Taifa limefika pabaya, damu ya watu wa Ukraine itawatia pabaya Warusi....wajaribu na kurekebisha mapema...
Ukraine walikua wanaendesha nchi yao kwa amani, tena kidemokrasia walikua wameizidi Urusi, unawakuta na kusambaratisha nyumba zao, na kuwaua halafu unategemea watu wako waishi kwa amani...