jamhuri

Jamhuri Day (Republic Day) is a national holiday in Kenya, celebrated on 12 December each year. Jamhuri is the Swahili word for "republic" and the holiday is meant to officially mark the date when Kenya became a republic on 12th December 1964. The country became a republic after gaining full self-governance from the United Kingdom, after gaining independence on 1st June 1963. Jamhuri Day is regarded as Kenya's most important day, marked by numerous festivities which celebrate the country's cultural heritage and looks back at her journey to independence and self-governance.The entire Kenyan

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Hivi ni kweli Spika Ndugai anailinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano kama alivyoapa ama leo ametuchezea shele?

    Leo katika zoezi la kuthibitishwa kwa jina la Makamu wa Raisi Bungeni Jijini Dodoma Spika wa Bunge, Job Ndugai, alipata wakati mgumu wa kati amruhusu kwanza aliyekuwa Mbunge wa Buhigwe, Dkt. Mpango (VP now), ahutubie kwanza kabla ya matokea ya kura za kuthibitishwa kuwa makamu wa Rais...
  2. fmlyimo

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  3. NewGapi

    Aibu: Anayetafsiri Uwanja wa Jamhuri kamati hakujiandaa

    Kwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafsiri hana huo uwezo. Anaachwa mara kadhaa nyuma, Anatoa tafuasiri zisizo sahihi. Anaongea uelewa wake badala ya kutafuasiri. Kamati isijirudie tena...
  4. Tanganyika Law Society

    TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

    Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya...
  5. M

    Barua ya wazi kwa Rais: Mhesimiwa, Mungu ametusikia sasa na wewe tusikie

    Mheshimiwa Rais Yesu anasema kuwa, kabla hamjaomba chochote kutoka kwa Baba yenu aliyeko mbinguni yeye ameshatambua mkitakacho! Tulipofunga na kusali kwenye wimbi la kwanza la korona, Mungu alitusikia na alituonyesha kitu gani cha kufanya kwenye hili tatizo ili tunusurike. Mheshimiwa Rais...
  6. Erythrocyte

    Baada ya U20 kuaibishwa kwa kichapo cha Mbwa mwizi huko Mauritania, Jamhuri Kihwelu afukuzwe haraka

    Hatuwezi kuwa na makocha wanaotegemea kukanyaga mafuta ili kupata ushindi , hii timu ya vijana sina hakika kama inaweza kupata hata goli kwenye michuano hii , achilia mbali kupata ushindi . Jamhuri hana uwezo wowote ule wa kufundisha soka kwenye michuano ya kimataifa , hivi ni nani alimpa hii...
  7. N

    Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mji mdogo wa Masumbwe Mbogwe

    Katika ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 27 January 2021 katika uzinduzi wa Kituo cha afya cha Masumbwe, Mh. Mbunge wa Jimbo la Mbogwe ndg. Nikodemas Maganga ameweka wazi Mambo yanayofanyika Mbogwe. Mh. Rais amewapongeza wananchi wa Mbogwe kwa kuwachagua...
  8. Analogia Malenga

    Jamhuri ya Afrika ya Kati yasema imewaua waasi 44

    Jamhuri ya Afrika ya Kati imesema majeshi yake yamewaua waasi 44 wanaopambana kutaka kuuzingira mji mkuu Bangui, kwa lengo la kuupindua utawala wa rais aliyechaguliwa tena hivi karibuni Faustin Archange Touadera. Siku ya Jumatatu serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati iliandika katika mtandao...
  9. Analogia Malenga

    Kamanda wa uasi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati akamatwa na ICC

    Mahakama ya kimataifa ya jinai ya ICC, Jumapili imesema kuwa imemtia mbaroni aliyekuwa kamanda wa kundi la uasi la Seleka huko Jamhuri ya Afrika ya Kati linaloshukiwa kutekeleza juhalifu wa vita na uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, ICC imesema kuwa Mahamat...
  10. Sijali

    Jamhuri ya Woga

    Ninapoangalia yaliyowafanya vijana wa Uganda kuamua kujitolea muhanga kutaka mabadiliko, mengi ni yale yale yanayoendelea Tanzania: vijana kutokuwa na fursa, dhuluma ifanywayo na vyombo vya ulinzi, sheria kubanwa kwa uhuru wa kusema, uzuiaji wa mabadiliko ya siasa ya amani. ughali usiolezeka...
  11. Miss Zomboko

    Rais Touadera ashinda kwa Muhula wa Pili Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Rais Faustin-Archange Touadera ametangazwa Mshindi wa Uchaguzi wa Rais uliofanyika tarehe 27 Desemba katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Matokeo yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo usiku wa kuamkia leo, yamempa Touadera asilimia 53 ya kura zilizopigwa. Mwenyekiti wa tume hiyo Mathias...
  12. J

    Serikali za Mitaa na kazi zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :- Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano, ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi. (2) Bunge au Baraza la...
  13. Deogratias Mutungi

    Barua" fupi" kwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli

    Salaam Wana JF, Naanza andiko hili fupi kwa kumshukru Mungu kwa wema wake wote kuendelea kutupenda sisi Watanzania na kutujalia kheri za kila namna katika shughuli zetu za kila siku. Baada ya Salaam hizo niangazie kusudi la barua hii fupi, Andiko hili kimaudhui ni kutambua Mchango wa kipekee...
  14. Course Coordinator

    Zanzibar yaambulia Manaibu Waziri 2 katika Baraza jipya la Mawaziri

    Nimeangalia kwa umakini baraza jipya la mawaziri sijaona hata jina moja la kutoka Zanzibar. Tunaenzi vipi muungano wetu? Labda aliyeteua ana majibu sahihi lakini kwa afya ya muungano naona kama hii sio sawa. Mawaziri wote ni kutoka Tanganyika wakati Baraza ni la muungano Ina maana wajumbe...
  15. Mystery

    Tunajifunza nini kuhusu kutimuliwa kwa Jeanine Mabunda kama Spika wa Bunge la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo?

    Hapo jana ya tarehe 11/12/2020 tulipata taarifa kuwa Bunge la Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo limepiga kura ya kutokuwa na imani naye Spika wao wa Bunge, Jeanine Mabunda kwa namna anavyoliendesha Bunge hilo kwa upendeleo na kujiegemeza kwa Rais Mstaafu, Joseph Kabila, pamoja na chama chake...
  16. XI JIN PING II

    Siri imefichuka: Mishahara ya Wabunge wa Tanzania ni kuanzia milioni 11 kwa mwezi

    Habari wana JF, Siku zote nimekuwa nikijiuliza jambo moja hapa Tz kwanini Ma Profesa, Wahandisi na wataalamu wabobezi kwenye fani mbalimbali wanaamua kuzipa kisogo fani zao na kukimbilia kwenye siasa hasa ubunge? Sasa leo Kisalala mbunge wa jimbo la Sumve amenipatia jibu. Wanafuata maslahi...
  17. Roving Journalist

    Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020 ======== Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI -...
  18. Intelligence Justice

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina maadui wengi miongoni mwa Wananchi wake

    Jukwaa la msuguano wa akili na mawazo mbadala kwa kutoa sulushi kwa faida ya wote; Kwa sasa Tanzania ina maadui wengi sana kutoka miongoni mwa Wananchi wake na viongozi wa kisiasa. Maadui wa kimkakati ni watatu kama wanarivyorithishwa kila awamu ya uongozi ni Ujinga, Maradhi na Umaskini...
  19. U

    Waziri Mkuu wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhesh Kassimu Majaliwa Kassimu Atembelea Maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Uhuru Inayojengwa Chamwino

    Hakuna muda wa kulala Hakuna muda wa kupoteza Serikali Ya CCM imeamua na haitaki kuwaangusha Watanzania Waziri Mkuu ametoa siku 15 kwa mamlaka husika ikiwemo SUMA JKT, Wakala wa Majengo ( TBA) na Halmashauri ya Chamwino kukamilisha Ujenzi wa Hospitali hiyo Matumizi sahihi ya Rasilimali...
  20. Nyani Ngabu

    Wanaharakati wa Jamhuri ya Twitter

    Miaka minne ilopita nilitoa maoni kuwa, endapo wale jamaa wa UKUTA wangenywea na kutokufanya maandamano yao waliyokuwa wameyapania, basi huo ungekuwa ni ushindi mkubwa kwa Rais Magufuli. Si tu ushindi uonekanao kwa macho, bali ushindi wa kisaikolojia pia. Niliandika hapa...
Back
Top Bottom