janga

Rangelo Maria Janga (born 16 April 1992) is a Curaçaoan professional footballer, who plays for NEC Nijmegen, on loan from Astana, and the Curaçao national team.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    SoC01 Janga la hamsini kwa hamsini ifikapo 2025

    TAFAKARI NAMI KATIKA MAKALA HII Kumekuwa na kelele nyingi zinazohusu usawa wa kijinsia, kauli mbiu ikiwa ''Hamsini kwa Hamsini ifikapo 2025''. Kumekuwa na nadharia kuwa wanaume wamekuwa wanawakandamiza wanamke, Tumeshuhudia katika kipindi miaka kumi iliyopita kumekuwa na ongezeko kubwa la...
  2. D

    SoC01 Je, UKIMWI sio janga tena kama ilivyokua mwanzo?

    UKIMWI sio neno geni kwa watu wengi Tanzania. Watu wengi wameufahamu ugonjwa huu kutoka mashuleni, kwa ndugu au jamii kiujumla. Hali hii imefanya hofu juu ya ugonjwa wa UKIMWI kupungua kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka ya 1980 ambapo ugonjwa huu ndio ulikua unaingia nchini na watu hawakua...
  3. comte

    Janga la Corona limeifanya Ulaya itambue kuwa kuna utalii bora na utalii usio bora

    https://www.bloomberg.com/news/articles/2021-08-17/amsterdam-prague-and-barcelona-see-tourism-silver-lining-in-covid-lockdowns?utm_medium=cpc_social&utm_source=facebook&utm_campaign=BLOM_ENG_EDITORL_COALL_FB_SO_WTRF_ADSALEINIT_KEYCO_00XXXXCPC_2PFB_XXXX_BUSFINLUXREAD_X1854_COALL_XXXEN_ALLFOA_ASP3_...
  4. sajosojo

    Kwa Uzembe Huu wa CRB tujiandae na janga la ghorofa kuanguka hapa mjini

    Leo nilikuwa na route za sehemu mbalimbali hapa down town yaani Dar es Salaam, nimeona majengo mengi yakijengwa chini ya kiwango na mamlaka husika zipo zinawaangalia tu, mfano kuna jengo moja pale Magomeni Mikumi yaani limelala kama kinadondoka na kuna jengo lingine liko kama unaenda Coca-Cola...
  5. Mtu Asiyejulikana

    Bro ametuachia Janga kubwa sana, sababu tu ni Upendo wake kwetu

    Ametuachia toto Jinga sana. Tumelikuza limefika miaka 30 linataka oa. Tunaliuza umejipanga una Tsh ngapi. Linasema halina hata shillingi. Bwege kabisa fala, zumbukuku, topolo kabisa. Tunaliambia sasa wewe unatakaje kuoa huna kitu. Nenda kajipange linalia kuwa angekuwepo baba yake angeliozesha...
  6. C

    Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus

    Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus duniani. Mpaka sasa F9 Imetengeneza dola milioni 700, huku dola milioni 200 zikitoka kwa watazamaji nchini China. Studio za Universal...
  7. M

    SoC01 Namna Bora ya kukabiliana na Uvuvi Haramu

    Utangulizi Kwa muda mrefu kumekuwapo na changamoto ya wananchi wengi waishio katika maeneo yanayozunguka bahari, maziwa na mito kufanya shughuli za uvuvi bila kufuata sheria na taratibu zinazowekwa na serikali na hivyo kufanya serikali kukosa mapato huku samaki na viumbe wengine waishio majini...
  8. Analogia Malenga

    #COVID19 Dkt. Dorothy Gwajima: Tusifanye mzaha na Janga la Corona

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, amewakumbusha Wananchi wanaoendelea kufanya mzaha juu ya janga la corona kuchukua tahadhari badala ya kulichukulia kwa wepesi jambo hilo. Dkt. Gwajima ameyasema hayo leo akizungumza na waandishi wa habari...
  9. JJoh

    SoC01 Namna bora na ya kisasa kupambana na janga la moto

    SEKTA: MAENDELEO NA TEKNOLOJIA Historia Fupi yakweli: Mnamo Sept 6 2017 saa 6 kasoro mchana, Mimi mwandishi nilipata janga la moto. Ilikuwa ni safari ya Dar Es Salam kwenda Arusha kwa basi la kampuni ya “LIM SAFARI’S” lilishika moto eneo la MANGA. Uhalisia moto ulianza mdogo sana lakini...
  10. Kidagaa kimemwozea

    #COVID19 Watanzania tuache uzushi dhidi ya chanjo ya COVID -19, Je mchango wetu ni upi katika kukabiliana na hili janga?

    Mlipuko virusi vya korona mwishoni mwa mwaka 2019 umebadili kabisa mifumo ya maisha duniani. Ugonjwa huu umesabababisha athari kubwa sana katika kila sekta pamoja na kugharimu maisha ya watu. Nikutokana na athari hizo ndiposa wataalamu wengi wamekuwa wakisumbua vichwa kutafuta suluhisho ili...
  11. Taured

    HESLB ni janga la Taifa

    Baada ya kuambiwa waoendoe 10% penalty na 6% kama VRF yaani huwezi amini balance ya Deni la heslb mwezi may na June 2021 inatofautiana kwa Shs 15/= tu wakati makato ya 15% kwenye basic salary yamebaki constant! Ama kweli naanza kuamini kwamba hii board haina nia nzuri na watanzania maskini na...
  12. N

    NSSF ni janga, Rais Samia itazame taasisi hii

    Wasalaam, Nimeachishwa kazi mwezi wa 3. Nimeenda kuangalia statement yangu ya michango inaonesha haijawasilishwa na mwajiri wangu kwa miezi 16. Nimefuatilia kwa mwajiri ananipiga tarehe tuu aliniambia atazipeleka. Sasa najiuliza NSSF kazi yao ni nini kama sio pamoja na kuwakagua waajiri na...
  13. Miss Zomboko

    #COVID19 Viwango vya migogoro kote duniani vimeongezeka tangu kuzuka kwa janga la virusi vya corona

    Viwango vya migogoro kote duniani vimeongezeka tangu kuzuka kwa janga la virusi vya corona. Hii ni kulingana na ripoti ya kila mwaka ya faharasi ya amani duniani iliyochapishwa Alhamisi na taasisi ya uchumi na amani. Ripoti hiyo, inayotathmini hali ya mwaka 2020, inaonyesha kwamba mizozo...
  14. beth

    WHO: Hatuna mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya janga la Corona

    Afisa wa Juu wa Shirika la Afya Duniani amesema WHO haina mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya mlipuko wa Virusi vya Corona Hivi karibuni Nadharia ya kuvuja kutokea Maabara iliyopo Wuhan kwa bahati mbaya imekuwa na mjadala mpya baada ya Wanasayansi kadhaa kutaka...
  15. L

    #COVID19 China iko tayari kubeba jukumu la uongozi katika kuisaidia Afrika kufufuka baada ya janga la Covid-19

    Kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Mjumbe wa Taifa wa China na Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi amesema China inaona uwezo wa Afrika wa kusimamia COVID-19 ni muhimu katika kusaidia dunia kufufua biashara na uchumi wake. Serikali ya China imesema Beijing inaiunga mkono Afrika kufufuka...
  16. K

    Hatua za dharura za kuchukua kupambana na janga la ajira nchini

    Pamoja na kwamba Mimi ni mshabiki wa Magu, lakini hilo haliniondolei kuona madhaifu yake. Jamaa aliacha kuajiri wahitimu ambao serikali zilizopita ziliwaandaa, na kuwapa kipaumbele katika kupata mikopo ya elimu ya juu ili kuweza kukidhi mahitaji ya waalimu na watumishi wa afya Lakini miaka...
  17. S

    Janga la Corona na mustakabali wa ada kwa wanafunzi

    Wakuu kwema? Natumai mko salama katika Janga hili hatari lililotukumba la CORONA. Kabla ya kwenda kwenye mada, ningependa kwanza kutoa uchanganuzi katika suala la gharama Kama nilivyojifunza. "Cost" pamoja migawanyo mingine imegawanyika pia katika makundi mawili ambayo ni "Fixed Costs" na "...
Back
Top Bottom