Hivi kwanini Shipping ya mizigo kutoka 🇯🇵 kuja Tz ni gharama kubwa?

Kudasai

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
229
Reaction score
300
Wasalaam!

Kwa kweli hili jambo limekuwa linanipa shida sana tena kwa muda mrefu! Ni kwanini kusafirisha mizigo kutoka Japan kuja Tz ni gharama kubwa?

Mfano: Mzigo usiozidi 2kg utasafirisha kwa $30 by Sea freight, $230 by UPS na $295 by DHL! Why is it so expensive?

Tena kwa njia ya Sea freight utapata mzigo baada ya miezi 3🤔🤔

Wajuzi wa mambo au Shipping companies mtusaidie tafadhali!

Nawasilisha
 
Sasa Mkuu ukilinganisha na wapi kutoa mzigo na gharama?!!
 
Wasalaam!

Kwa kweli hili jambo limekuwa linanipa shida sana tena kwa muda mrefu! Ni kwanini kusafirisha mizigo kutoka Japan kuja Tz ni gharama kubwa?

Mfano: Mzigo usiozidi 2kg utasafirisha kwa $30 by Sea freight, $230 by UPS na $295 by DHL! Why is it so expensive?

Tena kwa njia ya Sea freight utapata mzigo baada ya miezi 3🤔🤔

Wajuzi wa mambo au Shipping companies mtusaidie tafadhali!

Nawasilisha
Aramex $54 2KG, nafkiri zipo pia njia nyengine bei rahisi zaidi ukifatilia.
 
Kg 20-30 kwa 400k ni sawa coz mzigo mkubwa huo mzee.

ila tafuta agency nzuri
Unajua kuna baadhi ya bidhaa ukitaka kuagiza/kununua kampuni husika (supplier) anakuwa amesha set shipping courier kwa hiyo mteja inakuwa ngumu kutafuta agency tofauti!
 
Hao wajanja wanaweka Price ya Item bei ndogo kukuvutia halafu kwenye Shipping wanaset hela nyingi balaa, mwisho wa siku jumla ya gharama ni ile ile kama kwa seller wengine..
 
Back
Top Bottom