Okay, Kuna jamaa yeye huwa anafanya kazi akiwa na shida ya hela akipata hafanyi mpaka ziishe yaani anaweza nunua tv, sofa na kitanda lakini pia akanunua mahitaji ya nyumbani, basi anaweza kaa, kaa bila kufanya kazi na king'amuzi chake cha Dstv mpaka yakaisha na ikikaribia mwisho wa mwezi anauza...