Habari hii nimeitoa fb, huyu jamaa anatafuta ushauri, ila ushauri wa "Simon" kama utakavyo usoma hapo chini, haukuwa wa KISTAARABU kwa uelewa wangu na kwa utu wangu mimi!
Hebu na wewe naomba soma hiyo stori umshauri mhusika na bila kumsahau na "Simon" pia ashauriwe.
Niwe muwazi tu mimi...
Leonard Mambo Mbotela enzi za uhai wake
Mwanahabari mkongwe Leonard Mambo Mbotela, anayejulikana kwa kipindi chake maarufu cha "Je, Huu Ni Uungwana?" amefariki dunia.
Ikithibitisha kifo chake, familia ya marehemu ilisema alikuwa mgonjwa kwa muda kabla ya kuaga dunia Ijumaa saa 9:30 asubuhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.