janga

Rangelo Maria Janga (born 16 April 1992) is a Curaçaoan professional footballer, who plays for NEC Nijmegen, on loan from Astana, and the Curaçao national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Father of All

    Nawashauri wahanga wa janga la Kariakoo waishitaki serikali badala ya kupongeza

    Kazi ya kwanza ya serikali ni kulinda uhai wa wananchi. Pili ni kulinda mali zao. Ibara ya 14 ya katiba ambayo ndiyo sheria mama inasema "kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake, kwa mujibu wa sheria." Ni kwa mujibu wa sheria tu uhai wa mtanzania unaweza...
  2. Msanii

    DOKEZO Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake ni janga kwa wagonjwa na ndugu wanaouguza pale

    Mnamo tarehe 18 Novemba 2024 nilienda hospitali ya rufaa ya Mloganzila kumtazama shemeji yangu aliyelazwa pale na kichanga wake aliyejifungua kwa oparesheni. Nilipofika getini nilielekezwa na walinzi sehemu ya kusubiria muda wa kuingia kuona wagonjwa. Nikiwa eneo hilo nilipata kusikia mawili...
  3. chiembe

    Sijawaona Mwamposa na wenzake pale katika janga Kariakoo

    Hawa jamaa nadhani walitakiwa pale ghorofani ili wafanye jambo la muhimu sana, sijawaona, au ratiba zimewabana?
  4. MamaSamia2025

    Hii michango inayochangishwa na watu binafsi kwa ajili ya janga la Karikoo ifuatiliwe

    Kiukweli nimejaribu kutafakari ili kujiridhisha kuhusu michango inayochangishwa na baadhi ya watu maarufu kuhusu janga la Kariakoo ila naona ni kama utapeli. Ikumbukwe kwa ishu ya Kariakoo tayari serikali iko pale na kusimamia kila kitu kwa 100% huku taasisi kubwa nyeti nchini zikiwa kwa karibu...
  5. and 300

    Janga Kariakoo - Bendera zinafaa kupepea nusu mlingoti

    1. Vifaa vya uokozi na magari ya kifahari, vipi ghali? Na muhimu? 2. Watu wamekufa, baadhi bado wamekwama. Kwann tusiomboleze Kwa kupepea Bendera nusu mlingoti.
  6. jingalao

    Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  7. A

    Uchawa umekuwa janga la kitaifa Tanzania

    Habarii ndugu zangu Watanzania??, Nilikuaga nachukulia suala la UCHAWA ni la watu wachache wasiojitambuaa Leo nimengudua ndugu yangu Ninaemheshimu Sana na ana Masters kabisa na yeye ni Chawa expert,,,,,,, UBINASFI,UBINAFSI,UBINAFSI Ee Mungu tusaidiee!!!!!
  8. uhurumoja

    Hili janga lililopiga Valencia utaona sisi Mungu anatuepusha na mengi sana

    Nawaangalia wakazi wa Valencia namna wanashirikiana kusafisha mji wao hadi Raha maana bila kujali muonekano wala nini wote wanakula tope mwanzo mwisho tena wakiwa na staha sio Madera bila chupi Wala vifua wazi. Sisi Mungu katuepusha na majanga makubwa kama haya ya asili sema kinachotuangusha ni...
  9. GENTAMYCINE

    Ulevi wa Kupindukia, Ubakaji na Ulawiti ni Janga Kubwa kwa sasa Mkoani Kilimanjaro

    Mkuu wa Wilaya ya Moshi James Khaji kasema anaomba Viongozi wa Dini wauombee Mkoa wa Kilimanjaro kutokana na sasa kukumbwa na Janga Kubwa la Wanaume kuwa Walevi wa Kupindukia, Kubaka na Kulawiti. Chanzo: TBC1 Asubuhi ya Leo. Mashemeji zangu Wachagga mmekumbwa na nini tena Siku hizi? Na nyie...
  10. Msanii

    Utitiri wa post zikihusisha CHADEMA kwenye utekaji ni kiashiria kuwa inaandaliwa kesi. Kaeni chonjo

    Mengi niliyoyaweka hapa jukwaani yamejjri na wala sijisifu kwa hilo, kwa sababu huwa nazama kwenye maombi yasitokee lakini kwa utawala huu nimegundua Mungu hajibu maombi yangu yote. Pia soma: Kuelekea 2025 - Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao...
  11. Kidabwenge

    Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

    JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
  12. W

    WHO: Mlipuko wa Ugonjwa wa Mpox ni janga la Kiafya la Kimataifa

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa (WHO),Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa Mlipuko wa Mpox si janga la Afrika pekee bali ni la kimataifa katika mkutano wa kamati ya dharura ya shirika hilo Agosti 14, 2024. Kwa mara ya pili tangu mwaka 2022, ugonjwa umetangazwa...
  13. D

    Haya matamasha ya kikabila ni janga la Taifa: sasa hivi Wanyakyusa wako ITV

    Hivi vinavyoitwa matamasha ya kikabila yanayojitokeza kwa kasi siku hizi havina afya ktk kujenga umoja wa kitaifa. Kuna ajenda gani imejificha humu? Walianza wasukuma, halafu wanaigana utafikiri sifa kumbe ni janga. Karne hii watu mnatukuza ukabila? Mnaunda vikundi vinavyohamasisha ubaguzi...
  14. Robert S Gulenga

    Uharibifu wa mazingira ni janga kubwa sana, shule na vyuo vitumike kusaidia kupambana na janga hili

    Hakuna shaka kuwa janga la uharibifu wa mazingira ni tatizo la Dunia nzima, athari za janga hili ni kubwa sana, Tanzania kama sehemu ya Dunia tumeanza/tunaendelea kupitia maafa ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mvua, kupungua kwa vyanzo vya maji, mafuriko, kukauka kwa mabwawa etc ambavyo vyote hivi...
  15. TZ-1

    Kumbusho: Kula kingi kuliko kinachozalishwa ni janga la baadaye

    Bajeti Kuu ya Serikali ya Tanzania mwaka wa fedha 2024/25 Jumla ya bajeti ya viburudisho, tafrija na kubadilisha samani (furniture) ofisi na nyumba za DCs, RCs, Mawaziri katika Serikali ni TZS 1.9 trilioni. Bajeti ya Wizara ya Kilimo 2024/2025 ni TZS 1.2 trilioni na Bajeti ya Wizara ya Afya kwa...
  16. Pdidy

    Dada wa kazi wanasaidia sana kulinda ndoa za watu hapa mjini else nyingi zingepumua icu

    House girls wote popote mlipo. Naomba niwape heshima zenu, na kwa KONGOLO KUBWAA. Haijalishi mateso na mapito mnayopitia, ila akili zenu kubwa za kutembea na wenye nyumba na kuwasitiri zinasaidia kupunguza talaka hapa mjini. Ni wachache watashindwa kutambua hili, ila binafsi kabla ya kulala...
  17. Sir John Roberts

    KERO Hospitali ya Taifa Muhimbili (Mloganzila) Madaktari wanafunzi ni Janga. Watu wanakufa kwa uzembe

    Hii hospitali kama serikali na uongozi hautachukua hatua za haraka watanzania wengi wataendelea kufa kwa uzembe wa madaktari wanafunzi ambao hawasimamiwi ipasavyo na wakuu wao kazi. Nimeshuhudia mgonjwa wangu akiambiwa hana tatizo lolote la nyonga baada ya kumpeleka akiwa amepata ajali na...
  18. kipara kipya

    Kila mchuma janga hula na wakwao kisa cha kijana mbishi!

    Hiki ni kisa cha kijana mmoja mbishi kilitokea miaka ya 2008, Kijana alitokewa na bahati ya kupata shangazi mpaka baadhi ya vijana wengine walifikiri kwanini zari halikuwaangukia wao ....... Katika shughuli zake za ukatishaji tiketi. Wakaanzisha uhusiano kijana akapewa kila alichohitaji kwanza...
  19. Mad Max

    Watanzania tupo tayari kupokea Electrical Vehicles (EVs)?

    Wakuu habari. Bado Watanzania wengi tuna wasiwasi kuhusu "transformation" kutoka kwenye magari ya kutumia mafuta (ICE - Internal Combustion Engine) kwenda magari ya Hybrid (pamoja na Plug-in Hybrid) au kumaliza kabisa full Battery Electrical Vehicles (BEV). Nilikua napenda tujaribu kudiscuss...
Back
Top Bottom