Kwa muda nimejaribu kutafuta hivi vigari vidogo kama IST, Vits , Allex nk
Vingi madalali wanauza Mil 10 mpaka 13 almost bei ya kuagiza mil 14 - 16 Japani.
Hapo ukishanunua Bongo jiandae tena na mil 2 za kurekebisha gari angalau uweze kutembelea.
Kwa ushauri tu usikimbilie kununua gari used...
Habari za leo waungwana.
Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko
Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara, usalama na matengenezo ( japo nimeambiwa gari ambayo haijatumika sana hugharamiki sana matengezo au...
Mfumo wa kodi ya uagizaji gari (used abroad) toka nje hususani Japan kuingia Tanzania unatisha na kushangaza sana...
Mathalani hivi inawezekanaje kodi na gharama zingine pale bandarini ziwe kubwa kuliko bei ya gari yenyewe? Msingi wa kutoza kodi kwa jinsi hii UNAKUWA ni nini eti..?
Nimeagiza...
Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan hivi karibuni imeanza kazi ya majaribio ya mitambo ya kupeleka maji machafu ya nyuklia baharini. Baada ya kumalizika kwa majaribio hayo, Japan inatarajia kuanza rasmi mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyukilia kwenye bahari ya Pasifiki.
Mwaka 2011...
"Jina langu ni Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan, nikiwa na dhamana ya kuiwakilisha pia nchi yetu katika nchi za Australia, New Zealand na Papua New Guinea.
Leo tumekusanyika hapa katika mojawapo ya makampuni makubwa nchini Japan yanayojishughulisha na biashara ya chakula Japan na...
Alitaka kujenga treni ya Umeme Tanzania, swali likaja umeme atautoa wapi wa kuendesha hiyo treni?
Akapiga akili akagundua kuna uwezekano wa kupata zaidi ya 2000 MW green energy huko Rufiji Delta, akaingia lab kazi ikaanza, Bwawa la kuzalisha umeme zaidi ya 2000 MW likaanza kujengwa fasta...
Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida amechukua uamuzi huo wa kumuondoa mtoto wake ambaye ni Katibu Mkuu wake kutokana na kuonesha tabia mbaya.
Hatua hiyo imekuja baada ya picha kuvuja, zikimuonesha kijana huyo, Shotaro akifanya sherehe pamoja na ndugu zake katika ofisi ya Waziri Mkuu huku...
Katika kuitikia wito wa Tanzania ya Viwanda na kufungua Uchumi. Tanzania Sasa unaenda kuuza magari yaliyoundwa nchini (pichani) na wasomi nguli waliosomeshwa Kwa Kodi zetu.
Waziri Mkuu wa Japan atatembela Egypt, Ghana, Kenya na kuturuka na kwenda Mozambique
Kulikoni Mozambique, yaani sisi tunaona karuka mkojo na kukanyaga. Au ni kinyume chake.
=========
Prime Minister Fumio Kishida’s one-week diplomatic tour of Africa — his first trip to the continent since...
Habari za humu members,naombeni msaada katika hili nimejichanga hela kidogo nna mil.12 net.Sasa nataka kufanya maamuzi ya kupata usafiri wangu wa kwanza kabisa (sijawahi miliki gari)nataka gari ndogo tu itakayo nisaidia kwenye mishe zangu za hapa mjini.naombeni mawazo kwenye maamuzi yangu haya...
Wakuu, Amani iwe nanyi nyote!
Kama mada inavyojieleza, nimejikusanya kidogo nikaona ni wasaa mzuri wa kupata chombo cha usafiri ili kurahisisha mizunguko yangu ya kila siku.
Katika pitapita zangu mtandaoni miongoni mwa makampuni ya uuzaji wa magari niliyokutana nayo ni kampuni ya GloAuc. Kwa...
Nchi ya Kenya wamefanikiwa kurusha satellite yao kwenda anga za mbali muda mchache uliopita ikiwa imesafirishwa ndani ya rocket ya Falcon 9 kutokea huko katika kambi ya Vendeberg space center
Mara baada ya majaribio matatu kushindikana siku chache za nyuma kutokana na hali mbaya ya hewa ambayo...
Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba.
Kishida alikuwa anazuru bandari ya Saikazaki mkoani Wakayama leo Jumamosi asubuhi.
Waziri Mkuu wa...
Wakuu habari za asubuhi.
Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka.
Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari. Nina familia ya watu 6 yani wife watoto 3 na house girl.
Matumizi yangu ni kuendea kazini, kuwapeleka...
Hii sasa ni too much
Unamfananishaje mtu anayekufa kama nzi hapa jijini Dar es Salaam na mtumishi wa umma?
Unamfaninishaje bodaboda ambaye akipata ajali kubwa tu anakimbizwa Kijijini kwa mama yake akafie huko na mtumishi wa umma ambaye ana bima ya watu 6?
Mtu akistaafu anakunja mpaka milioni...
Kugunduliwa kwa chuma kikubwa cha mviringo kinachofanana na mpira wa miguu katika mji wa pwani ya Japan wa Hamamatsu, takriban kilomita 200 kusini magharibi mwa Tokyo, kumezua wimbi kubwa la uvumi.
Mamlaka za mitaa, polisi na kikosi cha mabomu walitumwa kwenye ufukwe wa Enshuhama kuchunguza...
Wizara ya Haki imependekeza umri wa Mtoto kuridhia kufanya tendo la Ndoa uwe miaka 16 kutoka miaka 13 ya awali ikiwa ni mabadiliko mapya ya Sheria yanayotarajiwa kudhibiti Uhalifu wa Kingono.
Pendekezo hilo pia linalenga kuharamisha Ndoa za Watoto pamoja na kupanua Sheria inayoweka vikwazo kwa...
Kwenye piki piki, honda na yamaha na suzuki wametolewa sokoni huku Afrika.
Mabasi na malori mchina kashika soko, Yutong tatu sawa na scania moja, Kwenye malori ni hivyo hivyo.
Sasa siku akiamua kutengeneza gari ndogo za kutembelea, mjapani atapata shida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.