japan

  1. Magazetini

    Uchaguzi 2020 Balozi wa Japan ashangazwa na ubadhilifu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    Ambassador's Message on the General Elections 2020 / Ujumbe kutoka Balozi kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020 2020/11/4 I am troubled by the information of widespread irregularities and wrongdoings during the recent election process in this country. I am convinced that sound democracy based upon...
  2. Kichwa Kichafu

    Ugonjwa wa Minamata Japan na athari zilizodumu zaidi ya nusu karne baada ya kugundulika

    MINAMATA DISEASE Ugonjwa uliogundulika kwa mara ya kwanza sehemu iliyoitwa Minamata kwenye mji wa Kumamoto huko Japan mwaka 1956. Nini chanzo za ugonjwa wa Minamata? Tarehe 21 april mwaka 1956, Mtoto wa kike wa umri wa miaka 5 alichunguzwa katika hospitali ya shirika moja la Chisso huko...
  3. C

    Benki gani ipo faster kutuma TT Japan?

    Wakuu Ni benki gani nchini ambayo naweza kutuma TT Japan ili ninunue gari huko? SI mnajua Tena Mambo ya OFFER unapewa muda maalumu uwe umeshalipia.
  4. Miss Zomboko

    Japan yafanya jaribio la kwanza la kurusha gari inayopaa kwa dakika 4

    A Japanese company has announced the successful test drive of a flying car. Sky Drive Inc. conducted the public demonstration on August 25, the company said in a news release, at the Toyota Test Field, one of the largest in Japan and home to the car company’s development base. It was the first...
  5. MK254

    Japan wafanya onyesha la gari linalopaa angani - vipi Afrika tunajifunza nini kwa wenzetu

    @mod nilikusudia kutumia neno "onyesho" Licha ya Japan kukumbuwa na majanga ya kila aina, ila wao huko kwao hufanya mambo ya kiajabu sana yanayohitaji ubongo, Waafrika huku tuna kila kitu ila bado huwa tumechelewa balaa... The SD-03 flying car A Japanese company has announced the...
  6. KIMOMWEMOTORS

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  7. Infantry Soldier

    Ninaomba Ufafanuzi wa Kitaalam: Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo...
  8. T

    Japan kulipa $536 Million kwa makampuni yake 56 yahame kutoka China, yarudi nyumbani au nchi nyingine za Asia

    Toka mwaka jana 2019 Japan imekua ikiyashawishi na kuahidi kuyapa ruzuku ya serikali makampuni yake yote yaliyoko China kuhama nchi hiyo yarudi nyumbani au yatafte nchi nyingine ya Asia nje ya China. Hadi sasa makampuni 56 yamekubaliana na serikali kuhamisha shughuli zake kutoka China na...
  9. FRANC THE GREAT

    Ni kitu gani kinachoendelea ndani ya Korea Kaskazini?

    Habari! Kumekuwa na sintofahamu hivi sasa nisemapo maneno haya hasa katika ukanda wa rasi ya Korea ambapo Korea Kaskazini imeendeleza wimbi la vitisho kwa jirani zake na hivi karibuni imetishia kuzitumia silaha zake za nyuklia endapo kutaibuka mashambulizi dhidi yake. Wakati hayo yakiendelea...
  10. Analogia Malenga

    Japan yatengeneza app ya kushangilia ili wachezaji wasiwe wapweke viwanjani

    Kutokana na janga la #COVID19 watu hawataruhusiwa kuingia viwanjani kushangilia michezo mbalimbali itakayokuwa inaendelea Yamaha wametengeneza ‘Application’ itakayosaidia kufanya michezo mbalimbali kuendelea kushangiliwa bila watu kuwepo uwanjani Watakaokuwa wanafuatilia michezo watatumia...
  11. Parabora

    Kwanini watanzania hasa waliosomea Lugha wanashindwa kuchangamkia fursa za kazi za ualimu wa Kiswahili, Kiingereza na utafsiri wa lugha nchini Japan

    wakuu bado lock-down inaendelea japo kuna mwanga unaanza kuonekana baada ya hotuba ya leo ya waziri wa uchumi wa hapa switzerland bwana Guy Parmelin kuonesha matumaini ya kulegezwa kwa masharti katika phase ijayo ya kupambana na huu ugonjwa. Turudi kwenye tafakuri ya leo kama heading...
  12. Parabora

    Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

    Kama nilivoahidi toka mwanzo kipindi hiki ambacho nipo lock-down nitakuwa na-share hapa taarifa mbalimbali za baadhi ya nchi nilizowahi kuishi na kufanya kazi ili kwa wale walio na ndoto za kufika wapate japo ufahamu kidogo kuhusu hizo nchi na fursa mbalimbali zinazopatikana katika mataifa hayo...
  13. Analogia Malenga

    Japan: visa vipya 236 vya #covid19 vyarekodiwa

    Japani imetangaza visa 236 vipya vya #CoronaVirus na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya visa 14,800. Hadi sasa nchi hiyo ina vifo 428 Mfmo wa afya wa nchi hiyo unachangamoto ya kutoa huduma. 90% ya maombi ya waliotaka kupimwa yamekataliwa, hali inayofanya watu kuachana na hospitali === Japan...
  14. beth

    Japan: Waziri Mkuu, Shinzo Abe atangaza hali ya dharura kwa mwezi mmoja

    Waziri Mkuu Shinzo Abe ametangaza hali ya dharura kwa muda wa mwezi mmoja katika Mji Mkuu wa wa Japan, Tokyo pamoja na miji mingie sita ya Osaka, Kanagawa, Saitama, Chiba, Hyogo na Fukuoka Abe amesema Japana itakuwa na mkakati tofauti na nchi za Ulaya. Ameeleza kuwa ali ya dharura iliyotangazwa...
  15. fungi6

    Mambo ya kustaajabisha kuhusu Japan

    Je, wajua kuwa Japan wanalo onyesho la uume 😌 maonyesho haya yanajulikana sana kama "KANAMARA MATSURI" ikimaanisha onyesho la kuiba uume huwa yanaonyeshwa kila mwaka mwanzoni mwa mwezi wa nne kila Jumapili ya kwanza. Pia Japan ina idadi ndogo ya watoto wazaliwao ikiwa inatokea kwa sababu watu...
  16. Prodigy Oligarchy

    Ipi ni kampuni bora ya kuagiza gari Japani

    Wana Jf habari, Pameibuka makampuni mengi sana, ambayo yanajihusisha na uuzaji magari kutoka japan kuleta huku Na kila moja akijitangaza kuwa bora zaidi. Kitu ambacho kwa wageni ambao wanahitaji kufanya maamuzi ya uagizaji, huwa kinawachanganya, wasijue ipi ni sahihi ipi sio. Naamini tunao...
  17. FRANC THE GREAT

    Japan: Older people are wearing exoskeletons to delay retirement

    Older people in Japan are strapping on exoskeletons to help meet the physical demands of their jobs and remain in the workforce for longer. Older workers use an exoskeleton to help with lifting. Older people in Japan are strapping on exoskeletons to help meet the physical demands of their...
  18. Jonsonjohn

    Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

    Njoo agiza chochote unachokitaka kutaka Japan au South Africa Tuna agaiza bidhaa mbalimbali kwamuda mrefu kwauaminifu sana.Kupita kwenye platforms zetu mtu yoyote aliko Japan au South Africa Tanzania unaweza kupost bidhaa zako na kuuza kupita kwenye website yetu. Tuambie bidhaa gani...
  19. CarHunt Japan

    Job Offer: Sales Executive at CarHunt Japan, Tanzania Office

    Job Description We are looking for experienced, competitive and trustworthy sales executives for the CarHunt Japan branch office in the Tanzania market to build up business activities. The line of business is selling used cars, trucks, and Machinery to customers in Tanzania. Job position...
  20. Suley2019

    Japan: Mshambuliaji David Villa asema atastaafu kucheza soka mwishoni mwa msimu huu

    Mshambliaji wa timu ya Vissel Kobe ya Nchini Japani, David Villa, 37 raia wa Hispania asema kuwa ataastaafu kucheza soka mwaka ujao baada ya kumalizika kwa msimu wa ligi kuu nchini Japan. Mshambuliaji huyo aliyejiunga na timu ya Kobe Desemba mwaka jana amesema kuwa ana mpango wa kustaafu...
Back
Top Bottom