jela

Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:

Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Waendesha mashtaka wataka Dani Alves aongezewe miaka zaidi jela

    Waendesha Mashtaka wa Hispania waliosimamia kesi dhidi ya Beki wa zamani wa Barcelona, Dani Alves wamedai kifungo cha miaka Minne na Nusu jela alichohukumiwa Mwasoka huyo kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono ni kidogo na kuwa anastahili kuongezewa miaka ya kuendelea kubaki jela. Wanatarajia...
  2. KJ07

    Jela kwa kukataa chanjo

    Watu saba wote Wakazi wa Kijiji cha Kalambo Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa, wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja Jela kila mmoja na Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Kalambo baada ya kugoma Watoto wao wenye umri kati ya miezi 9 hadi 59 wasipewe chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubela wakidai chanjo sio...
  3. G

    Maisha ya magereza ya Tanzania ni kama jela za Marekani?

    Maisha ya magereza wengi tumezoea kuyaona kwenye muvi na miziki hasa ya Kimarekani. Magereza ya huko kuna ubabe uliokithiri, magenge na kubakana kwa sana. Kwa hapa Tanzania haya mambo nayo yapo?
  4. Mjanja M1

    Aliyeachiwa kwa msamaha wa Rais ahukumiwa miaka 30 jela

    JOHN Chibuga (31), mkazi wa Kijiji cha Bugolola wilayani Ukerewe, mkoani Mwanza, ambaye Desemba 9, mwaka jana aliachiliwa kwa msamaha wa Rais, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kukutwa na kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha. Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Aidan Nziku, alidai...
  5. Mjanja M1

    Afungwa jela maisha kwa kumnajisi mtoto wa miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela Mwalimu Johnwell Mwamboya (38) mkazi wa Iyela jijini Mbeya baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa mtoto mwenye umri wa miaka saba. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Tedy Mlimba mbele ya...
  6. Mjanja M1

    Aliyeozeshwa mtoto ahukumiwa miaka 30 Jela

    Mahakama ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe tarehe 16 Februari 2024 imemhukumu mshtakiwa GIVEN MICHAEL NZUNDA (24) Mkulima, mkazi wa Shilanga kutumikia Kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la Kubaka. Mtuhumiwa alikamatwa Disemba 15, 2023 maeneo ya Shilanga, Kata ya Ihanda Tarafa ya Vwawa ambapo...
  7. JanguKamaJangu

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. John Pima na wenzake wameshinda rufaa ya kupinga kifungo cha miaka 20 jela

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili wameshinda rufaa waliyokata kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Hukumu hiyo imesomwa leo Ijumaa, Februari 16, 2024 na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha...
  8. Mjanja M1

    Moses Jela maisha kwa kumbaka mtoto

    MAHAKAMA ya Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, imemuhukumu Moses Method (23), mkulima na mkazi wa kijiji cha Kasuga kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa darasa la pili mwenye umri wa miaka tisa. Sambamba na hukukumu hiyo mahakama hiyo imemuamuru...
  9. Mjanja M1

    Bodaboda jela miaka 30 kwa kumbaka abiria wake mkoani Kigoma

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Uvinza imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela dereva wa bodaboda, Ruben Gerishon (24) mkazi wa Kijiji cha Mlela wilayani humo mkoani Kigoma baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka abiria wake. Sambamba na hukumu hiyo, mahakama imetaifisha pikipiki iliyokuwa ikitumiwa na...
  10. Mjanja M1

    Jela miaka 30 kwa kumbaka Bibi wa miaka 66

    Mahakama ya Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, imemuhukumu Baraka Michael (25) mkazi wa Rutale wilayani Kigoma kwenda jela miaka 30 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 66. Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi, amesema kuwa Mahakama...
  11. Down To Earth

    Geita: Aliyevamia Kanisa la RC Geita na kuharibu mali za Tsh. Milioni 48 ahukumiwa miaka mitatu jela

    Elpidius Edward, mkazi wa Mtaa wa Katundu mjini Geita amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu kwa kosa la uharibifu wa mali zenye thamani ya zaidi shilingi milioni 48.2 za Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki Geita. Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemtia hatiani Elpidius baada ya kuridhishwa na...
  12. JanguKamaJangu

    Hivi ndivyo Babu Tale alivyokwepa kifungo cha kwenda jela kwa kesi ya Sheikh M Mbonde ya madai ya 250m

    https://www.youtube.com/watch?v=zEW8KhIHLF0 Chanzo: Simulizi Na Sauti
  13. Roving Journalist

    Arusha: Watuhumiwa wa uhalifu 533 walihukumiwa jela Mwaka 2023, matukio ya uhalifu yatajwa kupungua

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa mwaka 2023 jumla ya watuhumiwa 533 walihukumiwa Kwenda jela kwa makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji na ulawiti huku matukio ya uhalifu yakitajwa kupungua kwa Asilimia 12. Akitoa taarifa hiyo leo Januari 15, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP...
  14. Dexta

    Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumlawiti mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Boniface Mtweve(28) mkazi wa kata ya Lugarawa kwa kosa la kumlawiti mke wake (27) ambaye jina lake limehifadhiwa. Awali akisomewa shitaka hilo na mwendesha mashtaka Asifiwe...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Kufanya kazi TAMISEMI shida tupu, kila ukilala unaota uko jela

    TAMISEMI aidha uwe muadilifu wa kiwango cha SGR ili ustaafu salama au uwe na tamaa za kula vizuri, kupata usafiri bora na kupeleka watoto private school ili uishie jela. TAMISEMI hata ukiiba elfu 50 jiandae kufukuzwa kazi au kufungwa. TAMISEMI ukifanya kazi kuwa makini, unaweza kuingizwa...
  16. MIXOLOGIST

    Bado natafakari kifungo cha jela si adhabu stahiki na rekebu

    Heri ya mwaka 2024 walimwengu Mwaka huu umeingia nikiwa natafakari mambo kivingine hasa hili la kuwafungia watu wazima sehemu moja (jela) bila kujali wamefanya makosa gani, yaani adhabu ni moja kwa watu waliofanya makosa tofauti tofauti. Kwanini tuwaweke wahalifu ndani? tuna waogopa...
  17. J

    Polisi watatu wafungwa miaka 20 jela kwa Rushwa

    Askari hawa walikuwa wakifanya mambo aliyokuwa anayependa Magufuli kipindi chake . ================================================= Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu Askari Polisi watatu wa...
  18. Erythrocyte

    Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru

    Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni Toa maoni yako
  19. GENTAMYCINE

    Nashauri kufungwe kamera katika Miundombinu muhimu ili wanaoiharibu walipe faini au waishie jela

    Kuna mpuuzi mmoja sasa ni wiki katoka kulewa zake Mbezi Beach Tangi Bovu (jirani na kwa Bujibuji Simba Nyamaume) na akawasha gari yake na kuiendesha spidi na kizembe kabisa akaja kugonga moja ya kingo za Daraja muhimu la Bondeni Kawe na ikabakia kiduchu tu gari lake litumbukie mtoni na...
Back
Top Bottom