Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze.
Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo pande zote mbili zimepata hasara.Vita hivyo vimepiganwa karibu na hospitali ya Alshifaa eneo ambalo...
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa Makame Mbarawa amesema majaribio treni ya SGR yamekuwa yakizingatia usalama unaofanya treni kutembea kwa mwendokasi wa chini tofauti na itakavyokuwa baada ya safari rasmi kuanza.
Mbarawa amesema treni hiyo kwa kawaida itakuwa na mwendo kasi wa Kilometa...
Maswali muhimu kujiuliza na utakayoyatumia kama msingi wa majadiliano katika mada hii:
1. Kikatiba Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama anaweza kukasimu mamlaka yake ya kutoa amri au maelekezo kwa majeshi yetu ya Ulinzi na usalama kwa mtu mwingine ili kufanya...
Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao.
Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na...
Kila siku ooooh!
Bodaboda ni hatari, sijui bajaji usalama barabara imefanyeje.
Swali ni je, tukiweka wilaya moja ikawa na bajaji na bodaboda tu na baiskeli. Wao ndio wanadeal na traffic. Wao ndio wanadeal na usafirishaji kila kitu. Afu tuone je?
Umahiri na ufanisi wa usafirishaji kwenye hiyo...
Kila siku ooooh!
Bodaboda ni hatari, sijui bajaji usalama barabara imefanyeje.
Swali ni je, tukiweka wilaya moja ikawa na bajaji na bodaboda tu na baiskeli. Wao ndio wanadeal na traffic. Wao ndio wanadeal na usafirishaji kila kitu. Afu tuone je?
Umahiri na ufanisi wa usafirishaji kwenye hiyo...
COMMANDO RAID ON DAR ES SALAAM, TANZANIA 1972 BY SOUTH AFRICAN SPECIAL FORCES (RECCE) from The Silent War: South African Recce Operations 1969-1994 by Peter Stiff
FRELIMO, like half a dozen other liberation movements including the ANC, were well ensconced in Tanzania. FRELIMO's main camp was at...
Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS utafanyika kuanzia Agosti 22 hadi 24 mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Hii sio tu itakuwa shughuli kubwa kwa nchi za BRICS, bali pia itatoa fursa zaidi za maendeleo kwa nchi za Kusini duniani. Hata hivyo, nchi za magharibi na vyombo vya habari vimetoa...
Jirani anatapa tapa!!
Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili...
Marekani imeendelea kudhalilika tena kwenye kuisaka teknolojia ya makombora ya Hypersonic.
Jana Jumanne jeshi la anga la nchi hiyo ambayo imekuwa ikijigamba na kupaishwa kuwa iko mbele ya Urusi na China kwenye teknolojia za silaha za kivita imeshindwa tena ktk jaribio lililofanywa la kuisaka...
Korea Kaskazini imesema imefanya jaribio la ndege isiyoendeshwa na rubani yenye uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia na kushambulia ikiwa chini ya maji.
Shirika la habari la nchi hiyo, KCNA, limeripoti hayo hii leo, Ijumaa, wakati kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un, akitowa onyo kwamba luteka...
Rais wa Kenya, William Ruto amesema mazingira hayo yalikuwa yanamhusu Mwenyekiti huyo wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati wakati wa uchaguzi wa Agosti 2022.
Amesema "Tunajua mpango huo ulikuwepo ili kuimaliza nguvu tume, ulikuwa wakati mgumu, baridi na upweke, vitisho...
Habari wanajukwaa. Leo nimepigiwa simu kutoka namba +255673099097, mpigaji akijitambulisha kuwa anafanya kazi makao makuu ya vodacom. Nilivyosikia hivyo tu, nikajua matapeli hawa. Basi nikajifanya mjinga kwenda naye taratibu ili asishtuke.
Alisema kuwa kuna mtu katuma pesa kwenye account...
Mamlaka zimewakamata watu 4 wanaotuhumiwa kushindwa kutekeleza Mapinduzi dhidi ya Rais Adama Barrow, ikiwa ni tukio la kwanza la uasi tangu amshinde mtawala wa muda mrefu Yahya Jammeh.
Pia, Jeshi limetangaza msako kwa Watu wengine watatu wanaotafutwa kwa madai ya kuhusika katika kupanga njama...
Mnamo tarehe(leo) 15 Oktoba 2022, Greenwood alikamatwa kwa madai ya kukiuka masharti yake ya dhamana. Siku hiyo hiyo, alishtakiwa kwa kujaribu kubaka, kujihusisha na tabia ya kudhibiti na kulazimisha, na shambulio lililosababisha madhara halisi ya mwili.
Kesi yake itaanza kusikilizwa tar 17 Oct...
Mvulana wa miaka 12, auawa kwa kupigwa risasi na kaka yake nchini Nigeria, katika jaribio la 'kuzuia risasi' kwa kuvaa hirizi mpya.
Kwa mujibu wa polisi katika jimbo la Kwara, ndugu hao waliamini kuwa wamejiimarisha kwa kuvaa hirizi ya ulinzi, ndipo kaka mtu akampiga risasi mdogo wake kwa...
Rais wa Poland Andrzej Duda ameonya mataifa ya Afrika kuwa makini na kile alichokiita sera ya kifalme ya Urusi kutokana na kuongezeka kwa ushawishi wake katika masuala ya usalama na nishati
Amedai kuwa Urusi ilikuwa ikitumia Kundi la Wagner (kampuni ya usalama ya kibinafsi) kama "chombo chake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.