jela

Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:

Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Atupwa jela miaka 4 kwa kumchapa viboko karani wa sensa

    Amos Nyang'waji (25), Mkazi wa Kijiji cha Matui Wilayani Kiteto Mkoani Manyara amehukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani kwa kosa la kumcharaza viboko Karani wa Sensa na kuharibu kishikwambi chake wakati akitekeleza majukumu yake mnamo Agosti 25, 2022. Imeelezwa mtuhumiwa akiwa nyumbani kwa...
  2. BARD AI

    Mhasibu afungwa miaka 76 kwa kufoji risiti na kujipatia tsh. mil. 97

    Bernald Mnyilenda aliyekuwa Mhasibu wa Shule ya Southern Highlands amehukumiwa kifungo hicho baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumkuta na hatia ya kutumia kitabu ghushi cha Risiti na kupokea ada kiasi cha Tsh. milioni 97. Mahakama hiyo imemkuta na makosa 22 baada ya kusikiliza...
  3. BigTall

    Uchawi ni kosa la jinai, Mahakama ikikukuta na hatia unafungwa jela

    Kwa mujibu wa Sheria, mtu yeyote kwa kauli au matendo yake akitambulika kuwa ni mchawi au akitengeneza, kutumia au akimiliki zana za kichawi au akimpagtia mtu mwingine zana za uchawi au akimshauri mtu kutumia uchawi au zana za kichawi au akitishia kuloga au kutumia uchawi au zana za kichawi...
  4. Melki Wamatukio

    Binti afunguka kuwa mwanaume aliyefungwa miaka 30 jela siye aliyempa ujauzito

    Hakika wanawake si binadamu, ni viumbe wa ajabu sana kulinganishwa na majini au hata nyoka. TUISHI NAO KWA AKILI Mwaka 2017 huyu binti alikuwa kidato cha nne. Kwa bahati mbaya alipata ujauzito mwezi wa tatu. Juhudi za kumtafuta mhusika zilimwangukia kijana aliyekuwa anachukua diploma ya unesi...
  5. JanguKamaJangu

    Arusha: Afisa Mtendaji ahukumiwa miaka 20 jela kwa ufujaji wa fedha

    Agosti 24, 2022 Jamhuri imeshinda katika Shauri Na. ECO. 90/2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Shauri hili lilimhusu, JULIUS K. MBISE, aliyeshtakiwa kwa makosa ya Ufujaji na Ubadhirifu, Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kuisababishia Serikali Hasara, kinyume na vifungu vya 28 (1)...
  6. JanguKamaJangu

    Katavi: Muongoza watalii ahukumiwa miaka mitatu jela kwa kuomba rushwa

    TAKUKURU mkoa wa Katavi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa, Agosti 24, 2022 imefungua shauri la jinai Na. CC. 95/2022 dhidi ya Elisha Christopher Mashamba ambaye ni muongoza watalii katika hifadhi ya misitu ya Tongwe East - Nkondwe Waterfalls Camp. Ameshitakiwa kwa makosa ya kuomba na...
  7. Miss Zomboko

    Jacob Zuma akata rufaa kuhusu uamuzi wa kurejeshwa kwake jela

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameiomba Mahakama ya Juu nchini humo kubatilisha uamuzi unaomtaka arejeshwe jela ili kutumikia kifungo cha miezi 15, hatua ambayo hapo awali ilisababisha maandamano na uporaji katika jimbo lake la KwaZulu Natal hadi mjini Johanesbourg. Zuma mwenye...
  8. JanguKamaJangu

    Kinyozi atupwa jela miaka 30 kwa kumpa mimba mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa, imemhukumu kinyozi, Batista Ngwale (27) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kumpa mimba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18. Binti huyo alikuwa akisoma kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kibena iliyopo Iringa Vijijini. Binti aliiambia...
  9. JanguKamaJangu

    Kilimanjaro: Sheria kutungwa, Wazazi wasiolipia chakula shuleni kufungwa jela

    Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, imepitisha rasimu ya sheria ndogo inayotaka Wazazi watakaoshindwa kuwalipia vyakula watoto wao wakiwa shuleni, wafungwe miaka miwili gerezani. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Sifael Kulanga ambapo ameeleza kuwa rasimu...
  10. JanguKamaJangu

    HISPANIA: Shakira ashtakiwa kwa kukwepa kodi, wataka afungwe jela miaka 8

    Mwanamuziki Shakira anaweza kukutana na kifungo cha miaka nane na miezi miwili jela pamoja na faini ya Dola Milioni 24 (Tsh. Bilioni 55.7) kama atakutwa na hatia katika mashitaka ya kukwepa kulipa kodi. Shakira alipewa ofa na watoza kodi kuwa wayamalize kwa kutakiwa kulipa kiasi cha fedha kati...
  11. JanguKamaJangu

    Jela miaka 7 kwa kumuua mwanaume bila kukusudia, alimkuta amesimama na mtalaka wake

    Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kifungo cha miaka saba jela Donati Phabian baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia Alfred Damas kwa madai ya kumkuta akizungumza na mtalaka. Phabian alifanya kitendo hicho baada ya kuwakuta wawili hao barabarani katika Kijiji cha Lugangwa...
  12. N

    Video: Jimmy Kindoki asema Manara alitakiwa kuwa jela

    Yaani kama siyo kujuana juana alhaji albino sope binobino kubwa la ma albino east africa lilitakiwa kuwa jela segerea basi tu ni kama toto dogo lichokozi linajua likitukana watu kuna vibopa watalikingia kifua liendeleze matusi yake
  13. Roving Journalist

    Wahukumiwa kwenda Jela miaka 70 kwa wizi wa mifugo

    Watu sita ambao ni majambazi sugu wa mifugo wamehukumiwa kifungo cha miaka 70 jela kwa kosa la unyanganyi wa kutumia silaha aina ya bunduki na mapanga katika mahakama ya wilaya ya Tarime Mkoani Mara. Hukumu hiyo imetolewa na hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Tarime Hakimu Yohana...
  14. Lady Whistledown

    Muigizaji Nchini Nigeria ahukumiwa Miaka 16 jela kwa kumnyanyasa mtoto kingono

    Muigizaji wa Nigeria, Olanrewaju Ominyika (49), maarufu kama ‘Baba Ijesha’ amepatikana na hatia ya kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 14 kati ya mwaka 2013 na 2014 Mnamo Mwaka jana, Omiyinka alikiri mahakamani kumlawiti mwathiriwa, lakini akasema ni katika muktadha wa nafasi aliyokuwa akiigiza...
  15. Sky Eclat

    Kifungo cha jela kimempa mabadiliko chanya ya maisha

    Jana nilikua kwenye basi kuelekea nyumbani Kwamtogole. Jirani yangu alikaa mwanaume mwenye umri unaokaribia miaka 35. Hajui Kiswahili vizuri. Tuliongea hivyo hivyo na Kiingereza changu cha yes, no lakini nilifanikiwa kumuelewa. Huyu mwanaume ni raia wa Ghana lakini alifanikiwa kwenda Ulaya...
  16. Poppy Hatonn

    Wale panya road waliokuwa chini ya miaka 18 wamefungwa jela ya watoto?

    Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahau plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika? Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya.
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Kazi isiyoangaliana na mlango wa Jela haiwezi kukufanya kuwa Tajiri

    Kwema Wakuu! Ikiwa kazi unayoifanya haijawahi kukuletea Polisi, au haijawahi kukupeleka kwenye vyombo vya kisheria ujue hiyo kazi haiwezi kukufanya kuwa Tajiri. Utajiri na uvunjifu wa sheria ni pande mbili za sarafu moja. Huwezi kuwa tajiri bila kuivunja sheria ya nchi, mahali popote Katika...
  18. Lady Whistledown

    Rwanda: Afisa wa Zamani ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuhusika katika Mauji ya Halaiki

    Laurent Bucyibaruta, aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Gikongoro Kusini amekutwa na hatia nchini Ufaransa kwa kuhusika na mauaji ya halaiki ya mwaka 1994, ambapo takriban Watutsi 800,000 na Wahutu ambao hawakufungamana na upande wowote waliuawa. Gavana huyo wa zamani anadaiwa kutumia ushawishi wa...
  19. P

    Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

    Mwanamuziki wa Marekani, R. Kelly leo amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la Sex Trafficking --- Mwanamuziki wa Marekani wa miondoko ya R&B Robert Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa unyanyasaji wa kingono kwa wanawake na mabinti wadogo. R. Kelly amepatikana na hatia za...
  20. Lavan Island

    R. Kelly kesi imemkalia vibaya, jela miaka 25 au maisha

    Mwimbaji R. Kelly anaweza kukabiliwa na miongo kadhaa jela atakapohukumiwa siku ya Jumatano, miezi tisa baada ya kupatikana na hatia ya kuendesha mpango wa kuwanyanyasa kingono wanawake na watoto. Mnamo Septemba, jopo la New York lilimtia hatiani mwanamuziki huyo aliyefedheheshwa kwa...
Back
Top Bottom