jamii

  1. Idugunde

    Vijana wa CHADEMA msipotoshe umma. Aliyebakwa yupo salama. Msitumie mitandao ya jamii kupotosha mambo. Mnaitumia vibaya X

  2. C

    Umuhimu wa ndoa katika jamii ya kisasa

    Katika jamii ya kisasa, dhana ya ndoa imebadilika kwa kiasi kikubwa ikilinganishwa na zamani. Watu wengi sasa wanajiuliza kama ndoa bado ina umuhimu kama ilivyokuwa hapo awali. Katika makala hii, tutachunguza mabadiliko haya na umuhimu wa ndoa katika maisha ya watu wa sasa. 1. Ndoa Haina...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ni Sawa umeenda kupima DNA Na ukakuta mtoto sio wako utafanyaje?

    Kheri Kwenu mabibi na mabwana. Moderator msifute huu Uzi hatutaelewana kabisa. Nikweli natambua yakuwa gharama za kupima DNA sio kubwa ukilinganisha na gharama za kuleta mtoto Ambae sio wako. Yaani utunze mimba,gharama za kujifungua, malezi ya mtoto,usomeshe Hadi chuo kikuu mtoto apate kazi...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSPF Kutoka ESWATINI Wafurahia Mafanikio NSSF

    MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA PSPF KUTOKA ESWATINI WAFURAHIA MAFANIKIO NSSF Mhe. Patrobas Katambi asema NSSF inazidi kuimarika, unaweza kulipa mafao bila kutetereka Na MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe...
  5. Vincenzo Jr

    Ratiba ya Ngao ya Jamii 2024.

  6. T

    JamiiForums tunaomba mtupe mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza

    Kama kichwa kinavyojieleza, JF naomba mtupatie mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza. Natanguliza shukrani.
  7. D

    Kwanini jamii za kiislamu wanapenda sana kupokea kuliko kutoa? Hawaoni kama wanaharibu utu wao?

    Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda Tabora, Ujiji, Zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee. Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni...
  8. Stephano Mgendanyi

    Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii Kijiji cha Mundindi - Wilaya ya Ludewa

    UZINDUZI WA BIMA YA AFYA YA JAMII KIJIJI CHA MUNDINDI - WILAYANI LUDEWA Tunakushukuru kwa tukio la Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii ya Kijiji cha Mundindi- Kata ya Mundindi- Wilayani Ludewa. Kijiji cha Mundindi kimefanikiwa kuandikisha wananchi kwenye mfuko wa Bima ya afya ya Jamii (iCHF)...
  9. Dan Zwangendaba

    Majina haya yanatoweka kwa kasi katika Jamii

    1. Sikudhani 2. Mwamvita 3. Chiku 4. Mwadhani 5. Sipati 6. Jualako 7. Ubaya 8. Havijawa 9. Havintishi 10. Hakai 11. Hazimala 12. Msichoke 13. Ongeza yako Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
  10. Arch Barrel

    Wapi walipo hawa Legendary wa Jamii Forums

    Wakuu samahani naomba kuuliza na kujuzwa wapi walipo hawa member wa kitambpo wa JF? Walipatwa na umauti? Walibadirisha ID? Wako wapi? GUDume Zero Iq Joseverest Na wengine wengine wakongwe wa JF
  11. M

    Ukisikia ulivyosemwa kipindi haupo tena na ambao ulijua wangekutetea hata usipanic(hamaki), ndivyo ilivyo kwenye jamii maskini ✍️

    UKISIKIA ULIVYOSEMWA KIPINDI HAUPO TENA NA AMBAO ULIJUA WANGEKUTETEA HATA USIPANIC( HAMAKI), NDIVYO ILIVYO KWENYE JAMII MASKINI ✍️ Moja ya sifa kubwa ya maskini wa fikra ni kuongelea wengine yaani kwa lugha rahisi tuseme Majungu. Ondoka usemwe huu ni msemo maarufu sana wenye maana kuwa...
  12. ngara23

    Niko addicted na JamiiForums

    Aisee humu JF Kuna nini. Me ndo natumia muda wote Sina hiyo Facebook, Instagram, x n.k. Muda mwingi Niko hapa kusogoa, kutaniana, kujifunza, kushare mengi Naipenda JamiiForums mno
  13. MK254

    China yaanza kulazimisha wanawake kuachika mimba kwenye jamii ya waislamu wapunguze kuzaliana

    Hii China ambayo husifiwa sana humu na waislamu wa JF ndio hii inatumia kila mbinu za kila aina kuhakikisha hamzaliani huko, wanalazmisha hata mimba kuachika. Kila siku mnaimba "death to America"................ ======================== The Chinese government is taking draconian measures to...
  14. M

    SoC04 Wasanii wazingatie maadili ili kujenga jamii bora

    Nchini Tanzania ukiwazungumzia vijana asilimia kubwa utawakuta kwenye sekta ya utamaduni, sanaa na michezo, wengi wanashiriki katika michezo, muziki, maigizo, ucheshi na sanaa nyingine hali inayochangia ukuaji wa kasi wa sekta hii. Kwa mwaka 2023, sekta ya sanaa imekuwa kwa asilimia 17.7% , kwa...
  15. G5bajuta

    SoC04 Katika miaka 5-25 ya mabadiliko ya nchi na jamii ningependa kuona au kuchangia mambo yafuatayo ili kupata maendeleo yenye tija katika nchi yetu

    KWANZA AWALI YA YOTE NAMSHUKURU MUNGU KWA AMANI NA NEEMA ALIYOTUPA SISI KAMA TAIFA LAKINI YAFUATAYO NI MITAZAMIO YA MIAKA 5 HADI 25 NTAKAYOCHANGIA;- 1. Kulingana na mtazamo wangu miaka ijayo kutakuwa na ongezeko kubwa la watu na makazi hivyo kwa hiyo hatua inatupasa kama jamii tuzingatie hayo...
  16. Yoda

    Nini madhara ya talaka katika jamii?

    Hivi talaka zina hasara au faida zaidi katika jamii?
  17. Acehood

    Kazi za afya ngazi ya jamii

    Wakuu naomba aliye na ABC za muundo wa mafunzo ya miezi mitatu kwa waliobahatika kupata nafasi ha kwenda kwenye mafunzo ya afya ngazi ya jamii. Hivi kunakuwa na posho wakati wote wa mafunzo. ( Posho kwa siku au kwa mwezi?). Naomba kulifahamu hili mapema kwa anayejua.
  18. Roving Journalist

    CP Suzan Kaganda: Wasimamieni Askari wasitumie lugha zisizofaa, Jamii inalalamika

    Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu Jeshi la Polisi, CP, Suzan Kaganda amewataka Makamanda wa Polisi wa Usalama Barabarani wa Wilaya nchini (DTOs) kusimamia majukumu yao ipasavyo wakati wa kujaza fomu ya taarifa ya ajali za barabarani. CP. Kaganda ametoa maelekezo hayo Jijini Arusha Juni 21...
  19. Idd Ninga

    Jamii ya Kimasai yaanzisha mfumo wa Uongozi wa Kimila wa Wanawake

    Jamii ya Kimasai ni Moja ya jamii ambayo hadi sasa inaishi kwa kufuata mila na tamaduni zake, tofauti na jamii nyingine ya kiafrika ambapo sasa hivi zinakwenda kusahau kabisa mila yake. Katika jamii ya kimasai, kuna Viongozi wa kimila Wanaojulikana kama Leigwanan, hawa ni viongozi ambao...
  20. Paspii0

    SoC04 Tanzania tuitakayo yenye huduma bora za Mifuko ya hifadhi ya jamii endelevu, na yenye maslahi kwa wafanyakazi!

    UTANGULIZI -Hifadhi ya mifuko ya jamii nchini Tanzania inajumuisha mifuko kadhaa ambayo inatoa huduma za kijamii na ya kifedha kwa wanachama wake. Mifuko hii inatoa huduma kama vile pensheni, bima ya afya, mikopo ya elimu na makazi, na msaada kwa wastaafu. Kusudi lao ni kuhakikisha usalama wa...
Back
Top Bottom