Wakuu atimae Harmonize leo ameamua kumaliza bifu lake na EATV, amepiga stori mbili tatu na Tbway katika kipindi cha Friday Night pia amemtambulisha msanii wake ibrah ambae alikuwa akitambulisha EP yake ya steps.
Kilichonifuraisha ni kusikia Harmonize akiisifu WCB. Pia amesema hana ugomvi nao...
Wakuu kuna mwanamke nimeachana naye tuna mwezi sasa na tuliachana kwa kukata mawasiliano tu kutokana na tabia yake aliyokuwa ananifanyia, sasa jana kanitumia sms kuwa amenimiss sana.
Naombeni ushauri nifanyaje?
Hivi unaanzaje kwa mfano!!
Yaani Messi umfananishe na Kichuya kweli?! Haiingii akilini!
Niseme tu, mimi ni mmoja kati ya watu tulioangalia series hizo zote 2 na sioni kama ubora ama uzuri wa The Heist unaweza kuupita ule wa Prison Break
Nilichogundua ni kwamba watu wengi wanaosifia The Heist...
Wakuu kuna kitu kimekuwa kikinishangaza sana kuhusu mapenzi.
Leo nimeamua kidogo niliulize ili swali maana kwangu naliona sio la kawaida. Hivi kwanini mtu ukiwa upo kwenye mahusiano ukimtongoza mwanamke yoyote nje hakatai tena unampata kirahisi tu? ila mfano ukiwa single ukijaribu kumtongoza...
Wakuu habari zenu za toka juzi kati? Natumahi mpo poa kabisa
Wale wanaondelea kusoma simulizi yangu ya penzi la mfungwa nimeshapost vipande vipya kuanzia sehemu ya 11 hadi 14, ni bonge la simulizi sio poa pita kule kwenye jamvi la Entertainment utaikuta.
Nije kwenye mada, kuna demu wangu...
Tuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu
Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
Habari zenu wakuu poleni kwa miangaiko ya hapa na pale katika kutafuta chochote riziki ili kujikwamua kiuchumi
Nije kwenye mada, mimi nipo eneo x sasa ninapoishi nyumba yetu imepakana na nyumba fulani yaani pua na mdomo. Hapo kuna msichana mmoja tulisoma wote shule ya msingi ila baada ya hapo...
Wakuu nakiri mapenzi ni kitu kingine ndio maana Mungu aliyaumba mapenzi. Kuna mwanamke ambae ninampenda sana ila tumegombana now wiki ya pili ila kakaa moyoni mwangu. Mimi ndie niliyeamua kumchunia kutokana na tabia zake alizokuwa akinifanyia ila kiukweli mawazo yananitesa muda mwingi nashinda...
Daaah wakuu nahisi huyu jamaa ananigongea demu wangu, inshort nina wiki sina maelewano na demu wangu ambae tunakaa mbali mbali sasa na jamaa angu ambae ni msela yaani tunapatana utadhani sisi ni ndugu wa damu.
Juzi kati kampost FB demu wangu akaandika caption ya love is blind
Then demu wangu...
Wakuu, huyu msichana anaonyesha kila dalili kuwa hanipendi lakini nikimwambia tuachane kama vipi hatakii. Nikisema nimsemehe anaendelea na tabia zake zilezile nikisema nimpotezee ananitafuta huku analalamika.
Nitumie mbinu ipi kumuacha?
Wakuu nipo kwenye mahusiano nisiyoyaelewa kwa maana kuna mwanamke nipo nae nampenda sana ila yeye inaonyesha hanipendi lakini nikijitahidi kusema nimkaushie nashindwa.
Mwanzoni alikuwa ananipenda sana kweli lakini kadiri siku zinavyozidi ndio upendo umepungua. Yaani wiki nzima mimi ndio...
Kiukweli mapenzi yanauma sana jamni acheni tu, kuna mwanamke nipo nae sasa tuna miezi mitatu, tulikutanaga instagram ndipo tukawa tunawasilana hadi baadae tulipoingia kwenye uchumba, bahati nzuri tunakaa mtaa sio mbali mbali, yeye yupo kihonda mimi nipo msamvu na uwa tunakutana mara kwa...
Wakuu niaje mazee, kuna kademu kamoja ni karfk kangu tu, tumezoeana hata wiki 2 hazijaisha ila kameanza kunionyeshea vitu vya ajabu, kanaweza kunitumia sms ya uck mwema saa6 uck, mara saa12 asubuhi kakanitumia sms ya siku njema mimi nakasoma tu nakatafutia gia, leo nimekajarbu kukaambia...
Aisee hii corona imetuletea majanga sisi mabaharia,
Jana katika harakati zangu za kusaka angalau tunda kwaajili ya kujiburudisha nalo usiku nimejikuta nikilikosa huku sababu za kulikosa tunda ikiwa ni corona, kuna ex wangu wa muda mrefu ambae tumekuwa tukipashana vipolo kipindi cha nyuma sasa...
Kuna taarifa zinasambaa ambapo inasemekana wagonjwa wa COVID-19 walikuwa wamelazwa hopitali ya AMANA wamevunja Geti na kutoroka.
Inasemekana hii ni kutokana na kutelekezwa bila ya kupatiwa huduma na kutelekezewa maiti hospitalini.
Mwenye update kamili atujuze mimi nimepata Clip za Audio...
Katika kitu ambacho kilikuwa kinaniumiza kichwa kipindi nimeanza mapenzi kipindi hicho nipo Form 3 mwaka 2012 ni kuhusu mapenzi. Zamani nakumbuka nilishawahi kupendana na msichana mmoja tulikuwa tupo mtaa mmoja, sasa kama mnavyojua hawa viumbe wakiona wanapendwa sana basi wataanza kuleta visa...
Poleni na majukumu ya kujenga nchi wakuu, nije kwenye mada kuna mwanamke ninampenda sana ila sasa tumejenga urafiki mkubwa sana na yeye anaamini mimi ni rafiki yake sasa hapa ndio pananichanganya hata kumtongoza maana nawaza atanionaje.
Japo nampenda sana ila nimeshindwa kumwambia ya moyoni...
Toka nimejiunga humu ndani nimetokea kumkubari sana, ledada kutokana na misimamo yake, na naweza kusema mimi ni shabiki wake wa kutupwa.
Na hauniambii kitu kuhusu ledada wa humu jf, wewe unamkubari dada gni wa humu jf na kwanini unamkubari???
Mwandishi wa habari nguli na mwanasheria Pascal Mayalla amesema mtandao wa JamiiForums ndiyo bora katika utoaji elimu pamoja na kwamba kuna baadhi ya members waliomba Corona ije nchini.
Mayalla alikuwa anaongea katika kipindi cha Jicho Letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star TV...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.