janga

Rangelo Maria Janga (born 16 April 1992) is a Curaçaoan professional footballer, who plays for NEC Nijmegen, on loan from Astana, and the Curaçao national team.

View More On Wikipedia.org
  1. KENZY

    Mwanadamu ata-survive kwa muda gani kama kukitokea janga hatari duniani kote..?

    Wakati wowote janga lolote baya linaweza kutokea na kutukumba hapa duniani,kila taifa na jamii itapambana kwa kadri iwezavyo. Najua akina sie huku hatutachukua muda tutapukutika kama pori lililoshika moto!. Mfano wa majanga hayo yanayoweza kutokea ni kama dunia kuangukiwa na kimbuka kikubwa...
  2. Teknocrat

    Janga la Hisabati: Tuanzie Hapa

    Wizara ya Elimu imelitataja somo la Hisabati kama ni Janga la Taifa Tuanzie hapa, najua kuna wakali wa hesabu humu Jamii Forum Tuanzie hapa kutoa msaada wa bure(Tuisheni) ya Hisabati kwa wanafunzi wanaohitaji Kwa wakali wa hisabati: Tupia topic za hesabu na mafundisho yake, pia tafadhali...
  3. peno hasegawa

    Waziri Mkenda asema ufaulu somo la hisabati ni janga linalotakiwa kutafutiwa ufumbuzi

    Ninapata shida kidogo kuhusu kauli ya Prof Mkenda. Wanaofaulu somo la Hisabati wanaajiriwa wapi? Somo la hisabati linawasaidia nini wansfaulu kama wanashindwa kujiajiri na kuajiriwa? Prof Mkenda, kwa ufahamu wako mkubwa tambua kuwa walimu wanao fundisha somo la Hisabati Form four walifeli...
  4. manchoso

    #COVID19 Rais Magufuli yupo sahihi sana kuhusu COVID-19

    Ndugu zangu kwanza niwape pole waathirika wote na wafiwa wa ugonjwa wa corona ndo mapito tuwe na imani corona itaondoka, ila itaondoka pale tu sisi binadamu tutakapokuwa wanyenyekevu mbele ya Mungu. Hii corona ni pigo kutoka kwa Mungu kwa sababu sisi wanadamu ni washenzi tumezidi maasi na...
  5. comte

    #COVID19 Ulaya inaelekea kushusha hadhi ya Omicron Corona kutoka janga kuwa ugonjwa ambao tujifunze kuishi nao

    LONDON — In Britain, France, Spain and other countries across Europe, politicians and some public health experts are pushing a new approach to the coronavirus pandemic borne of both boldness and resignation: that the illness is becoming a fixture of daily life. Governments are seizing a moment...
  6. M

    Kwa ufaulu huu wa Hisabati wa 19.54% tutarajie wachumi kuwa janga la taifa

    Somo hili limekuwa na matokeo mabaya si kwa shule za sekondari tu bali pia hata shule za msingi, kwa miaka zaidi ya sita iliyopita wameendelea kutuaminisha kuwa ufaulu umeongezeka kila mwaka,yawezekana lakini kwa asilimia hizo ni hatari. Jambo la kusikitisha Sana hakuna jitihada za maksudi...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Wahanga wa Moto wa soko la Karume wachangiwe pesa, ikiwa ni janga la bahati mbaya

    Wakuu Kwema! Ajira Hakuna! Tumetoka familia Masikini Sana. Nina rafiki zangu wengi waliokuwa wanauza uza mitumba Yao pale Karume. Mitaji Yao wameipata Kwa mbinde Jamani! Ndugu zangu wote tunajuana humu nchini, Sisi ni masikini Sana, tunatafuta pesa Kwa taabu na nguvu nyingi, hatuwezi sema ni...
  8. lwambof07

    Manyara: Simanjiro walia kwa uhaba wa mvua, mifugo 62,500 imekufa

    Mifugo 62,593 imekufa wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa kukosa maji na malisho kutokana na ukame. Kati ya mifugo hiyo; Ng'ombe - 35,746 Kondoo - 15,136 Mbuzi - 10,033 Punda - 1,670 ====== Hali ya ukame inayoendelea wilayani Simanjiro mkoani Manyara imesababisha mifugo mbalimbali ikiwemo...
  9. C

    Wizara ya Fedha ifumuliwe upya, ufisadi wake ni msiba mkubwa

    Wakati watanzania wanalia kwa ajili ya tozo na wengine wakizozana kuhusu mikopo, na ugumu wa maisha, Wizara ya fedha inaufisadi wa kutisha. Waziri mkuu alitangazia taifa kugundua wizi wa mabilioni ndani ya miezi 3. Kuanzia March 2021, hadi Mei 2021. Miradi mingi imekwama, na mashirika mengine ya...
  10. L

    #COVID19 Ushirikiano na Juhudi za Pamoja ndiyo Suluhu kwa Afrika kupambana na Janga la Covid-19

    Mwaka wa 2021 janga la Covid-19 linaendelea kuathiri karibu sekta zote za uchumi na jamii duniani. Watu hawawezi kujizuia kuuliza, je dunia yetu bado ni mahali salama pa kuishi? Tangu kuripotiwa kwa virusi vya Corona barani Afrika, zaidi ya watu milioni saba wameambukizwa virusi hivyo, japokuwa...
  11. L

    #COVID19 Dunia inakabiliana vipi na janga la UKIMWI huku kukiwa na janga jingine kali zaidi la COVID-19?

    Na Pili Mwinyi Ugonjwa wa UKIMWI bado unaendelea kuwa tatizo kubwa ambalo linaathiri afya ya mamilioni ya watu duniani. Ingawa dunia imepiga hatua kubwa katika miongo ya hivi karibuni, lakini malengo muhimu ya mwaka 2020 duniani bado hayajatimizwa. Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya UKIMWI, kila...
  12. beth

    #COVID19 Ripoti: Janga la COVID-19 limewaathiri zaidi Wanawake kiuchumi na kijamii

    Shirika la Msalaba Mwekundu limesema athari za janga la COVID19 kijamii na kiuchumi zimewaathiri zaidi Wanawake ulimwenguni kote. Kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Wanawake wameathiriwa zaidi na upotevu wa Mapato na Elimu, kuongezeka kwa matukio ya ukatili, Ndoa za utotoni na biashara haramu ya...
  13. S

    Rais Samia: Nimefikwa na janga la kupewa kiti cha Urais, Mumenishika mkono na kuniombea afya njema

    Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais. (Source: TBC1) Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?
  14. Mung Chris

    Maji na Umeme imekuwa janga la taifa, Serikali tusaidieni kazi zimesimama vyakula vinaharibika kweye friji

    Serikali Serikali Serikali, mrudisheni Waziri Kalemani haya tunayo yapitia hata kama ni kukarabati, inamaana huu ukarabati ndio utafanya umeme uwe wa bei rahisi au utakuwa na nguvu zaidi ya kawaida au utakuwaje mwenzenu sijaelewa Mboga zote na vyakula kwenye friji tumeanza kuvila ili viishe...
  15. Analogia Malenga

    #COVID19 WHO yaonya kuwa janga la COVID-19 litaendelea hadi 2022

    Janga la Covid "litaendelea kwa mwaka zaidi ya inavyotakiwa" kwa sababu nchi masikini hazipati chanjo zinazohitajika, Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) linasema. Dkt. Bruce Aylward, kiongozi mwandamizi wa WHO, alisema inamaanisha janga la COVID-19 linaweza "kujivuta kwa urahisi hadi 2022"...
  16. Miss Zomboko

    #COVID19 Mamilioni ya Watu watumbukia katika Umasikini mkubwa kutokana na janga la CoronaVirus

    Kulingana na Benki ya Dunia, kati ya Watu milioni 88 hadi 115 wanasukumwa katika Umasikini kutokana na Janga la CoronaVirus, na wengi wanapatikana Nchi za Asia Kusini na Kusini mwa Jangwa la Sahara Makadirio yanaeleza Mwaka 2021, idadi hii inatarajiwa kuongezeka kati ya milioni 143 na 163...
  17. beth

    #COVID19 Ripoti: Wabunge wakosoa namna Serikali iliyoshughulikia janga la Corona mwanzoni mwa mlipuko

    Katika Ripoti iliyotolewa leo, Wabunge wameikosoa Serikali kwa namna ilivyoshughulikia mlipuko wa CoronaVirus katika hatua za mwanzo, ikisema ilishindwa kuchukua hatua za haraka na kupelekea maambukizi na maelfu ya vifo. Vilevile Ripoti hiyo imesema kulikuwa na nia ndogo ya kujifunza kutoka kwa...
  18. JACKLINE CELESTINE KITALE

    SoC01 Upotevu wa tamaduni zetu ni janga kuu tusilichukulie poa

    Ni kitu ambacho kisicho fichika ya kuwa utamaduni wetu zinaendelea kutoweka kadri siku zinavyozidi kwenda. Kutokana na taarifa zilizotolewa na UNESCO ni kwamba kila baada ya wiki zaidi ya lugha mia sita (600) hutoweka. Ukiangalia kwa sasa Ni watu wengi hatutumii wala hatujui tamaduni zetu...
  19. Naanto Mushi

    Namba zinanuka: Naunga mkono TANESCO ifumuliwe, na ikiwezekana ibinafsishwe kabisa, Makamba yupo sahihi 100000%. TANESCO ni janga

    Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu. Ila kwa kweli ni...
  20. Son.j

    Namimi najiuliza hivi kuhusu hili janga!

Back
Top Bottom