Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, amewakumbusha Wananchi wanaoendelea kufanya mzaha juu ya janga la corona kuchukua tahadhari badala ya kulichukulia kwa wepesi jambo hilo.
Dkt. Gwajima ameyasema hayo leo akizungumza na waandishi wa habari...