Ukifika Japan hakuna sehemu ya kutupia uchafu public na maeneo yao ni masafi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
wanasema tembea ujionee.Ndio maana mkinunua magari used yao kukuta vyakula na vitu vengine ndani ya gari ni kitu cha kawaida.

Japani ukinunua kitu chochote mfano chakula basi hakikisha una cha kubebea uchafu ili ukatupie kwako.

Na uchafu ambao unaweza kukuta unatakiwa kupokelewa ni chupa za aina zote.
 
ngoja niwa cc magret sinkas wauone uzi......

1748039580169.png
 
Kwelii mkuu mwaka uliopita nimemkojoza yokozuna flanii apoo japani... Mtam hataree
 
wanasema tembea ujionee.Ndio maana mkinunua magari used yao kukuta vyakula na vitu vengine ndani ya gari ni kitu cha kawaida.

Japani ukinunua kitu chochote mfano chakula basi hakikisha una cha kubebea uchafu ili ukatupie kwako.

Na uchafu ambao unaweza kukuta unatakiwa kupokelewa ni chupa za aina zote.
Wastaarabu.
Kuna world cup ya mwaka Fulani, walishuhudiwa wakiokota taka kwenye upande wao baada ya mpira!
Malezi, ustaarabu na heshima!
Ila wabaguzi kwa rangi nyeusi hatarii!
 
Back
Top Bottom