Jamhuri ya Yemen iko Kusini na Kusini Magharibi ya peninsula ya Arabia
Ina idadi ya watu ya milioni kumi na moja na eneo la maili mraba 190,000. Ndio eneo pekee la peninsula hii linalopata mvua za monsuni, na kuifanya sehemu yenye rutba sana na yenye watu wengi.
Mlima mrefu sana wa Arabia...