Ninapoangalia yaliyowafanya vijana wa Uganda kuamua kujitolea muhanga kutaka mabadiliko, mengi ni yale yale yanayoendelea Tanzania: vijana kutokuwa na fursa, dhuluma ifanywayo na vyombo vya ulinzi, sheria kubanwa kwa uhuru wa kusema, uzuiaji wa mabadiliko ya siasa ya amani. ughali usiolezeka...