Moja ya funzo kubwa tunalopata kutokana na hukumu ya Sabaya ni kuwa, hata ukitumika na wakubwa ,ipo siku hawatakuwapo na hata wakiwepo, wanaweza wasiwe na msaada kwako hivyo yatakukuta tu kama yalivyomkuta Sabaya leo hii.
Mliomshambulia Lissu kwa risasi mkoani Dodoma,, mjue siku yenu ipo na...