Mail & Guardian moja kati ya gazeti linalopigania usawa na uhuru wa kujieleza katika nchi za Kiafrika limeandika kuwa Uandishi wa Habari unapoteza maana yake kwa kuwa waandishi wa habari wana Uanaharakati na urazini katika uandishi wao.
Wameandika kuwa ni vyombo vichache ambavyo hufanya kazi...
Kamati ya Maudhui ya TCRA ikiongozwa na Makamu Menyekiti wake, Ndugu Joseph Mapunda, imetembelea ofisi za Jamii Forums ikiwa na lengo la kujifunza mambo kadha wa kadha kuhusu Taasisi na kujionea namna huduma inavyotolewa kwa wananchi. Kamati hiyo ilipokelewa na watendaji wa Jamii Forums...
Wakubaliana kupaza sauti kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala yamhusuyo Mtoto Njiti hususani Changamoto wanazopitia Watoto na wazazi wao.
Pia, wanadhamiria kuielimisha Jamii kuhusu namna bora ya kuwalea Watoto Njiti. Kampeni hii imelenga kuifanya jamii iondokane na fikra potofu kuhusu...
BWANA ASIFIWE ............. !
Najitambulisha kwenu wana JamiiForums kwamba ni mgeni wenu.
Natarajia mapokezi na ushirikiano kama mwanajamii mzee lakini kijana katika jukwaa !
Mimi nina mke mmoja mpaka kifo, na nina watoto wa kiume na kike katika familia niliyojaliwa, na Mungu aliyemwumba...
Heshima yenu wakuu:
Mimi ni kijana wa kiume mkazi wa Dar es salaam na katika harakati za kielemu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita.
Pia kupitia marafiki nimefanikiwa kuwa na ujuzi wa kutumia Computer na applications zake mbalimbali ikiwemo namna ya ku install hizo apps na kuzitumia na kwa...
Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4.
Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka.
Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa.
Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona.
Shida ni nini hasa?
Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila...
Amani iwe nanyi wadau!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Leo Kuna mkutano muhimu wa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA, ambapo macho na masikio ya watanzania wapenda demokrasia na wapenda maendeleo yapo kwenye mkutano huu wa CHADEMA. Moja ya ajenda kuu kwenye mkutano huu ni kumpitisha...
Ningekuwa mwanasiasa au nipo kwenye kiwango cha kusikilizwa na Serikali bila kupingwa kwa asilimia kubwa, basi ningeishauri Serikali kila kipindi cha Sensa kuwe na taratibu za upimaji COVID-19 na maradhi mengine makubwa ya kuambukiza.
Wakuu poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Katika maisha kila mtu anakuwa anakuwa inspired na watu flani either kimtazamo au life style yao inasababisha mtu kuvutiwa nao. Mfano mzuri ni humu JF kuna baadhi ya members wa jinsia ya kike nimetokea kuwakubali na kuwa shabiki wa kutupwa kwao.
5...
Katika maisha hakuna kitu ambacho uwa kinaleta mshtuko kwa sisi mabaharia kama kutongozwa na demu mkali ambae na wewe ulikuwa unajiandaa kumtokea live, ilikuwa jumapili moja nipo zangu mtandao pendwa wa instagram naperuzi kwenye page ya mmakonde Harmonize Temboo.
Sasa nakumbuka Harmonize...
Wakuu habarnii za miangaiko ya hapa na pale, kiukweli kuna mwanamke tuliachana miezi mitatu imepita ila cha ajabu nashindwa ku move on jamani mda huu kanifanya mtumwa maana nimemuomba turudiane kakubali ila sasa hajawahi kunitumia SMS hadi mimi nimuanze na anajibu kifupi.
Najua hanipendi na...
Jina lake halisi anaitwa Oladee kijana mzaliwa wa Nigeria. kwa sasa ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Ilorin kinachopatkana eneo la Kwara nchini Nigeria.
Mwaka 2009 Oladee alipata mkasa mkubwa ambapo badae mkasa huo ukamfanya kuwa mtu maarufu sana duniani.
Mwaka 2009 alipewa kiasi cha Naira200...
Habari zenu wakuu,
Poleni na miangaiko ya hapa na pale, kiukweli huyu msanii wenu alikiba almaarufu kama kingkiba the real voice siku hizi naona kabisa uwezo wake wa utunzi umeshuka sana, alikiba wa sasa sio yule Alikiba wa 2011 hadi 2015, yule ndio Alikiba niliekuwa namkubari alikuwa...
Wakuuu nimeusikiliza wimbo wa wcb ft diamond platnumz unaitwa qurantine, naweza kusema ni kama hawa jamaa wameishiwa sana ukiangalia nyimbo zima wamekopi nigeria yaani hii video kila sehemu ni kopi kopi tu, pia naona kabisa hii nyimbo haitafikisha viewa millioni moja ikitokea naombeni mnipe...
Binafsi mimi sio shabiki wa muziki ila sijatokea kumuelewa huyu msanii Diamond Platnumz kabisa kuanzia staili ya uimbaji wake yaani naona kabisa jina ndio linambeba mda huu.
Kiukweli ukimuweka Diamond wa sasa na Mario basi jua kabisa bila jina, Diamond haingii kwa Mario hata mara moja, siku...
Wakuu habari za siku ndugu zangu wanaJamiiForums?
Natumahi mu wazima kabisa? wanachuo wenzangu nawakumbusha siku ni chache turudi katika pilika pilika la kusaini boom,
Wakuu niende kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema, kuna mwanamke mmoja ni mwanachuo pia kama mimi, sasa tumekuwa...
Muda mrefu nimekua msomaji tu wa mada zenu nikifuatilia karibu kila post inayowekwa katika mtandao huu, nina circle ndogo sana ya marafiki na watu ninao fahamiana nao kwa muda mrefu sasa hali inayo ni fanya muda mwingi ninao upata niwe nautumia kuwasomeni enyi wakuu wangu, ninavyo vingi vya...
Wakuu nauliza tu kama una binamu wa kike mkali sana anaonyesha dalili za kukutaka kimapenzi, ni sahihi kuwa naye kimapenzi hau? Maana kuna binamu yangu hapa kazidi mazoea nataka kuwa naye
Wakuu poleeni na miangaiko ya hapa na pale.
Leo Mkuu wetu wa Nchi, JPM ametangaza kuanzia wiki ijayo atafungua Vyuo vyote Vikuu kwani anadai ugonjwa wa COVID-19 ushaisha na Tanzania ni salama kabisa🙏🙏🙏,
Nije kwenye mada hapa kitaani kuna msichana mmoja namfukuzia ni Mwanachuo pale UDSM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.