jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. Jidu La Mabambasi

    Huyu jamaa anaitwa Kuringe kaingia mjini

    Kuna jamaa anaitwa Kuringe, kaingia mjini Dar es Salaam na shoka. Na ana kata kulia na kushoto akiwanunua watu na viwanja vyao kama hana akili nzuri. Ukienda wilaya ya Kinondon i utamkuta yupo tele kila mahali. Mitaa ya Goig Mbezi Beach kanunua mtaa mzima. Kama utafika Mbezi NSSF road ile...
  2. comrade_kipepe

    Kuzaliwa familia za kiafrika ni adhabu

    Famili za kiafrika ni Kulogana, Ujinga mwingi, Umaskini yaani daaaah!
  3. Eli Cohen

    Huyu jamaa wa kujiita "and 100 others" aki-like uzi unaweza fikiri watu zaidi ya mia wame-like 😂😂

    and 100 others taratibu mkuu ahaha
  4. B

    Tupe experience yako! Siku ulipomuazimisha au ulipoazimishwa gari na Rafiki au jamaa yako nini kilitokea?

    Wakati kazi inaendelea kule kwingine ni people's power Tushuke kwenye mada Nini kibaya kiliwahi kutokea Ile siku ulipomuazimisha au ulipoazimishwa mchuma/mkoko/dinga na Rafiki yako au jamaa yako
  5. BigTall

    Jamaa anapasua mawe kwa baruti King'azi A (Kisarawe), maisha ya Watoto na nyumba yapo hatarini

    Nimeona komenti hii kwenye ukurasa wa JF, hili lipoje Wadau wa Kisarawe? Majibu ya DC, soma ~ DC Kisarawe: Mwekezaji anayepasua mawe kwa baruti kusaka madini King’azi A tumemzuia
  6. Metronidazole 400mg

    Huyu jamaa anajiita kiredio mbona ni Kama anaharibu mahusiano ya watu na kuleta ugomvi

    Ni maarufu Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona msala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli?? Unakuta wanajinadi kabisa Leo tunataka kuharibu mahusiano, mm binafsi nimeshindwa kuwaelewa
  7. PakiJinja

    Hivi hawa jamaa siyo kwamba wananipiga kamba kweli? Naomba mnisaidie kufikiri

    Hawa masela ni watu maarufu sana nchini Madagascar. Kuna wakati katika mishe zao walipata kusafiri kikazi kwenda nchini Puerto Rico. Wakiwa huko wakapata fursa ya kukutana na jamaa fulani aitwaye Pumzi Baba. Walipoenda kukutana na mwamba, aliwakaribisha moja kwa moja chumbani, wakafanya mambo...
  8. DeMostAdmired

    Jamaa yangu alilewa madaraka mwisho wake ukawa aibu

    Hii code ni nyepesi sana kuna baadhi ya watu wataing'amua. Nilipokuwa advance form 5 jamaa yangu/ rafiki yangu alinishirikisha kitu kwamba anahitaji kugombea kuwa head prefect wa pale skul. Mimi sikumpinga, huyu mwamba tulikuwa ni watu wa utani sana na kuzinguana sana ila mwisho wa yote tukiwa...
  9. Mdude_Nyagali

    Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

    Baada ya kupata taarifa kupitia msamaria mwema kwamba Rais @SuluhuSamia anawinda roho yangu kupitia vikosi kazi vya utekaji, nilifanya kikao na wakili wangu. Wakili ameshauri niandike barua na kuweka public. Nimeshaandika barua na nimewapa ndugu wote ni zamu yenu kusoma barua hii. Mdude Nyagali...
  10. Lord denning

    Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

    Naona leo umejitutumua mama yangu! Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli. Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote! Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi...
  11. Nyamwage

    Huyu jamaa kutoka Ghana kajikuta anaishi kama star Huko China

    Lugha ni moja ya funguo za maisha ukiachana na elimu
  12. GENTAMYCINE

    Je, Kiungo Fabrice Ngoma kapigwa Miba na Jamaa waliokuwa Wakimtaka na tukawatekea JNIA au tusibishe Kiwango chake sasa Kimekwisha tu?

    Binafsi ni kama vile simuelewi simuelewi hadi ninaanza kuhisi kuwa huenda hata Inonga kamjaza Sumu za Simba SC.
  13. kimsboy

    Yemen yathibitisha ilitumia kombora la hypersonic ambalo ni ngumu kulitungua

    Yemen yathibitisha ilitumia kombora la hypersonic ambalo ni ngumu kulitungua Waisrael zaidi ya milioni 2 wakimbilia mashimoni BREAKING: [emoji1267][emoji1134] Yemen confirmed that they used a hypersonic ballistic missile in the attack on Tel Aviv Yemeni Armed Forces says it hit an Israeli...
  14. Komeo Lachuma

    Serikali imwangalie Prof. Assad isimwache ateseke hivi. Huyu jamaa hayupo sawa

    Anahitaji ushauri wa kisaikolojia. Mpaka leo bado analia akikumbuka alivyoondolewa ofisini. Akiulizwa tu hilo jambo analia sana. Ananung'unika, anasononeka, anahuzunika, anaghadhibika, anatatajika. Prof mpaka kufika hapo ni wazi ana akili za darasani. Ila emotional intelligence ndo shida. Prof...
  15. Allen Kilewella

    Vijana wa kiume muigeni huyu jamaa

    Wanawake tangu kuolewa kwao mpaka kuzeeka huwa hawawapi waume zao nafasi za kuwa huru na kushukuriwa. Kwa bahati mbaya sana vijana wa kiume ndiyo wanaoongoza kwa kuwashutumu na kuwatendea vibaya baba zao. Vijana hao husahau kuwa anayotendewa baba yao na mama yao akisihrikiana na wao, na wao...
  16. Eli Cohen

    Jamaa wa Kenya imembidi awaoe mapacha maana hawataki kutenganishwa

    Ni mtangazaji wa Redio huko Kesho na umri wa miaka 26 na madenti wenyewe wana 20. Madenti wanasema hawajawi kutenganishwa tangu utoto, shuleni hadi ukubwani. Mabaharia wa JF naona tayari mmeshaanza fantasies zenu za threesome hahahah. Jamaa anasema: “Niliona wanafanana kwa kila kitu...
  17. Eli Cohen

    Hivi inakuwaje Viktor Gyokeres kukosa top 30 ya ballon d'or. Hawa jamaa wanatumia criteria zipi kuchagua washindani?

    Tuliposhangaa na kuhoji kwa nini Messi ashinde ballon d'or dhidi ya Halaand, vijana wa Messi walirusha mawe sana, Anyway maisha ya soka yaendelee.
  18. G

    Kero: Ndugu, marafiki na jamaa wanaanza kukutafuta baada ya kutoboa, ni kwanini hawapo direct kuomba pesa wakati uhusiano wenu ni wa maslahi pekee?

    Mawasiliano yawe direct hakuna haja ya kona kona, tamka maneno mawili, "NAOMBA FEDHA" ikiwepo utapewa kama hakuna tuangalie utaratibu mwengine atasalimia kukujulia hali, kujua upo wapi, family inaendeleaje, n.k. lakini mwisho wa siku lengo lake ni moja tu, FEDHA !! Hajakutafuta miaka na miaka...
  19. kyagata

    Kuna jamaa yangu kanipa number ya mkewe nimtest kumtongoza kama atakubali

    Wakuu,hizi ndoa za siku hizi sijui zina tatizo gani. Kuna huyu jamaa angu amefunga ndoa mwaka jana December na binafsi nilichangia sherehe ya harusi yake. Sasa bana siku za hivi karibuni namuona jamaa amefululiza kupiga tungi sana so jana nikapata wasaa wa kukaa nae kujua kulikoni mipombe kila...
  20. M

    Vita l'O , wakiondoka watuachie msemaji wao yule jamaa ni mtu safi sana halafu ikiwezekana apate kazi kwenye timu za Bongo.

    Yule jamaa ana courage kubwa sana , Yule kwanza ni muungwana sana , Anapokua kashindwa wala haleti ubishi, anakubali na maisha mengine yanaendelea hataki matatizo na watu, Buchuti anakupambania hadi mwisho hata kama anajua utashindwa, Jamaa abaki tu Bongo ili tudumishe muungano wa east africa...
Back
Top Bottom