1.Kila mtu anajua,
Kiloikumba dunia,
Huruma itakujia,
Habari ukisikia,
Kwa kubwa asilimia,
Wengi wakiangamia,
Tuwaze na kuwazua,Corona kuizuia.
2.Vifo vinavyotokea,
Afrika na eshiaa,
Italia na India,
Kote wanaugulia,
Kikubwa kilobakia,
Tahadhari kuchukua,
Na tusione udhia,Afya...