jamii

  1. Sina Ndugu

    Nimefanikuwa Rasmi kufungua akaunti ya Jamii Forums leo .

    Habari zenu wana Jf? Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana.... Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti.. Ahsanteni!!
  2. P

    Wafamasia kesho mna jambo lenu, kipi Cha kujivunia tiririkeni tunufaike kama jamii

    Wafamasia kesho ndo siku yenu kipi mnafurahia na kipi kinawaboa
  3. Pascal Mayalla

    Helios Towers, kwa Ushirikiano na Camara, Yakabidhi Maabara ya Tehama Shule ya Sekondari ya Jamii ya Wafugaji ya Endevesi, Oljoro, Arusha.

    Kampuni ya Helios Towers, Yakabidhi Darasa la Maabara ya Tehama na Compyuta 26 kwa Shule ya Sekondari ya Endevesi, ambayo ni ya watoto wa wafugaji, Eneo la Oljoro Arusha. Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, kwa ushirikiano na taasisi ya...
  4. Dkt. Gwajima D

    Shukrani kwa Jamii Forums kwa kunipa Tuzo 🙏🏽

    Salaam kwenu wanajukwaa. Ningependa kuwashukuru Jamii Forums (JF) kwa tuzo hii ya kipekee. Ni fahari yangu kutambuliwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi kupitia majukwaa ya kidijitali. Pia, ni heshima kwa Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu...
  5. Daniel Adam Kidingija

    Afya ya Akili: Sikuwa hivi nilivyo

    Watu wengi mtu anapokosea kufanya jambo, tunalaumu. Wachache hujiuliza amekutwa na nini. Jambo tusilofahamu ni kwamba, kila moja achukuliwe kwa upekee alionao. Haina maana tumpongeze mtu anaevunja taratibu nzuri katika jamii zetu. Upekee hujengwa na sababu za kimazingira, na za kibaiolojia...
  6. THE FIRST BORN

    Moja ya Makada wa CHADEMA ambao wenye mvuto sana kwa jamii katika ulingo wa Siasa ni Boniface Jacob A.K.A Boni Yai remember the name

    Habari! Mimi ni Moja ya wafuasi wa kutupwa Kule X nafuatilia sana machapisho ambayo hua anayaweka huyu jamaa For sure this Man ni threat Kwa serikali jamaa hua hatumii matusi hata kama baazi ya vijana wengine waliko katika Siasa. Umejiuliza kwanini Boni YAI na sio Martin Maranja? Martin hua...
  7. jingalao

    Napinga kodi yangu kitumika kulipia vyama vyenye kazi ya kuleta taharuki na vurugu kwenye jamii.

    Ni ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
  8. Ojuolegbha

    Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii kufanyika Septemba 18-20, 2024

    Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Septemba 18-20, 2024
  9. JamiiForums

    Je, ulishiriki Stories of Change? Tafadhali angalia PM yako

    Katika mpango mkakati wa JamiiForums (JF) wa miaka 5 (2020-2024), JF ilidhamiria kuendesha shindano lenye kuwawezesha wananchi kushiriki katika kuongeza ubora wa maudhui ya Kiswahili yenye kuchochea mabadiliko. Shindano hili lianza rasmi mwaka 2021 na huendeshwa kila mwaka. Mwaka 2023 kuanzia...
  10. S

    Kilichoiponza azam fc hadi kufungwa bao nne na yanga ngao ya jamii

    Angalia na sikiliza kwa makini katika video hii hapa kocha wa azam akihojiwa
  11. Pfizer

    Pre GE2025 Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo

    Na MWANDISHI WETU, IGUNGA WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni tegemeo kwa Taifa. Amesema chokochoko za uongo za mbunge huyo zinapogusa sekta ya kilimo hawezi...
  12. F

    Nafikiri kuna haja ya kuongeza emoji walau mbili zaidi kwenye Jamii Forum threads, tuweke emoji Thanks, Nzuri, Kicheko, Mshangao, Masikitiko, Dislike?

    Kuna kitu kinakosekana wakati mwingine unataka kusema Yes au No, lakini hazipo. Je JF waongeze emoji zipi zaidi ya zilizop? Mods kichwa cha habari kiwe: Nafikiri kuna haja ya kuongeza emoji walau mbili zaidi kwenye Jamii Forum threads, tuweke emoji gani zaidi ya Thanks, Nzuri, Kicheko...
  13. I

    Big Up Mzizi Mkavu, Asante Jamii Forums!

    Hamjambo member wote wa JF? Mimi naitwa inch 9, mwanachama mpya mkongwe wa JF nichukue fursa hii kumshukuru Mungu wangu pamoja na wale waliofanikisha kunileta duniani. Awali ya yote napenda nimshukuru pia member mkongwe wa JF wa kuitwa Mzizi Mkavu kwa sababu kupitia yeye ndo nilianza kuufahamu...
  14. chibe dayo

    Msaada wanna jamii forums

    Habari, Wanandugu naomba kujua sehemu gani naweza kupata beef fillet kwa bei chini ya elfu 15 popote pale ntafika kwa sasa Arusha. Asanteni
  15. PLATO_

    Jeshi la kujenga taifa JKT litutumie Vijana kwa maslahi ya jamii zetu

    Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa sana la vijana wanaopenda kujiunga na jeshi la kujenga taifa hasa wale wa mujibu wa sheria huwa wanajaa mno. Ijapo kuwa jeshi hili halitoi ajira, lakini vijana wengi huwa wanapenda kuomba nafasi za kujitolea ili mradi tu watimize ndoto zao na wengine huamini...
  16. Roving Journalist

    Bunge lapitisha muswada wa marekebisho ya sheria za hifadhi ya jamii

    Na; Mwandishi Wetu - DODOMA BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao. Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa...
  17. O

    Kusaulika kwa nafasi ya Kijana Mvulana katika jamii

    Habari zenu wanajukwaa Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu kwa kipindi cha hivi karibuni jamii imemuwezesha sana mtoto wa kike na kumsahau kabisa mtoto wa kiume je sisi kma jamii tunafanyeje kumsaidia huyu kijana wa kiume aliyesahaulika. Na kwa sasa hivi hata nyinyi wazazi mtakuwa mashuhuda...
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Huyu ashitakiwe kwa kuongea uongo na kupotosha jamii

    Mimi simjui huyu mtu ila mpaka media zinamwita kufanya naye mazungumzo bila shaka ni mtu maarufu katika jamii. Anatoa uongo kwa manufaa ya nani? Ni kweli sasa bodaboda wamekuwa wengi sana. Kila kwenye stand ya daladala kuna stop ya bodaboda, kila kwenye soko, makutano n.k kuna stop ya...
  19. Hypersonic WMD

    Jamii forum Inafanya sensorship na filter kubwa sana siku hizi!! Si sehemu huria kama mwanzo

    Sasa ivi hii platform hovyo sana! Kila nyuzi wanafuta!! Hata nyuzi zisizo za siasa!! Maoni binafsi story binafsi Yaan kifupi wanataka kila mtu awe mwandishi wa habar siyo sehemu tena ya ku interact. Good luck Jf Nawa tabiria kifo by 2030
  20. mkolaj

    Jukwaa la Jamii forum doctor au Jf Afya limepotelea wapi?

    Ndugu wanaJf ni simu yangu tu au na ninyi kwenye simu zenu Jukwaa la Afya kutoonekana! Tangu Jana nalitafuta silipati. Kuna shida gani! Naomba mwenye kujua tatizo atuambie....
Back
Top Bottom