We’re JTI, Japan Tobacco International and we believe in freedom. We think that the possibilities are limitless when you’re free to choose. In fact, we’ve spent the last 20 years innovating, creating new and better products for our consumers to choose from. It’s how we’ve grown to be present in...
Ninaishukuru sana Serikali kwa uamuzi ulioufanya kwa ukaguzi wa magari yaliyotumika yanayotoka Japan kufanyika huko huko Japan.
Kusema kweli TBS wamejiharibia wao wenyewe, kwa asilimia kubwa hakuna mteja aliyetoa gari yake bila kutoa rushwa. Kulikuwa na figisufigusu ya hapa na pale mara mteja...
"TUTAANZA KWA KUZIFUTA JAPAN NA KOREA KUSINI KWENYE USO WA DUNIA", Kim Jong Un
Akihutubia Kongamano la Chama cha wafanyakazi Jijini Pyongyang, Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un, Amewatahadharisha NATO na Mkuu wa US wasijaribu kueneza chokochoko Karibu na Jamhuri yake kwa Kufanya Mazoezi...
Kwenye hoja Moja kwa moja.
Haya maisha hayaishi.
Muuaji amenipa funzo kuu. Kwamba nisithibutu kuishi na nyongo. Tunakosewa Sana na viongozi, viongozi hawajui tunayopitia. Wao madam wanasafir kwa ving'ora na nyumba zao zinalindwa sisi tunaishi kama digidigi. Tunamolala wakati tukiutafuta...
Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai.
Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani.
Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii...
Shirika la Habari la NHK linaripoti kuwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe amekimbizwa Hospitalini baada ya kujeruhiwa kwa risasi mgongoni wakati akitoa hotuba katika Mji wa Nara.
Imeelezwa, Abe ambaye aliachia nafasi ya Uwaziri Mkuu mwaka 2020 kwasababu za kiafya alidondoka wakati...
Serikali ya Japani imewataka wakazi wa Tokyo na eneo linaloizunguka kupunguza matumizi ya umeme kwa kuzima taa zisizo za lazima lakini pia watumie kiyoyozi ili kukabiliana na kuongezeka kwa joto nchini humo
Shirika la Utangazaji la Umma la Japani NHK limeripoti kuwa watu 46 jijini Tokyo...
Japan ilikuwa ni mshirika mkubwa wa Hitler kwenye vita kuu ya pili!! Japan walikuwa ni wababe wa vita na wakatili sana!! Waliwatesa sana wachina na korea ya kusini enzi hizo. Hadi leo Wachina na wakorea ya kusini hawaivi kabisa na wajapan. Baada ya vita kuu ya pili Hitler na Japan waliposhindwa...
ISUZU Bighorn ipo Japan wewe unapaswa kulipia freight 1,000 USD na pesa ya wine 260 USD kwa mmiliki. 3050cc, mileage 239,000 Kms.
Year of manufacturing 1996
Dizeli oyee,
Katika kupambana na bei ya petroli kwenye pitapita nimeona gari zinauzwa zikiwa tayari na mfumo CNG kutoka Japan japo nyingi zinaonekana zinatumika kwa wingi na waitaliano, hizi haziwekwi mtungi ndani, nafikiri unakaa sehemu iliyotakiwa kukaa tank la mafuta.
Zina changamoto zozote...
Baada ya vita vya pili vya dunia, Urusi na Japan hawakutia saini mkataba wa kumaliza vita, ina maana mpaka leo hayo mataifa mawili yako vitani licha ya kuishi kwa amani, wamekua wakiongea na kuelewana kimsingi na kwa namna ya kusaini mkataba.
Sasa juzi Urusi imekwenda kuvamia nchi ya watu...
KARIBU AUTOMASI UAGIZE NASI GARI LENYE UBORA KWA GHARAMA NAFUU
**************
♻️ High Quality , Reliable, and Speed ♻️
***************
🔅VEHICLE DESCRIPTION
Make : TOYOTA
Model ...
bank of tanzania
bmw
canter
dodoma jiji
dualis
gari
hiace
honda
japan
kuagiza
kuagiza gari
landcruiser
mitsubishi
mkopo
music producers
nissan
nissan dualis
premio
series
starlet
subaru
subaru forester
toyota
toyota premio
van
vitz
Waziri wa fedha wa Japani Shunichi Suzuki mnamo Jumanne alisema uharibifu wa uchumi kutokana na sarafu ya yen inayodhoofika kwa sasa ni kubwa kuliko faida inayopatikana, akitoa onyo la wazi zaidi dhidi ya kuporomoka kwa sarafu ya hivi karibuni dhidi ya dola.
Anguko la yen limezidisha shinikizo...
Tumeshuhudia Urusi ikiivamia Ukraine kijeshi , uvamizi huu ulikuwa na lengo la kuiweka Ukraine chini ya himaya ya Urusi ikiwa ni pamoja na kusimika utawala mpya ( Full scale millitary invasion), na hvyo kufagilia mbali malengo ya NATO pamoja na wahuni wa US kujibanza pale.
Mambo hayajaenda...
Katika kujiimarisha kuelekea kwenye michuano ya NANE BORA (TOP 8) ya Ligi Daraja la Pili (First League - FL) itakayofanyikia jijini Mwanza kuanzia tarehe 15 Aprili 2022, Timu ya Tunduru Korosho FC maarufu kama Watoto wa Wakulima wa Korosho imepokea basi jipya aina ya Toyota Coaster lenye uwezo...
Wakuu nawatakia Jumatatu na week njema yenye mafanikio.
Niende kwenye maada kwa wale wazoefu wanipe ushauri. Kwanza ni kiri kwamba jukwaa hili ndo lilinipa maamuzi ya kuagiza gari na kukwepa kupigwa hapa mjini.
Gari ndo imetoka KOBE, Japan jana inategemea kufika huku mwezi wa nne. Je ikifika...
Kiukweli wajapani naweza sema ni watu wa dunia nyengine kuanzia maisha yao mpaka teknolojia zao.
Sisi ndio tunafikiria kuleta SGR wao wanafikilia kutengeneza treni itakayo weza kufika kwa mda mfupi.
Spidi ya treni ni 7600km/h na unaweza kufanya kazi dar es salaam ukaishi singida.
Kilicho ni...
UTANGULIZI
Masaaki Imai Mkufunzi wa kijapan wa mifumo ya ubora maarufu kama “kaizen” aliwahi kusema “siku moja isipite bila kuhakikisha kuna mahali umeboresha katika kazi/ chombo chako na maisha yako.Hata kama ni padogo kiasi gani.
⛽ Kwa miaka mingi vyombo vya moto vinavyoingia nchini...
Serikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini!
Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh billion 218+
Kazi iendelee...
=====
Serikali ya Tanzania na Japan zimesaini mikataba mitatu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.