Imechukua uamuzi huo ambao utaendelea hadi vikwazo walivyoita vya ‘kibaguzi’ dhidi ya Wachina wanaotaka kuingia katika Nchi hizo vitakapoondolewa.
Japan na Korea Kusini ni baadhi ya mataifa ambayo yameweka vikwazo dhidi ya wasafiri wanaotoka China kutokana na taifa hilo kulegeza msharti ya...
Uamuzi huo umechukuliwa na Serikali ikiwa ni katika harakati za kushawishi kupunguza idadi ya watu katika Mji huo Mkuu.
Tokyo na maeneo ya jirani ya Kanagawa, Sai-tama na Chiba yanatajwa kuwa na idadi ya watu Milioni 35 ikiwa ni 28% ya watu wote wa #Japan, ambapo Serikali ina hofu ongezeko la...
Habarini za majukumu ndugu zangu wa Jf.
Bila kupoteza muda twende kwenye maada moja kwa moja.. Nina mpango wa kuagiza gari aina ya townace kwa ajili ya biashara nilikuwa naomba kujua kuhusu gharama za usajili ikifika hapa Tanzania mpaka iweze kuingia barabarani inaweza gharimu kiasi gani...
Katika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri.
Silaha hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwanzo kutumika kwenye visiwa vyake vya Hiroshima na Nagasaki.
Watu wake wengi kwa mamia walikufa papo hapo na athari za vita hivyo bado...
Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu Korea Kaskazini
Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora juu ya Japan. Makombora hayo yalirushwa katika Bahari ya Mashariki - pia inajulikana kama Bahari ya...
Huku bei za bidhaa zikizidi kupanda, tozo nazo kila mahali; cha kushangaza ni kwamba, hakuna jitihada zozote zinazooneshwa na viongozi wa serikali kuu katika kubana matumizi!
Ziara na misafara imekuwa mingi na ya kila siku. Ni kweli hatuwezi kuwa sawa kiuchumi, lakini angalau zionekane jitihada...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo Jumamosi, Septemba 24, 2022 kwenda Tokyo, Japan ambako atamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya ya kitaifa ya Waziri Mkuu mstaafu wa nchi hiyo, Shinzo Abe.
Taratibu za kutoa heshimaza mwisho zinatarajiwa kufanyika Jumanne...
Wageni wanaotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii yanayoendelea nchini Japan wakiangalia Filamu ya "The Royal Tour"
Tanzania imetumia Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism Expo) yanayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 22 – 25 Septemba 2022 kuzindua...
Inatarajiwa mnamo tarehe 27 mwezi huu Samia atahudhuria mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan Hayati Shinzo Abe.
Abe alipigwa risasi iliyosababisha kifo chake.
Raia wa Japan amelazwa hospitali baada ya kujijeruhi kwa kuchoma moto akipinga kitendo cha Serikali ya Nchi hiyo kutumia gharama kubwa kuandaa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022.
Serikali ya Japan inatarajiwa kutumia Dola Milioni 11.4 (Tsh. Bilioni 26) katika...
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mimi; BENEDICT FAUSTINE
KIKOVE
Ninashukuru kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake, mama yetu mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kunipendekeza kwenu kati ya wana CCM wengi wanaofaa kuwania nafasi hii kwa hatua hii ya...
Tanzania imekuwa nchi ya mfano duniani, baada ya Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), kuiweka katika mpango wa kuimarisha kilimo cha uzalishaji wa mpunga barani Afrika na miradi mingine mikubwa ya kimkakati ambayo itatumia mabilioni ya fedha.
Japan kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya...
Serikali ya Japan imetangaza kutoa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 30 katika kipindi cha miaka mitatu (2022 – 2025) kwa Nchi za Bara la Afrika ili kuziwezesha kutekeleza programu na miradi ya maendeleo itakayoleta mageuzi ya kiuchumi barani humo.
Kiasi hicho cha fedha kimetangazwa kutolewa...
Itaru Nakamura Mkuu wa Jeshi hilo amesema kuwa ameamua kuwajibika juu ya dosari za Usalama ambazo uchunguzi ulionesha kuwa Jeshi halikumlinda ipasavyo Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022.
Taarifa hiyo inakuja wakati ripoti yaUchunguzi iliyotolewa leo ikionesha kuwa...
Duniani mataifa makubwa yameanza kunoa visu na makucha, yanajiweka mkao wa mapambano makali, hivi Waswahili tuko vipi, au tupo tupo tu siku ziende.
Tokyo, Japan is considering the deployment of 1,000 long-range cruise missiles to boost its counterattack capability against China, the Yomiuri...
Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Fumio Kishida imethibitisha kuwa Kiongozi huyo amepima na kukutwa na maambukizi ya COVID-19, ikiwa ni wiki moja kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo ya Afrika (TICAD) nchini Tunisia.
Licha ya kupata maambukizi, imeelezwa kuwa Kiongozi huyo...
Habari wakuu. Ninahitaji kuagiza gari nimejaribu kufuatilia mtandaoni nimeona kuna kampuni tofauti kama beforward, sbi nk.
Napata changamoto maana nikiangalia bei zao ziko poa ila ukiangalia kampuni za tz instagram inakuwa mara mbili yake!
Naomba ushauri kuhusu hizi kampuni,
1. kuhusu gharama...
Bila kupoteza muda,hii ndio habari ya Mjini huko Japan..
Hata hapa Tanzania TBL wameripoti kuongezeka kwa faida ya Mauzo ya pombe..
Hongera sana Walevi kwa kukuza Uchumi,wale wengine na soda zao sijui wataficha wapi sura zao.👇
--
Takwimu za hivi majuzi kutoka kwa wakala wa ushuru zinaonyesha...
Kuna vitu viwili vinatukera sisi Kunonu Teknolojia kwenye jamii yetu ya Kitanzania kwenye matumizi ya teknolojia ya flash kwa matumizi ya nyumbani au ofisini.
Mosi ni kwamba watu wanauziwa 'flash feki' hivyo zinawafia haraka zikiwa na vitu vyao muhimu. Pili, wengi wanauziwa 'flash' kwa bei za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.