Madalali wa magari nchini Tanzania kila siku wamekuwa wakiharibu biashara ya magari ya mkononi kwa kukosa elimu ya biashara.
Uaminifu, ukweli na uwazi ni msingi MKUBWA sana kwenye ukuaji wa biashara yoyote ndio maana kwa kulijua hilo, wenzetu wa nje hawarudishi nyuma kilometa ambazo zinasoma...
WAZIRI KOMBO ASHIRIKI HAFLA YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA KUZALIWA YA MFALME WA JAPAN
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika hafla ya kusheherekea miaka 65 ya kuzaliwa Mtukufu Naruhito, Mfalme wa Japan iliyofanyika katika...
Kwa hali ilivyo sasahv duniani kuna vita kubwa ya tariffs kwenye bidhaa mbalimbali toka nchi mbalimbali ambapo tumeshuhudia Trump akiongeza tariffs dhidi ya mataifa mengine kwa takribani asilimia 10% hadi 25%.
Nchi yetu ina tariffs za magari yatokayo nje ya around asilimia 100%, hii sijui...
Kwa haraka unaweza ukadhani ni picha za kutengenezwa na akili mnembe.. Lakini hizi ni picha halisi za maua yanayostawi nchini Japan.. Na kwa jinsi jamaa walivyo wachoyo😀 hakuna mbegu wamewahi kugawa.. Wanalinda sana tunu zao za kipekee..lakini linapatikana pia China na Marekani
Wakati tunakaribia na kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao ni muda muafaka kuanza kuevaluate viongozi wetu tuliowachagua na kucrosscheck ahadi zao kwa wapiga kura waliozitoa wakati wanaomba kuchaguliwa kipindi kilichopita. Nikiwa kama mkazi wa Tegeta mbunge wangu alituahidi katika baadhi ya ahadi...
Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany
Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga flani hivi akidhani sisi ni dhaifu sana anaweza kutunyanyasa anavyotaka yeye na tusiweze kufurukuta...
𝗝𝗔𝗣𝗔𝗡 𝗜𝗠𝗘𝗥𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗙𝗜𝗧𝗜 𝗞𝗨𝗨𝗠𝗕𝗔 𝗕𝗜𝗡𝗔𝗗𝗔𝗠𝗨
Dunia na maajabu yake!! 👋
Nchini Japan mwaka 2019 waliweza kupitisha Utafiti kwa kuweza kuwaruhusu Wanasayansi kuweza kuumba Wanadamu.
Mfumo huo ambao unakusanya viungo vya Wanyama na binadamu ili kuweza kukuza viungo vya binadamu ndani ya mnyama...
Naona utaratibu unazidi kubadirika.
Kuanzia tar 20 Jan, 2025 unavoagiza gari kutoka nje ya Tanzania, lazima utume na TIN number, sio kama zamani ulikua unaitumia wakati wa kutoa gari.
Admin kutoka Mapato TRA Tanzania njoo ufafanue.
Kwa kawaida adui yako ukiwa wamfyeka vitani ni furaha kwako. Cha kushangaza South Korea na Ukraine wamekuwa wakilalamika kuwa wanaajeshi wa North Korea (adui yao) wanaopigana vita upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamekuwa wakifyekwa kwa makumi elfu!
Wakati propaganda hizo zikiendelea, North...
Japan ina viwanda vingi, vya magari vikiwemo.
Lakini bidhaa za Japan zinazoletwa sana nchini ni magari na, pengine, spea za magari.
Kwa nini baidhaa zingine za Japan si maarufu nchini?
Au kumepangwa kuwe hivyo, kwamba kwa magari Mjapan awe "supplier" wa Tanzania na bidhaa zingine awe Mchina?
Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa leo tarehe 03 Januari, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake.
Katika...
# Tokyo Flood Tunnels, an underground engineering marvel that protects the city from flash floods.
#
# These tunnels, located beneath Tokyo’s bustling streets, are a stunning example of modern Japanese engineering.
#
# They not only channel rainwater away from urban areas, but also provide...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania ambaye pia ni Mwakilishi wa Japan katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Yusushi Misawa pamoja na ujumbe wake alipomtembelea katika...
Hawa jamaa huwaoni wakionesha onesha silaha zao. Huwasikii wakitishiana na mtu au kupiga mkwara.
Lakini rudi miaka ya nyuma katika vita utawasikia kwa uzuri. Nenda kawaulize wachina. Watakuambia. Jamaa kwenye technology ni wazuri sana. Na hawana ubabaishaji. Wanatengeneza vitu vya ukweli na...
Nini kimewakumba Japan?
Trump ana hasira nao hawa wachina balaah kati ya 10 nafasi 6 zao sio kawaida.
Utawala wa DT safari hii utakuwa na vituko zaidi dhidi ya hawa wachina ana hamu nao sana.
Ishu ya kuuziwa gari na fake kilometers ni jambo la kawaida sana kwa mtu ambae hata kuwa na umakini wa "umakini" tumezoea magari Used kuchezewa kilometa kwenye yard za bongo, lakini kumbe hata Japan wanacheza nayo vile vile. Nina mfano hapa chini wa INSPECTION CERTIFICATE na EXPORT CERTIFICATE...
USA ni habari Nyingine.
Uchumi wa California tu unakaribiana na nchi tajiri ya Japan
Hilo ni Jimbo moja tu katika majimbo 50
Ni haki Marekani kutawala dunia
Japani ni nchi ndogo mpaka uizidishe mara 2.5 ndo uipate Tanzania (Japan ni 378 km za mraba ukilinganisha na 947 za Tanzania).
Pamoja na udogo wake, japani ina watu wengi karibu mara mbili ya Tanzania (Japan ni 124million ukilinganisha 70mill). Sasa haka kakijiji upweke unatoka wapi?
Bila...
Habari wadau!
Mimi ni transport Manager wa shule moja hapa nchini,tunahitaji Magari mengi madogo na makwa kwajili ya kubeba wanafunzi.
Swali langu kati ya hizi nchi mbili wapi nitapata Magari yenye ubora kwa bei rahisi?
1. South Africa
2. Japan
KUHUSU MAKAMPUNI YA UGAIZAJI.
Tunataka hii...
Ilipofika 2002 uzalishaji ukasimama wenyewe wanaita [production halt], Huu ni usimamishaji wa uzalishaji kutokana na kushuka kwa mauzo na kutopokea order mpya. Najua umejiuliza kwanini uzalishaji ulisimama, sababu Kwenye Biashara Kubwa mauzo yakianza kushuka na usipopokea order mpya [minimum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.