Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:
Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist
Namalizia kisa cha mwisho cha visa na mikasa vya Hayati JPM.
Vikao vya CCM baada ya kumpitisha JPM kuna wana CCM waliofurahi ila wanaomjua vizuri walijua kumekucha, walijua magereza yatajaa watendaji wakiboronga na mafisadi.
Mmoja kati ya watu waliokosa usingizi ni mtoto wa mjini ila msomi...
Hizi siasa huenda hata bado sijazijua vizuri.
Hawa wapinzani wanapigwa sana, wengine vilema, wengine wameponea kifo chupu chupu, wengine washauwawa, wengine wapo magerezani, wengine washateswa sana, hivi huwa hawaogopi wanapoona wenzao wanapitia hayo?
Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu.
Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni...
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 20 amehukumiwa kifungo cha miezi sita baada ya kukubali kosa, awali alihukumiwa kifo kwa kupigwa mawe, lakini baada ya malalamiko ya wanaharakati na taasisi mbalimbali hukumu ikabadilishwa.
Adhabu ya awali iliyotolewa katika Mji wa Kosti, Jimbo la White Nile...
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Makamba.
Nimesikia Kwa watu zaidi ya wanne visa vya Mwalimu Sarah wa Kilakala Sec kuwapa Mimba wanafunzi wa Kilakala na Adrian Mkoba.
Alitambulika kama mwanamke lakini mwenye dushe na dushe lilikuwa linapiga kazi.
Namimba aliwapa madent kadhaa sasa ajabu mbona...
Mahakama imetoa hukmu hiyo kwa Cristina Fernandez de Kirchner mwenye umri wa miaka 69, kutokana na kumkuta na makosa ya rushwa
Kiongozi huyo amedaiwa kutumia vibaya madaraka yake kwa kutoa kandarasi ya umma kwa rafiki yake, lakini hataweza kutumikia kifungo hicho hadi rufaa yake itakapokamilika...
Mahakama imetoa hukumu ya hadi miaka mitatu kwa waandamanaji hao ambao walishikiliwa katika maandamano ya Oktoba 2022 ambao wanasheria waligomea mchakato wa kesi wakiamini haukuwa wa haki.
Zaidi ya watu 400 walikabiliwa na mashtaka, ikiwa ni pamoja na kushiriki katika mkusanyiko usioidhinishwa...
Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja.
Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu wazazi wa watu ambao hawajaoa kuwaripoti watoto wao kama wameshiriki kufanya tendo hilo.
Uchumba...
Mahakama Kuu ya Nigeria imetoa hukumu hiyo kwa kosa la kutotii amri ya Mahakama, uamuzi huo umetokana na kesi ya Afisa wa Polisi ambaye alifutwa kazi mwaka 1992, ambapo alipinga kustaafu kwake kwa kulazimishwa na kuachishwa kazi.
Mahakama imeamua Inspekta Jenerali Usman Alkali Baba kuwa...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa onyo kwa wananchi kuepuka kukopa au kufanya Biashara na Taasisi, Kampuni, Mtu au Watu Binafsi ambao hawana leseni.
Kifungu cha 16 (1) cha Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 imezuia na kukataza biashara ya kutoa mikopo bila kuwa na vibali maalumu...
Mahakama moja ya mjini Istanbul nchini Uturuki Jumatano imemhukumu mtu mmoja kifungo cha miaka 8,658 kwa kujihusisha na wanawake ambao hawakuwa wamejistiri vizuri aliokuwa akiwaita “paka”, chombo cha habari katika eneo hilo kimeripoti.
Adnan Oktar, aliongoza vipindi vya televisheni akionekana...
Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Mufindi, Edward Uphoro ametoa adhabu kwa mshtakiwa Bruce Karistus aliyekiri kutenda kosa hilo dhidi ya mtoto wake wa kufikia.
Kwa mujibu wa Mashtaka imeelezwa kuwa Oktoba 21, 2022 Karistus alimjeruhi sehemu mbalimbali za mwili mtoto mwenye miaka...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma Mkoa wa Mara imemhukumu kwenda jela miaka 30, mkazi wa Kijiji cha Kibubwa Wilaya ya Butiama, Juma Ligamba (40) baada ya kupatikana na kosa la kubaka kinyume cha sheria.
Mahakama hiyo imemtia hatiani, Ligamba baada ya kuthibitika kuwa alimbaka binti mwenye umri...
Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela huko Marekani
Hashpuppi alikuwa anatuhumiwa kufanya utapeli unaofikia jumla ya dola millioni 24 za Marekani kwa njia ya mtandao
Hashpuppi anatajwa kuwa mmoja wa matapeli wakubwa zaidi wa mtandaoni...
Hatimaye hukumu ya mwizi nguli mitandaoni ambaye ni raia wa Nigeria, Ramon Abbas (39), maarufu Hushpuppi imesomwa jana Alhamisi, Novemba 3, 2022 na Jaji Otis Wright wa Mahakama ya Wilaya huko California ambapo Hushpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 gerezani.
Hata hivyo kwa kuwa tayari...
Hukumu imetolewa na Hakimu Mkazi John Mdoe wa Mahakama ya Wilaya dhidi ya Francis Julius Matiko mkazi wa Isevya kutiwa hatiani kwa makosa mawili ya kuwadhalilisha watoto.
Upande wa Mashtaka uliiambia Mahakama kuwa mshitakiwa kwa nyakati tofauti aliwalaghai watoto wawili wa kike kwa kuwapa Tsh...
Mtuhumiwa huyo Ooi Chuen Wei, 37, ni Mwanaume ambaye alikuwa na utambulisho wa bandia katika mtandao huo amekutwa na hatia ya kuwadanganya wanawake na kuwashawishi wamtumie taarifa zao ikiwemo picha za sehemu zao za siri.
Ooi Chuen alikuwa akiwasiliana na Wanawake na kuwatumia fomu ya ujaza...
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Nawapongeza Baraza la Mitihani (NECTA) kwa kufanya kazi nzuri ya kufichua uovu uliofanywa na Shule ya Chalinze Islamic Modern School kuwabadilishia wanafunzi 7 namba za mitihani kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.
Lakini...
VIjana wawe makini na mgroup ya Watsapp
===
Bariadi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Sh15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
Mahakama ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara wa mjini Namanyere, Athanas Exavery (32) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka saba.
Akitoa hukumu hiyo leo Alhamisi Oktoba 20, 2022 Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi wa mahakama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.