jamii

  1. A

    DOKEZO Serikali ifuatilie utendaji Idara ya Ustawi wa Jamii - Hospitali ya Muhimbili, ngazi ya juu hakuna Uwajibikaji

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo. Hivi karibuni niliona habari ya MOI kuhusu yule mgonjwa ambaye alikosa huduma kutokana na uongozi kumkazia kuhusu suala la...
  2. Yoda

    Elon Musk anafifisha dhana ya matajiri kuwa juu ya wanasiasa na taswira ya umwamba juu ya masuala ya dunia?

    Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na ajenda zao ovu kama depopulation, mass control, ushoga n.k Sasa inakuaje Elon Musk tajiri namba...
  3. econonist

    Jamii ya wapemba yatambulika rasmi nchini Kenya kama Raia

    Leo tarehe 15/11/2024 jamii ya wapemba imetambulika rasmi Kama raia na wamepewa vitambulisho vya Taifa la Kenya. Hivyo wapemba wote wanaoishi kwenye Kaunti ya Kwale, Lamu, Kilifi na Mombasa watakuwa na haki sawa Kama wake ya wengine Kama kumiliki Ardhi. Hongera Serikali ya Kenya kwa kuwatambua...
  4. darhood

    Unene ni uzembe nakuna sababu nyingi sana zinazopelekea watu kuwa wanene, Lakini je, solution ni ipi?

    UNENE NI UZEMBE.!! Kwanza kabisa nitashukuru sana ukink Follow on twitter soon nitaanzisha twitter spaces kwa hizi topics FOLLOW HAPA Kuna study ilifanyika mwaka 2022 na shirika linaitwa lancet, hawa jamaa walifanya tafiti na wakaja na majibu yaliyoonyesha kuwa zaidi ya watu billion moja...
  5. The Sheriff

    Jaribio la Utekaji wa Deogratius Tarimo: LHRC yahimiza uchunguzi wa haraka, jamii kutimiza wajibu wa kulinda uhai kila mtu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na video zinazozunguka mtandaoni zikionyesha jaribio la utekaji dhidi ya Ndugu Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha, mkoani Pwani, tukio lililotokea nje ya hoteli ya Rovvenpec Resort, Kiluvya Madukani, Wilaya ya Ubungo, Dar...
  6. Surya

    Kizuri na kibaya, Heshima na mitazamo katika jamii

    Kipindi namaliza college nimerudi home kwa wazazi, nikaanza harakati safi. Tulikua tunaishi kota za Police, baba yangu ni Policeman, kipindi hicho baba yangu alikuwa anamiliki pikipiki, pamoja na kwamba nilikuwa kijana mkubwa home, lakini sikuwa na access ya kuendesha pikipiki ya mshua...
  7. Rorscharch

    Kuchunguza Tabia za Jamii Tanzania: Wajinga, Wenye Ukabila, na Raia - Tafakari ya Kina

    Katika uhalisia wa maisha ya Watanzania, kuna aina tatu za watu ambazo zinaonekana waziwazi — “wajinga,” “wenye ukabila,” na “raia.” Aina hizi za tabia zinatufundisha mengi kuhusu jinsi tunavyoishi, jinsi tunavyoona ulimwengu, na hata jinsi tunavyopima thamani ya uadilifu na utulivu wa kijamii...
  8. Wakusoma 12

    Matajiri wakubwa Tanzania hawana msaada wowote kwa jamii zaidi ya kuinyonya

    Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani. Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo...
  9. Magical power

    Nyimbo yangu special kwa Jamii Forums

    Kuna wanangu nimewalusha umu one love Sisi n ndugu ama vip wadau wangu,ambao sijawataja mtanisamee Bure mana sija yakalili majina yenu vyema ila tupo pamoja🙏🏽
  10. Balqior

    Wanaume wengi sio malaya kama jamii inavotaka kutuaminisha

    Weekend yenu vipi, Kuna stereotype ipo kwenye jamii inayosema kuwa kila mwanaume ana michepuko 5 kwenda mbele, kiuhalisia kwa ground mambo hayako hivyo. Wanaume wengi tunapenda kulala na wanawake wengi tofauti, ila wenye uwezo wa kufanya hivyo ni wachache Wanaume players wenye uwezo wa kuwavua...
  11. Rorscharch

    Mechi ya Yanga vs Tabora imenifanya nitambue jinsi watawala wanavyotumia michezo na burudani kupumbaza jamii

    Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
  12. M

    Njoo na ideas jinsi ya ku sort out changamoto zinazozikumba jamii kwa kutengeneza app na system

    Mko poa kwenye jamii kuna changamoto nyingi sana zinabidi ziwe sort out kwa njia ya tech maana now tech inakua saana. Sasa hapa kuna watu wa aina 2 mwenye uwezo wa kutengeneza mifumo ila hana ideas na .Kuna mwenye Idea ila hajui kutengeneza sasa lengo la huu ni kuwakutanisha hawa wote...
  13. Shanily

    Muendano wa kimawazo katika ndoa.

    Ndoa nyingi za sasa zinavunjika kwakua watu wanaoa au kuolewa na watu ambao hawaendani nao. Mnaweza nyote mkawa na dini, tabia nzuri lakini ndoa ikafa kwakukosa muendano wa kimawazo. Kuna wanaume wao ndo wanataka wawe dominate kwa 100% yaani huna Cha kumwambia, neno lake ndo katiba huyu...
  14. Roving Journalist

     Chuo cha Ustawi wa Jamii: Wanafunzi wanachagua wenyewe kusoma asubuhi au Mchana, tunawashauri wakae karibu na Chuo

    Salaam, Baada ya Mdau wa JamiiForums kulalamikia Ratiba ya Masomo ya Chuo cha ustawi wa jamii Kwamba Wanafunzi wanasoma hadi hadi saa 4 usiku kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa wanafunzi, Chuo kimetoa Ufafanuzi. Katia taarifa yao wameeleza hivi; Tarehe 3 Novemba, 2024 ilisambaa taarifa...
  15. B

    Jamiiforums: Kuna Tatizo

    Ukiona umecomment mara Moja harafu ukaona umeletewa maneno ya English harafu juu upande wako wa kulia Kuna x au mkasi 😁 We bonyeza pale kwenye mkasi hiyo comment itakuwa imeshajiplace usirudie mara mbili
  16. comte

    Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
  17. comte

    Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
  18. Gabeji

    Je ni rahisi kupatikana kiongozi bora kwenye jamii sio kuwa na maadili na uwadilifu?

    Habari wanajamiii forum, ! Kwa utamaduni wa inchi yetu, ya Tanzania ukipewa nafasi ya kutaja viongozi bora bila kujali itikadi na dini, ni kazi ngumu sana kuwapata afadhili ukachukue jembe ukalime, kwa sbb what mifumo ya sheria na utamaduni zetu za usinichi, Ila utawakuta wenye uwafadhali...
  19. Vichekesho

    Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

    Uislamu ni dini inayokua kwa kasi ulimwenguni, jamii hiyo imefanya maandamano ya amani kuunga mkono ndoa za jinsia moja. Pichani ni waislamu wa uk wakifurahia mwenendo wa maandamano. Nakuacha na nukuu toka kwa Mtume Muhammad, kipenzi cha Waislamu wakweli. Kasema Mtume (s.a.w) "Anamwijia...
  20. Masalu Jacob

    Je, Serikali itaruhusu matibabu bure kwa jamii ?

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza inaruhusiwa kujenga Hospital binafsi na kutoa huduma ya Afya bure bila gharama yoyote kwa kila mtu mwenye changamoto. Nauliza swali, je kwa nyinyi Serikali mtaruhusu mtu binafsi atoe hiyo huduma buree!? Karibu.
Back
Top Bottom