Mahakama ya New York, Marekani imekataa ombi la Msanii, Sean “Diddy” Combs kutaka kuachiliwa kwa dhamana na kuishi katika nyumba binafsi (Appartment) wakati akisubiri kesi inayomkabili ya mashtaka ya usafirishaji wa Binadamu kwa ajili ya unyanyasaji wa kingono kuanza kusikilizwa mwakani 2025...