jamii forums

  1. Baada ya Mdau wa Jamii Forums kulalamika, Serikali yaanza kuboresho ya Barabara ya Goba - Mpakani

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Barabara ya Goba - Mpakani, Dar Es Salaam ni mbovu na inawagharimu watumiaji hasa wakati wa Mvua, Serikali imechukua hatua ya kuanza maboresho. Mdau alidai kuwa barabara hiyo haichongwi mara kwa mara na ina madimbwi mengi hivyo hata...
  2. D

    TV gani itanifaa kwa bajeti ya 500k

    Habari yenu wana jamii, naomba kupewa ushauri, nina bajeti ya 500k je ni TV gani nzuri ya brand ipi na ukubwa upi itanifaa kwa bajeti hii? Kwani siku hizi brand zimekuwa nyingi sana
  3. Ni ushauri gani umekupa manufaa kupitia JamiiForums?

    Hakuna binadamu ambaye anafanya biashara isiyokuwa na faida kamwe! Basi hata hapa JamiiForums imani yangu kwamba tumejiunga wote na tumepata faida kubwa sasa basi. Ni mwanachama gani ambaye amekuwa akikupa ushauri ukakupatia manufaa? Toa pongezi kwake hadharani.
  4. Mwanangu anaogopa sana wafu

    Mwanangu wa kike anaogopa sana wafu. Hufikia mpaka kuwalazimisha marafiki zake nao waogope wafu. Huyu Binti huwatishia kuwanyima peremende ikiwa rafiki zake hawataogopa mfu. Kuna mfu Mmoja mashuhuri sana. Kila tulianza kumzungumzia basi Binti huyu kukimbilia kubadili mada au kwenda kwa jirani...
  5. Balozi wa Uswisi nchini Tanzania atembelea ofisi za JamiiForums

    Taarifa iliyosambazwa na viongozi wa JF inasema kwamba, Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Didier Chassot ametinga kwenye ofisi za JF kwa lengo la kukutana na baadhi ya watendaji wa taasisi hiyo, akiwemo Mkurugenzi, Maxence Melo. JF inasimamia mtandao wa JamiiForums.com, unaoongoza kwa kutoa...
  6. Serikali yaitunukia Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kudhamini Kongamano la Habari 2022

    Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeikabidhi Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kutambua uamuzi wake wa kuwa Mdhamini wa Kongamano la Habari lililofanyika leo Desemba 17, 2022 jijini Dar es Salaam.
  7. Wakiiona hii tumeisha!

    Tuwaambie ilipo au tuache kwa maslai ya Taifa letu. Hivi kwa Hali ilivyo sasa kununua kichwa Kama hicho na behewa zake inaweza kugharimu kiasi gani. Mie najua sehemu ilipo na mmiliki pia nabei pia n nzuri Sana.
  8. App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Edited on Feb 14, 2024 Android users: Follow 👉🏾 DOWNLOAD JF APP iOS Users Users: Follow DOWNLOAD JF APP
  9. Nape: Mimi ni member wa Jamii Forums

    Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala. Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so...
  10. K

    SoC02 Sababu za kukua kwa lugha ya Kiswahili Kimataifa na kudumaa nchini

    SABABU ZA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA NA KUDUMAA NCHINI Kiswahili ni Lugha inayozidi kukua barani Afrika na duniani kote kadri siku zinavyozidi kusogea hili likidhihirishwa na maboresho na mabadiliko ya mitaala ya elimu katika mataifa mbalimbali barani Afrika ili kutoa mwanya wa...
  11. SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

    Chanzo: Picha na JamiiForums Yafanyike haya kuikomboa NHIF Katika kutekeleza dhima na dira ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika kutimiza majukumu ya utoaji wa huduma ya Afya kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo (2025), Sera ya Afya ya mwaka 2007, Mpango Mkakati wa Tano wa Sekta...
  12. SoC02 Uwajibikaji wa sekta ya kilimo katika mfumuko wa bei na uchumi

    UTANGULIZI Kilimo ni dhana pana inayojumuisha uzalishaji wa mazao, ufugaji na uvuvi. Katika andiko hili nitaangazia kilimo kwa upande wa uzalishaji mazao. Sekta ya kilimo ni sekta mama ya uchumi wa Tanzania. Huchochea maendeleo ya sekta zingine kama usafiri, viwanda na masoko. Mfumuko wa bei...
  13. SoC02 Thamani ya Elimu katika Ukombozi wa Jamii

    Elimu ni jumla ya maarifa aliyonayo mtu yanayomuwezesha kutatua changamoto za maisha yake ya kila siku. Elimu si ile tu inayopatikana shuleni na vyuoni bali ni maarifa yote yapatikanayo katika mazingira husika au mazingira yanayo tuzunguka. Elimu ni kitu muhimu sana katika mapinduzi ya kifikra...
  14. M

    Zifahamu nyuzi pendwa za Jamii forums

    Taja nyuzi pendwa hapa jf
  15. M

    SoC02 Ufundishwaji wa Somo la Stadi za Kazi kwa Shule za Msingi nchini Tanzania unavyoweza kuzalisha ajira kwa watakaoshindwa kuendelea na Elimu ya Juu

    Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa umefutwa, kupitia muhtasari huu mwanafunzi aligemewa kujenga stadi za usafi, mapishi tofauti, ujasiriamali...
  16. M

    SoC02 Bei ndogo shina moja la Mahindi hulipwa Tsh 60/= mifugo inapokula mazao fidia inayowatesa wakulima

    Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
  17. M

    SoC02 Ongezeko la idadi ya watu wasiopiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tanzania ukilinganisha na miaka 5 iliyopita

    Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka wazi kwamba, Kila raia wa Tanzania aliyetimiza miaka 18 anayo haki ya kupiga kura katika uchauzi...
  18. Jamii Forums kwanini tusimwombe Profesa Shivji awe anatufundisha sheria kwa lugha ya Kiswahili hapa jukwaani?

    Najua Prof. Shivji ni mwalimu wa sheria hapo school of Law. Sina hakika kama huwa anapata muda wa kuielezea au kufundisha sheria kwa lugha ya kiswahili. Mimi kiukweli baada ya kutoa somo lake la sheria ya umiliki wa ardhi kwa lugha ya kiswahili nimejikuta nakua mpya kabisa kichwani kuliko...
  19. DST: Kwanini Waziri Mwigulu aliipongeza JamiiForums na Mkurugenzi wake?

    Wakuu, Kwa heshima kubwa nachukua nafasi hii kuwashukuru wengi waliotupongeza kwa mchango wetu kutambuliwa na Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango mnamo jana, Juni 14, 2022 wakati Bajeti ikisomwa Bungeni. Asanteni sana. Nini hasa ulikuwa mchango wa JF? JamiiForums ilipata taarifa mapema...
  20. Ni kipi haswa kilikuvitia kujiunga na Jamii forums

    Ni jambo gani haswa lilikuvutia hadi ukaamua kujiunga na Jamii forums. Na je tangu umejiunga huu mtandao wa Jamii forums umekusaidiaje na wewe umeutumia vipi kuwasaidia wengine? Mimi binafsi nilijiunga 2007 ila kutokana na hasira na mihemko nikaishia kula IP ban!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…