jela

Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:

Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist

View More On Wikipedia.org
  1. Cecil J

    Utandawazi usikuharibu, Epuka mahusiano na binti au vijana wa shule! Jela kupo na vyumba vya cell za polisi vinahitaji watu.

    Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa nyingi za mahusiano baina ya wanafunzi na walimu au hata watu wengine tu ambao si walimu zinafika...
  2. G

    Kapeleka mpenzi geto bahati mbaya mwanamke akafariki. Anatakiwa kufanya nini ili asifungwe?

    Kuna njemba imepata msala hapa kitaa, muda huu watu wamekusanyika baada ya njemba kutoa taarifa kwa mjumbe. Iko hivi:- Njemba kavusha demu getoni kwake mida ya saa 1.30 jioni ya leo leo. Kamtafutia misosi kagonga kama kawaida. Saa 2 na madakika wakaingia kwenye uwanja wa 6 kwa 6. Bahati mbaya...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Vijana sio waaminifu. Nusura niingie JELA. Sitakuja kumdhamini Mtu walahi

    Nakumbuka 2018 nilikuwa na pikipiki Tatu. Mbili Boxer Moja Haugue, nikatafuta Vijana Watatu. Vijana wawili waliochukua Pikipiki za Boxer nikawaambia badala wanipe elfu 10 Kwa Siku kama bodaboda Wengine wafanyavyo Kwa maboss zao Mimi nikawaambia wanipe elfu 8. Kwa wiki wantumie elfu hamsini...
  4. S

    Tahadhali kwa wenye mamlaka: Watu wamekataa tamaa na hawaogopi tena risasi wala kukaa mahabusu au kwenda jela

    Jana niliweka uzi hapa nikionya watawala kuwa unyanyasaji ukizidi, unafanya watu wafike point of no return na wanakuwa tayari kwa lolote: kuuwawa, kuumiziwa, kufungwa jela, n.k. Nilisema kadri watu wanavyouwawa, kuteswa, kupotezwa, n.k, wanaobaki wanajengea ujasiri na wanafikia hatua wanaona...
  5. Bulelaa

    Somo tunalolipata kutoka kwa taifa la Israel. Mwanaume hapigwi na mkewe, ikitokea, ni mwanaume kaogopa jela tu

    Narudia tena, bila vijana wa taifa la Israel, dunia bila nyukilia ingewezekana Dunia bila teknorojia za maangamizi, ingewezekana Shida ni hawa watundu wa ubunifu wa hali isiyo ya kawaida, namaanisha Waisrael Hili taifa kulipiga inawezekana, ila si kulishinda, Ni sawa tu na mwanaume kupigwa...
  6. Ikaria

    Jaji aliyemhukumu IGP Masengeli kifungo jela apokonywa walinzi; Jaji Mkuu Koome ataka warejeshwe mara moja

    Jaji wa Mahakama ya Juu Lawrence Mugambi amepokonywa walinzi wake siku tatu tu baada ya kumhukumu kifungo cha miezi 6 jela Kaimu Inspekta Jenerali Mkuu Gilbert Masengeli, kwa kosa la kudharau mahakama. Kufuatia kitendo hicho Tume ya Huduma za Mahakama(JSC) ikiongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome...
  7. Majumba saba

    Deo Kisandu kafungwa jela?

    Wakuu, kwema? Nimemkumbuka mwamba Deo Kisandu na namna aliburudisha hapa jukwaani na ikabidi ni Google taarifa zake. Nimekutana na hukumu ya mahakama kuwa alifungwa miaka Saba jela kwa kosa la kumtukana mama yake kuwa ni mchawi baada ya kukatazwa kuuza kitanda alipo kuwa akiishi na mama yake...
  8. Kaka yake shetani

    Mtu Aliyehukumiwa Miaka 13 Jela Asahaulika Kukamatwa, Badala Yake Akageuza Maisha Yake

    Mtu huyu alihukumiwa kifungo cha miaka 13 jela, lakini walimsahau kumkamata. Mnamo mwaka 1999, Cornealious Anderson alihukumiwa kwa kosa la ujambazi akiwa na silaha huko St. Charles, Missouri, na kuhukumiwa kifungo cha miaka kumi na mitatu gerezani. Akiwa nje kwa dhamana, Cornealious na wakili...
  9. mdukuzi

    Sera Mpya; Ukioa mwanamke asiye na cheti cha form four jela miaka 30

    ======== Kauli hii ilitolewa na naibu waziri wa elimu wakati huo Joseph Kakunda na ilileta mjadala kwa watu wengi. Hata hivyo Novemba 10, 2017 Kakunda alikuja kutolea ufafanuzi bungeni kwamba alimaanisha sera mpya miaka ijayo itakuwa lazima mtoto kusoma kuanzia chekechea mpaka kidato cha nne...
  10. Mkalukungone mwamba

    Aliyehukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka amejinyonga akiwa mahabusu

    Fundi magari na Mkazi wa Kiluvya, Kisarawe, Seleman Mirai Kibiki (49), amejinyonga akiwa mahabusu ya Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, Mkoani Pwani akisubiri kupelekwa gerezani mara baada ya kutiwa hatiani na Mahakama hiyo na kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka na kulawiti Mtoto wake...
  11. Nyendo

    Atupwa jela kwa kosa la kumchoma kisu jirani hadi kumuua kisa kukoroma

    Mwanamume mmoja wa Philadelphia nchini Marekani amehukumiwa kifungo cha kwenda jela baada ya kukiri kosa la kumuua bila kukusudia jirani yake kufuatia mzozo ambao mamlaka zinasema ulikuwa ni kuhusu kukoroma kwa sauti kubwa. Christopher Casey (56) anayeonekana kwenye picha, amehukumiwa wiki...
  12. Roving Journalist

    Kagera: Mtendaji wa Kijiji atupwa jela miaka mitatu Wilayani Missenyi kwa kosa la Rushwa

    Mahakama ya Wilaya ya Missenyi imemhukumu, Florian Kaizilege Method, adhabu ya kifungo cha miaka mitatu Jela. Adhabu hiyo imetolewa baada ya kuthibitika kosa la Rushwa kinyume na kifungu cha 15 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329. Mshtakiwa kwa makusudi alijipatia manufaa...
  13. JanguKamaJangu

    Watakaojiandikisha kuwa wapiga kura zaidi ya mara moja kufungwa jela miezi sita

    Wananchi watakaofanya udanganyifu ili wajiandikishe zaidi ya mara moja wanatenda kosa na wakibainika wanaweza kufungwa jela kifungo kisichopungua miezi sita na kulipa faini. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele leo Julai 25, 2024 wakati...
  14. Roving Journalist

    Dr. Benezeth lutege: Ukichinja Ng’ombe mwenye Mimba, Faini ni Milioni 1 au Jela Miezi 6

    Utaratibu wa uchinjaji wa Wanyama katika machinjio na maeneo mbalimbali yanayotambuliwa Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi inalinda afya ya jamii kitaifa na kimataifa kwa kusimamia usalama wa afya ya mifugo na mazao yake nchini. Jukumu hili hufanyika kwa kutumia Sheria na Kanuni...
  15. Cute Wife

    Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imewahukumu kifungo cha maisha jela washtakiwa watano baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya aina za heroini gramu 5,309.57 na kokeni zenye uzito wa gramu 894.28. Hukumu imetolewa Julai 11, 2024 na Jaji Awamu Mbagwa, aliyesikiliza...
  16. Cute Wife

    Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti

    Mwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa iliyopo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, aliyetambulika kwa jina moja, Said, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na mwanafunzi wake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman amesema siku za nyuma...
  17. BigBro

    Marekani yamfunga jela Rais wa Honduras miaka 45

    MAHAKAMA ya Mji wa New York nchini Marekani, imemhukumu Rais wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernandez (55) kifungo cha miaka 45 jela na faini ya dola milioni nane kwa makosa ya ulanguzi wa madawa ya kulevya. Hernandez amehukumiwa kwa kuyasaidia makundi ya wauzaji wa dawa za kulevya tani...
  18. Kidagaa kimemwozea

    Jela miaka 15 kwa kujaribu kumbaka bibi kizee miaka 80

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi, imemuhukumu kwenda jela miaka 15 John Swaki Fokasi, kwa kosa la kujaribu kumbaka bibi kizee wa miaka 80. Mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Aprili 03, 2024 huko Tulieni mashambani majira ya saa sita usiku alipomvamia bibi kizee huyo kwenye nyumba...
  19. DeepPond

    Daktari jela kwa kumpa sumu mkewe kusudi ili mimba itoke

    Ilitokea Ohio, marekani, 2000 KWA KIFUPI Ni kwamba, Binti mmoja baada ya kula sana ujana, miaka 33 anaamua kuseto kwa kutafuta mume wa ndoto zake afanye maisha. Vigezo vyake Ni awe mrefu, handsome na professional na anabahatika kupata mchumba daktari na penz lao Moto Moto penzi linaingia...
Back
Top Bottom