jamhuri

Jamhuri Day (Republic Day) is a national holiday in Kenya, celebrated on 12 December each year. Jamhuri is the Swahili word for "republic" and the holiday is meant to officially mark the date when Kenya became a republic on 12th December 1964. The country became a republic after gaining full self-governance from the United Kingdom, after gaining independence on 1st June 1963. Jamhuri Day is regarded as Kenya's most important day, marked by numerous festivities which celebrate the country's cultural heritage and looks back at her journey to independence and self-governance.The entire Kenyan

View More On Wikipedia.org
  1. Red Giant

    Hivi tungewaunga mkono RENAMO, na jamhuri ya Rombesia ingezaliwa, lisingekuwa jambo la manufaa kwetu?

    Katika vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Msumbiji(1977-1992). Tanzania ilikuwa ikiwaunga mkono wajamaa wenzao FRELIMO dhidi ya RENAMO. Kawaida tulikuwa tukiaminishwa kuwa RENAMO ni waovu wasiofaa, lakini mtu kadri unavyokuwa na kupata habari zaidi unaelewa kuwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe...
  2. J

    Ole Sabaya leo anahojiwa na Mawakili wa upande wa Jamhuri

    Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole Sabaya ataendelea na utetezi wake ambapo itakuwa ni zamu ya Mawakili wa upande wa Mashtaka kuanza kumuhoji. Kesi imefika patamu. Updates;
  3. Ngongo

    Waziri wa Elimu anasimamia asichokiamini? Mwanae anasoma English Medium

    Heshima sana wanajamvi, Tanzania pengine ni nchi pekee duniani yenye maajabu yasiyoweza kulinganisha au kufananishwa na nchi nyingine. Ni jambo la ajabu waziri wa elimu msimamizi wa elimu yenu na mustakabali wetu wa siku zijazo.Waziri wetu huyu watoto wake hawasomi katika shule za umma,wapo...
  4. Stroke

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nani huyu?

    Mh. Rais Samia , Naamini unafahamu kabisa kuwa, Mwaka 2020 wakati tunampigia kampeni Dr. Magufuli, tulikupigia kampeni na wewe ukiwa mgombea mwenza. Tuliwaamini nyote wawili kwamba ni watu sahihi kuliongoza Taifa letu. Sasa wewe ni Rais wetu, hakuna ubishi katika hilo. Sasa Mh. Rais napata...
  5. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Awamu ya Nyerere Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana. Awamu ya Mwinyi Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache...
  6. Nyendo

    Chad na Jamhuri ya Afrika ya kati (CAR) watoa wito kwa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika (AU) kuchunguza kuuawa kwa wanajeshi

    Pande hizo mbili zinatambua uzito wa hali hiyo na zinasisitiza dharura ya kufafanua mazingira ambayo shambulizi hili lilifanyika, mawaziri wa mambo ya nje wa Chad na CAR walisema katika taarifa ya pamoja Jumanne jioni. Chad na Jamhuri ya Afrika ya kati (CAR) wanatoa wito kwa Umoja wa Mataifa na...
  7. Geza Ulole

    Hivi mambo ya Ulinzi ya Muungano inakuwaje Rais wa Zanzibar badala ya Makamu wa Rais anawakilisha Jamhuri?

    Naomba kujua Katiba inasema vp hapa? Maana kama Rais wa Jamhuri hawezi kwenda, mbona Makamu wa Rais asimuwakilishe? Je Waziri wa Ulinzi na Waziri wa Mambo ya nje hawawezi kumuwakilisha Rais wa jamhuri wa Muungano kama Rais na Makamu wa Rais hawawezi? Tusikae kimya tukiona katiba inasiginwa kwa...
  8. I

    Kesi ya Masheikh wa Uamsho yaahirishwa baada ya Jamhuri kuomba udhuru tena

    Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA KESI YA MASHEIKH LEO TAREHE 26.05.2021, IMEAKHIRISHWA BAADA YA UPANDE WA JAMUHURI KUOMBA UDHURU TENA Shauri la Masheikh lililopangwa kuendelea kusikilizwa leo limeakhirishwa baada ya upande wa Jamhuri kuomba kupewa muda kwa sababu ya...
  9. I

    Kesi ya Masheikh; Mahakama ya Rufaa yatupilia mbali rufaa ya Jamhuri kutaka mashtaka 14 yaliyofutwa Mahakama Kuu kurudishwa

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH WAPATA USHINDI MKUBWA MAHAKAMA YA RUFAA LEO Hukumu ya rufaa ya Jamhuri dhidi ya Masheikh imesomwa leo katika Mahakama ya Rufaa Tanzania. Majaji watatu wa Mahakama hiyo wametupilia mbali rufaa ya upande wa Jamhuri ya kutaka...
  10. Sky Eclat

    Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Umofia akiwa kwenye self driven motorcar.

  11. Masalu Jacob

    Sehemu ya kwanza: Nikiwa Rais wa Jamhuri ya watu wa Tanzania

    Habari Tanzania! Sifa nzuri na safi ya kuwa Rais wa Tanzania inanogeshwa zaidi endapo unaifahamu ardhi yote ya taifa; haiba za raia; matakwa ya taifa; lengo la maendeleo; ustawi wa jamii na ubora wa maisha ya ndoto za waliowengi. 1. Viwanda Tutaanzisha viwanda vipya vidogo vyenye tija na...
  12. I

    Jamhuri yakata rufaa dhidi ya Masheikh Uamusho

    Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA LEO TAREHE 28.04.2021, SERIKALI IMEKATA RUFAA MAHAKAMA YA RUFAANI DHIDI YA MASHEIKH Tarehe 23.04.2021, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ya ushindi kwa Masheikh wa kesi 14, Kati ya 25, zilizokuwa zinawakabili Masheikh. Baada ya uamuzi huo...
  13. J

    Kusema ukweli Zanzibar ndio ina mambo yasiyo ya Muungano na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mambo yote ni ya Muungano

    Kwa sababu Tanganyika iliondolewa kwenye uso wa ramani ya dunia basi kile kinachoitwa " mambo yasiyo ya Muungano" kipo Zanzibar pekee na vinavyobaki vyote ni vya muungano. Ndio maana Prof Mbarawa alihudumu katika wizara ya ujenzi na baadaye maji ambazo na kule nchini kwao Zanzibar zipo...
  14. mshale21

    Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

    Dodoma! Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili...
  15. APA CHICAGO

    Samahani Kwa Wabunge wetu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Salaam kwenu wanabodi wa jukwaa hili kubwa na lenye heshima ndani na nje ya nchi yetu.Sio tu linaheshima lkn pia lina taarifa za kuaminika. Nimeanza na neno samahani kwa wabunge wetu kwa sababu kelele zimekuwa nyingi sana huko bungeni wengi wa wabunge wanaopata nafasi ya kuchangia wamekuwa...
  16. U

    Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango Mgeni Rasmi Kongamano Maadhimisho Miaka 57 Ya Muungano

    Kongamano hilo muhimu kuadhisha miaka 57 ya Muungano litafanyika Aprili 26, 2021 kuanzia saa 3 asubuhi Ukumbi wa Chimwaga Dodoma https://www.jamiiforums.com/threads/chato-rais-magufuli-atoa-salamu-za-maadhimisho-ya-miaka-56-ya-muungano-asamehe-wafungwa-3-973.1719702/
  17. YEHODAYA

    Zanzibar nchi ndogo yenye nguvu ambayo imekuwa ikiamua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano awe nani

    Zanzibar ndio imekuwa ikiamua Rais wa muungano awe nani Mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana kuwa taifa moja la Tanzania. Swala likaja nani awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania? Nyerere hakutaka kujikweza akaona amwambie Rais Karume kuwa awe yeye Karume. Karume akakataa katakata...
  18. Double Elephants

    Rais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar

    Rais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar - Fatma Karume akizungumza na DW leo tarehe 3/4/2021. Nini maoni yako. #MitanoTena
  19. R

    Matarajio ya watanzania kwa Mhe. Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni makubwa

    MATARAJIO YA WATANZANIA KWA MHE SAMIA, RAIS WA JMT NI MAKUBWA Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Mhe Samia Samia Rais wa JMT amefanya mabadililo madogo kwenye Baraza la Mawaziri yaliyotanguliwa na uapishwaji wa Makamu wa Rais. Katika kuendelea kuhakikisha matarajio aliyonayo ameendelea kupanga...
Back
Top Bottom