Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hao jamaa wa AHJ nikaona offer zao sio mbaya sana, sasa wadau wa kuagiza magari, naomba 123 kuhusu huu mtandao.
Karibuni Ndugu zangu wana Jamii forum katika uzi huu upate nunua/Agiza Gari kutoka CARHUNT JAPAN
Katika uzi huu nitaweka Bei ya Gari ambayo itajumuisha Bei ya Gari na Usafirishaji (C&F), Gharama za TBS na Clearing Fee. Kwa ufafanuzi tu ni kwamba sisi hatuna yard hapa Tanzania Bali Yard yetu ipo...
Kwa mujibu wa katiba ya Japan kiongozi mkuu wa executive ni waziri mkuu.
Tangu mwaka 2000, Japan imeongozwa na mawaziri wakuu 11, kati ya hao 8 wameongoza chini ya mwaka 1 na nusu.
1. Yoshiro Mori: 5/4/2000 - 25/4/2001
Sawa na mwaka 1 na siku 22
2. Junichiro Koizumi: 26/4/2001 -...
Top Image: Hitler’s Foreign Affairs Advisor Joachim von Ribbentrop and Japanese Ambassador Kintomo Mushanokōji sign the Anti-Comintern Pact in Berlin, November 25, 1936. Imperial War Museum, B542 GSA 290.
The signing of the Anti-Comintern Pact between Germany and Japan in 1936 was one of the...
Wakati mwaka 1944 ukiwa unaelekea tamati, hii ni baada ya miaka zaidi ya saba ya vita, mambo yalikuwa yanaiendea kombo Japan.
Uchumi wake ulikuwa umeharibika vibaya, jeshi lake lilikuwa limetapakaa karibia kila kona ya Asia bila kuwa na mfumo thabiti wa kimawasiliano na mipaka iliyokuwa...
Iran have sealed their progression into the knockout stages, with a commanding 6-1 win over Japan in Group B of the 2021 Inter-continental Beach Soccer Cup in Dubai.
After a goalless action in the opening time-frame, Team Melli took the lead, early in the second period through Mohammad Ali...
Fumio Kishida (64) ametangazwa rasmi kuwa Waziri Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Yoshihide Suga ambaye ameachia madaraka baada ya mwaka mmoja tu ofisini.
Suga aliachia madaraka baada ya ushawishi wake kudorora kutokana na namna janga la COVID-19 lilivyoshughulikiwa. Kishida anakabiliwa na...
Korea Kaskazini imefanya jaribio la kombora jipya la masafa marefu linaloweza kupiga sehemu kubwa ya Japan, vyombo vya habari vya serikali vimesema Jumatatu.
Jaribio lililofanywa mwishoni mwa wiki lilishuhudia makombora yakisafiri hadi umbali wa km1,500 (930 maili),kulingana na KCNA.
Jaribio...
Kwa miaka takriban mitatu niliishi mjini Tokyo, Japan. Ukiachilia mbali maajabu katika mifumo ya usafiri hasa treni katika mji huo, jambo ambalo lilinistaajabisha kila siku ni jinsi mji huo ulivyo msafi ilihali ni nadra sanaa kuona dastibini au mahara pa kutupa takataka katika maeneo ya public...
Habarini wana jamvi,
Naomba kujua ubora wa gari kutoka kampuni ya autocom japan maana naona bei zao ni nafuu kidogo ukilinganisha na wauzaji wengine (Befoward & sbt).
Je, nini kina chagiza hili maana nina hitaji kununua gari kutoka kwao ila nina mshaka nao.
Fedha ya Mtandao(Cryptocurrency), Liquid Global ya Japan ambayo ni moja kati ya fedha 20 za mtandao zinazotumika zaidi, imedukuliwa na dola milioni 100 zimeibwa ambazo ni sawa na takriban Tsh. Bilioni 323.
Huu I wizi wa pili mkubwa baada ya ule uliohusisha wadukuzi wenye nia njema kuiba dola...
Japan inatarajia kubadili Sera ili kuweka kipaumbele katika kulaza Wagonjwa wa COVID19 wanaoumwa sana ili kuepuka kudhoofisha Mfumo wa Afya.
Hivi sasa Taifa hilo linarekodi zaidi ya visa 10,000 kila siku. Wagonjwa wengine watatakiwa kubaki nyumbani na Serikali itahakikisha wanalazwa hali zao...
Kazi hii inapatikana nchini Japan kutokana umati unaokwenda kazini nyakati za asubuhi kwa kutumia usafiri wa treni. Japan ni taifa linalochapa kazi, na huhakikisha kila mtu anafika kazini kwa wakati unaotakiwa.
Kutokana na wingi wa watu, Japan imewaajiri watu wenye taaluma ya kuwasukuma watu...
Habari za kazi wanandugu. Kazi iendelee ila irekebishwe kidogo maana tozo na ugaidi vimezidi.
Twende kwenye mada.
Mimi nina uzoefu kidogo kununua magari kutoka Beforward, kwa mara ya kwnza nilitumia wakala, ya pili nikazama mwenyewe mtandaoni nikachagua ninayotaka process zote za malipo hadi...
Picha hizi mbili zimepigwa jana tarehe 23 Julai 2021 wakati wa tukio la ufunguzi wa michezo ya Olimpiki jijini Tokyo, Japan.
Ki-utaratibu, kila nchi iliyopeleka wawakilishi inatajwa halafu wawakilishi wanapita mbele ya umati wakiwa na bendera ya taifa lao. Kutakuwa na jumla ya matukio 339, kwa...
Wakuu wenye uelewawa wa haya mambo, naona bendera ya nchi yetu ameibeba mzungu mmoja ambaye sina uhakika kama ni mwanamichezo au kiongozi wa Tanzania! Je huu ndio utaratibu mpya au ndio hivyo tumekosa watu wa kushiriki?
Labda wanamichezo watafika kesho! Acha tuendelee kuwashangilia majirani zetu!
Wachezaji wawili wa Afrika Kusini ambao wapo nchini Japan kushiriki mashindano ya Olimpiki wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona siku ya Jumamosi, wakitajwa kuwa washiriki wa kwanza wa mashindano hayo kupata maambukizi ya virusi vya corona wakiwa ndani ya Kijiji cha Olimpiki...
Manga ni riwaya picha (Kwa Kiingereza comics au graphic novels) zenye mtindo wake wa kipekee kutokea nchini Japan. Manga ni maarufu sana nchini humo kiasi kwamba kuna mamia ya maktaba zilizojaa Manga tu. Maktaba hizi huitwa Manga Kissa
Manga Kissa nyingi ziko karibu na vituo vya treni...
Japan inatarajiwa kutangaza Hali ya Dharura Jijini Tokyo ili kukabiliana na wimbi la Virusi vya Corona. Michuano ya Olimpiki imepangwa kuanza Julai 23, 2021 na itafanyika kwa wiki mbili
Uamuzi wa kutangaza Hali ya Dharura unakuja baada ya ongezeko la visa. Kwa wiki kadhaa Wataalamu wa Afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.