Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".
Mm Mjanja M1 bajeti yangu ilikuwa ni nauli tu za kunifikisha kwenye majumba ya watu kuupiga Ubweche, maana nimezipitia nyumba kama 5 ivi kwa haraka haraka kuupiga kwenye sikukuu ya jana.
Nilitumia Buku tu, 1000/=
Vipi wewe bajeti yako ilikuwaje.?
Kuanzia miaka ya 1980's dunia inashuhudia mabadiliko makubwa ya ukuwaji na harakati nyingi wa mtindo wa maisha yanakuwa ni wenye kubadilika, kwa mshangao mkubwa wazee wa sasa wanatuambia mambo yao ya zamani waliyokwishayafanya, serikali inapigia msrumari kuwa vijana wa sasa ni hovyo na hata...
Huu upwiru utakuja kutuua jamani aisee tunapaswa kuwa na tahadhari wakati huu wa ujana wadau ama kweli ujana ni kaa la moto wakuu ukiuvhezea vibaya utakuja kujuta uzeeni kiukweli yaliyonikuta jana ni habari nyingine wakuu mniombeea
Jana maeneo fulani ya Binyampola hapa Kahama nilienda zangu...
Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga.
Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu mwenzao.
Refa asingepata mpenyo wa kuchomoka labda angetumia chopa ya jeshi
Jana Yanga haikustahili kuishia hatua ya robo, ile goli ni halali kabisa na ushahidi wa video ni huu hapa. Mpira ulivuka mstari wa goal line kwa zaidi ya asilimia 100 kisha uka rebound tena.
Unaambiwa hakuna Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza na hata wale wa Akiba ( Subs ) waliocheza hapa Dar es Salaam na Fungulia Mbwa FC jana walicheza katika Mechi yao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo hata hivyo Walishinda Goli 1 kwa 0.
Mamelodi Sundowns FC watauwa Mtu na inaonyesha hawatanii na...
Baada ya mechi ya jana kati ya Simba(makolo) na Al Ahly kuisha kwa kolo kuchomekwa kimoja na kushindwa kukichomoa wameibuka washabiki maandazi wa Simba wasiojua mpira na kuanza kusema jana simba alicheza sana mpira.
Kwenye mpira kucheza/kumiliki mpira dhidi ya mpinzani wako kunaweza kutokea...
Katuchambisha la Kwanza na ilikuwa kidogo tena atuchambishe na la Pili sema Babu nae alikuwa anajitahidi Kutuokoa.
Mwambieni Inonga kuwa nina Taarifa za ndani kuwa anataka kuondoka Simba SC kwa Kuzuga anaenda Ulaya kisha baadae anahamia kwa Wanaoenda Kumnyoosha vilivyo Mamelodi Sundowns FC leo...
Na hasa nguo za ndani mfano chupi, bra, boxer, vests. Wanao kuwa jirani nawe wanapata tabu sana kwa uzito wa fukuto la hewa nzito ya kiutu uzima, isiyostahimilika kutoka maeneo mbalimbali ya mwili wako, huku ukiwa umechomekea mwenyewe. 🐒
Kumbuka mwili una hema, na vilevile mwili unapumua. Dah...
Wadau, jana nimeota kuwa Yanga atashinda nje ndani kwa idadi ya magoli 4-2 huku Mudathiri, Pacome na Aucho wakishinda kwenye magoli hayo 2, mara nyingi huwa naota ndoto za kweli huenda ikawa idadi ya magoli ni tofauti ila Yanga anapita hatua inayofata na huenda Watakutana fainali yeye na...
Nimetoka zangu home nikaona niende kijiwe samli kufanya service ya gari. Ijumaa mabruki ilikuwa kwangu tawile tu sina makuu ni siku ambayo mara nyingi nala biryani pale Kariakoo, Lumumba Maghorofani.
Jana haikuwa hivyo. Nikaona isiwepo tashdidi. Nikiwa na kanzu yangu nikannunua vimiminika...
Wewe kila siku ukifunga magoli ya ndondocha unapiga simu, washabiki wako wakawa wanasema kuwa viongozi wa Azam ndio unawapigia simu lakini hawapokei, sio kwamba hawapokei, viongozi wa Azam wana adabu sana, kwa sababu walikulea wenyewe, ukaondoka ukarudi tena bado wakakubeba, ukawa unaleta nyodo...
Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas.
Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi...
Hawa wenzetu wanazeeka haraka sana jamani jana nilikuta na class mate wangu ila ilikuwa ngumu sana kumgundua hadi nilipo mchunguza kwa makini ndio kuja kugubdua ni class mate wangu wa sekondari 2006 2010 ila ni mmama kabisa yaani yule after 4 to 5 atakuwa na wajukuu kabisa.
Sasa kuna rafiki...
Mara kadhaa niliona matangazo kwamba uchaguzi utakuwa mwaka 2023, nini kilitokea mpaka haukufanyika?
Mimi kama mpigakura ninapenda kuona safu mpya ya uongozi ili kuanza kwa maono mapya.
Mm ni mmoja wa wadau wakubwa wa Azam, iwe media, iwe tigopesa, iwe sports, iwe ice cream ali mradi tu imeitwa Azam.
Jana, kabla ya mchezo haujaanza kipa wa Singida Benedict Haule alionekana kwenye luninga akiwa amesimama langoni ameshika taulo lake na maji, akaweka chupa zake za maji vzr, ndani...
Kwema Wakuu!
Sisi wengine ni Watu wa misifa, Watu wa mitandaoni, Watu wa kujionyesha, Watu wa kujimwambafai tukio kama la jana kwangu lingeniongezea Credit muhimu sana.
Kutokuonekana inamaamisha sikuwepo ama? Kutokuonekana kwenye picha yoyote au video yoyote ya tukio inamaanisha sikuhudhuria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.