK

    Jamaa yangu ananuka mdomo sana. Nitumie njia gani kumfikishia ujumbe?

    Habari! Ni mshkaji niliefahamiana nae mwaka jana na tuna miezi kama tisa kwenye urafiki, ila mdomo wake unatoa harufu mbaya tukiwa katika katika mazungumzo. Sijajua shida ni hapigi mswaki vizuri, huwa hapigi mswaki kabisa au anapiga kwa matukio. Hii hali nilikuwa najitahid kuivumilia kwa...
  2. B

    Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

    Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki. Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi? Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii. --------------------- Ikumbukwe:
  3. Mtu Asiyejulikana

    Manara tumembeba habebeki. Ndo maana Simba walimfukuza. Huyu jamaa ni kirusi

    Manara ana Nyota ya Ufitini na Uchonganishi. Wakati anakuja kwa Steve kuomba asaidiwe usemaji Yanga, mimi nlikuwa mmoja ya watu ambao tulikuwa tunaona Manara kafukuzwa kwa kuonewa Simba. Lakini kwa kipindi hiki ambacho tumekaa naye huyu jamaa ni kunguru. Hafugiki. Kashawachonganisha watu wengi...
  4. Suzy Elias

    Tabasamu si mbunge wa kuwa chama tawala jamaa ni mzalendo kwelikweli

    Inasemekana elimu yake ni darasa la saba lkn kwa namna anavyojenga hoja hakika huyu ndugu huko alipo kwa maana upande wa wapiga makofi anapoteza muda wake. Tabasamu kwa aina ya biashara zake na kwa anayoyaongea bungeni ni wazi ni mtu safi na hana makando-kando ndiyo maana uthubutu wa kuyanena...
  5. Suzy Elias

    William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

    Wakuu, hivi William Lukuvi anajishughulisha na nini hasa? Mimi nahisi huenda yupo yupo bila hata kile tuliambiwa atakifanya.
  6. Niache Nteseke

    Kwanini yule jamaa kila nafasi anayotafutiwa kukaa Watu wanamkataa?

    Heshima kwenu wakuu. Unajua, nimejiuliza sana hili swali ila sijapata jibu ndani yake kuhusu huyu jamaa juu ya positions zote anazojaribu kuwekwa, kwa nini watu wanamkataa? NAWASILISHA.
  7. Chachu Ombara

    Kigoma: Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua jirani yake

    Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Kigoma imemuhukumu kunyongwa hadi kufa mtu mmoja aitwaye Kinyota Kabwe mkazi wa Muzye wilayani Kasulu kwa kosa la kumuua kwa makusudi jirani yake kwa kumchoma mkuki mara tatu na kusingizia alikuwa amechanganyikiwa. Kesi hiyo namba 105 ya Jamhuri dhidi ya...
  8. T

    Mzee Hamisi, Mzee Tilalila na Christopher Alex walienda wapi hawa jamaa?

    Kuna wakati haya majina yalijipatia umaarufu mkubwa sana hapa nchini kutokana na kuchangia mijadala mbalimbali ya kisiasa kidini na kijamii. Hawa walikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakichangia mada mbalimbali zilizoletwa na ukisikiliza michango yao unapanuka sana kiufahamu na kiuelewa...
  9. Deejay nasmile

    Huyu jamaa unahisi kapatwa na nini?

    Kafumania Kafumaniwa Presha ya Mkopo wa benki Furaha ya Kupata ajira Kaibiwa Katuma ela nauli afu hajafika Kaibiwa ela ya kamati ya harusi Au kafanyaje?
  10. John Haramba

    Tabora: Maiko Jacobo amuua baba yake kwa shoka kisa imani za kishirikina

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia Maiko Jacobo mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Kijiji cha Upungu, Wilaya ya Nzega mkoani hapo kwa tuhuma ya kutenda kosa la kumuua baba yake mzazi mzee Jacobo Lubela mwenye umri wa miaka 88 baada ya kumvizia majira ya jioni akiwa nje ya nyumba yake na...
  11. Replica

    Afariki baada ya kipigo kutoka kwa mumewe

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Kanyarakata Kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Albetina Mazwile (42) amefariki baada ya kupigwa fimbo katika sehemu mbalimbali za mwili wake na Mumewe na kupelekea kuvuja damu kwa ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, William Mwampaghale amesema...
  12. mathsjery

    Mwenye experience na hii company au kama ipo nyingine nyumbani hapa

    IntelPetro Pump Automation With Accounting & Inventory Management Software naomba wenye ujuzi na hii software au hata kama ipo nyingine hapa kwetu je ni nzuri ? Ina meet requirements zote za shell katika mazingira yetu. Najua kuna ulazima wa kuwa na miundo mbinu ya ICT KWENYE shell...
  13. MK254

    Wabongo kwa ushrikina bana! Jamaa wakamatwa wakioshwa na mganga baada ya mauaji

    Hizi ndio zile imani za Majimaji rebellion. Jamaa baada ya kufanya mauaji walikimbilia kwa mganga awazindike ili wasikamatwe, ila ndio kama hivyo.....uganga ukabuma. ======= Jeshi la Polisi jijini Mwanza linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu...
  14. T

    #COVID19 Alichonihadithia jamaa yangu anayesoma China kuhusu chanjo ya COVID-19, kimenistua

    Ninaye rafiki yangu anayesoma China ambaye yupo huko takribani miaka 3 sasa. Nilipojaribu kumuuliza kuhusu namna serikali ya China inavyofanya kuhamasisha raia wake kuchanja chanjo ya Covid, au kuhakikisha kila raia wake amechanja ili kujikinga na corona. Yule rafiki yangu ameniambia serikali...
  15. mdukuzi

    Nilivyofyeka shamba la jamaa aliyeniibia mpenzi wangu

    Katika harakati za maisha niliwahi kwenda kujaribu kilimo mkoa fulani kule nikapata binti mmoja mzuri sana, kumbe kuna mkulima mmoja wa zao fulani alikuwa ameanza kuvuna, hilo zao kwa wiki kuingiza milioni tatu ilikuwa kawaida na angeweza kuvuna kila wiki kwa miezi mitatu. Mimi zao langu...
  16. LIKUD

    Jamaa kauliza swali la kufikirisha kuhusu Safina ya Nuhu.

    Story ya Safina inasema Nuhu aliwaweka Wanyama wote duniani ndani ya Safina. Swali? Simba Na suala wanaweza kukaa sehemu moja hata kwa lsaa moja Tu achilia Mbali mwezi mzima? Binadamu Na Simba? Binadamu Na nyoka? Kukaa sehemu moja ya wazi inawezekanaje jamani? Vipi kuhusu Wanyama wadogo...
  17. illegal migrant

    Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

    Wengi tunataka magari ya bei nafuu, hii hupelekea kujikuta tuko tayari kununua gari bila kufanya uchunguzi wa kina, baada ya kujiridhisha kuwa gari unalotaka kununua lipo katika hali inayokuridhisha, ni. Ni muhimu kujua gari hilo liliingiaje nchini, hapa nazungumzia documents. Watumishi huwa ni...
  18. Crocodiletooth

    Wanawake wajibikeni kwa jamaa zenu, hakuna tatizo la nguvu za kiume

    Chanzo cha kuandika haya ni utafiti wangu binafsi why nilikuwa naishia kamoja tu? Katika kuzunguka zunguka kwangu nikakutana kabinti fulani tukawa marafiki tukajihusisha katika mapenzi motomoto, tatizo langu lile la kuishia kamoja hakika mwanamama alilipatia utibabu sahihi kabisa maana...
  19. Determinantor

    Huyu "Shuhuda" wa matukio ya moto ahojiwe na chombo huru, ana mengi moyoni mwake

    Kuna huyu jamaa ana trend kwenye mitandao, yeye amekua kwenye matukio mawili makubwa, pale Kariakoo na sasa amejitokeza Tena Jana kuwa alishuhudia moto ule na kwamba chanzo Cha moto ule ni mshumaa uliowashwa na mateja. Kama umewahi kufuatilia documentaries za crime unaweza kupata ABCs kuhusu...
  20. Heaven Seeker

    Unatumia njia gani kuwasaidia ndugu na jamaa zako pale kipato chako kinapokuwa chini ya mahitaji yako ya muhimu?

    Heshima kwenu Wakuu. Nimebahatika kuishi Nchi za wenzetu kwa Mabeberu, kiasi fulani nimejifunza mambo kadhaa. Sisi Wabongo tunaishi maisha ya ujamaa, yaani kugawana kidogo tunachokuwa nacho ili kila mtu apate japo mkate. Hali hii inatokana na ukweli kuwa idadi kubwa ya sisi wabongo bado...
Back
Top Bottom