japan

  1. J

    Lengo la kujaza fomu yoyote ni kupata taarifa siyo kutegana

    Injinia Kagoshaki kutoka Japan ameshangaa inakuwaje mtu anayegombea uongozi wa serikali anajaza fomu kwa mkono! Kagoshaki anasema Japan unapojaza fomu yoyote hata ya kuomba chumba cha kulala Hotelini utatumia kompyuta ambayo itakuwa inakupa mwongozo ili usikosee. Lengo la kujaza fomu ni kupata...
  2. J

    Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

    Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan. Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema. Mjapani ameniuliza kama...
  3. J

  4. Miss Zomboko

    Karibu watu 10 wameuawa katika mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Japan

    Karibu watu 10 wameuawa katika mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Japan. Kulingana na shirika la Kyodo, mvua kubwa imekuwa ikinyesha tangu jana, mji mkuu wa Tokyo katika wilaya ya mashariki ya Ciba. Mkoa wa Fukushima kaskazini umepoteza mtu mmoja. Mito 15...
Back
Top Bottom