jela

Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:

Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Mkusanya Mapato afungwa miaka miwili Jela licha ya kurejesha Tsh. Milioni 10.6 alizoficha

    Ni Sylivester Vananth, aliyekuwa Mkusanya Mapato ya Halmashauri ya Ngara, Kagera aliyepewa hukumu hiyo na Mahakama baada ya kukutwa na hatia katika Kesi ya Uhujumu Uchumi na Ubadhirifu. Mshtakiwa alikiri Kosa na kuomba huruma ya Mahakama kwenye upande wa adhabu kwa kuwa ameshalipa Tsh...
  2. BARD AI

    Walioua ndugu kwa Viboko, Wafungwa miaka 6, baba yao anusurika

    Mahakama Kuu imewaadhibu mzee wa miaka 91, Leshoo Kishoki Mollel na wanawe wawili, waliomuua bila kukusudia mwanafamilia mwenzao aliyekwenda kwa wakwe katika kikao cha usuluhishi akiwa amelewa chakari. Katika hukumu hiyo iliyosomwa Juni 23 mwaka huu na nakala kupatikana jana, Mahakama Kuu Kanda...
  3. benzemah

    Kukopesha bila kuwa na leseni adhabu faini milioni 20, jela miaka miwili

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imepiga marufuku kwa taasisi, kampuni na watu binafsi kufanya biashara ya kukopesha fedha bila kuwa na leseni ya BoT au taasisi zilizokasimishwa majukumu hayo. Wasiotii sheria inayowataka kuwa na leseni watakabiliwa na kifungo jela kisichozidi miaka miwili au kulipa...
  4. M

    Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wa mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, imemuhukumu Sanya Kalamangola mwenye umri wa miaka 25, kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mtoto wa mke wake baada ya mkewe kwenda kumuuguza mjamzito.
  5. M

    Babati: Gurtu Sirro ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuuza meno ya tembo

    Hukumu hiyo ilitolewa na hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Victor Kimario. Kimario, akisoma hukumu hiyo ya uhujumu uchumi ya mwaka 2023, alisema mshtakiwa alitenda kosa hilo Januari 17 katika Kijiji cha Matufa, wilayani Babati. Alisema mshtakiwa alikutwa amebeba meno matatu ya tembo...
  6. J

    Kwa Siasa za Tanzania Mbowe ni 'next level'. Aliwahi kukutana na Mandela baada ya kutoka jela, ana maarifa mengi!

    Nimeangalia orodha ya watu wanaomponda Mbowe kuanzia Wabunge, UVCCM hadi akina Hamad Rashid nikaona 95% ni chuki binafsi tu na wala siyo lile angalizo au tahadhari aliyotoa Freeman. Mtu kama Kibajaj Tangu ahame CHADEMA na kujiunga CCM amekuwa na bifu na Mbowe. Hamad Rashid akiwa bungeni mara...
  7. M

    Ahukumiwa kwenda jela miaka 4 kwa kumuua mkewe baada ya kumfumania na jirani yake

    Mahakama ya Mkoa wa Tabora, imemuhukumu Kwenda jela miaka minne Juma Edward (30), Mkazi wa kijiji cha Shitage wilayani Uyui mkoani humo kwa kumuuwa mkewe Kulwa Vincent (29) kwa kumshambulia hadi kufa baada ya kumfumania akifanya ngono na mwanaume mwingine ambae ni jirani yao nyumbani kwake...
  8. BARD AI

    Afungwa miaka 20 jela kwa Utakatishaji Fedha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Jausia Msophe kwenda jela miaka 20 au kulipa faini ya Sh500 milioni baada ya kutiwa hatiani kwa mashtaka mawili likiwemo la utakatishaji wa fedha kiasi cha Sh158 milioni. Pia mahakama hiyo imemuamuru kiasi cha fedha cha Sh158 milioni zilizokuwepo...
  9. BARD AI

    Baba wa kambo jela kwa kumuambukiza mtoto UKIMWI kwa makusudi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mara imemuhukumu kwenda jela miaka saba Msirari Muhere (60) mkazi wa Wilaya ya Tarime baada ya kupatikana na hatia ya kumuambukiza ugonjwa wa Ukimwi mtoto wa miaka sita kwa makusudi. Hukumu hiyo imetolewa mjini hapa leo Mei 31, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu mwenye...
  10. Roving Journalist

    Dar: Raia wa Marekani afungwa miaka 20 jela kwa kusafirisha dawa za kulevya

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imemuhukumu Lione Lionel Rayford raia wa Marekani kifungo cha miaka 20 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kiasi cha kilo 2.188. Taarifa iliyotolewa leo Mei 27, 2023 na Mamlaka ya Kudhibiti na...
  11. Suley2019

    Afisa Usalama Feki ahukumiwa jela miezi 3

    Mahakama ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara imemuhukumu Patrick Wambura (34) Mkazi wa Bariadi Mkoani Simiyu kutumikia kifungo cha miezi mitatu gerezani kwa kosa la kujifanya Afisa Usalama wa Taifa. Hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Babati Victor Kimario...
  12. Notorious thug

    Jela miaka 150 kwa kubaka watoto wake watano(5)

    Mkazi wa Ndaleta wilaya ya Kiteto mkoa wa Manyara Jackson Ole Naiko (57) amehukumiwa kifungo cha miaka 150 na faini ya Milioni Tano (5,000,000/=) kwa kosa la kuwabaka watoto wake wa kuwazaa. Hakimu wa kesi hiyo Mosi Sassy amesema mahakama imezingatia ushahidi wa pande zote mbili na kila kesi...
  13. JanguKamaJangu

    Sudan: Mpinzani Mkuu wa Rais ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa mashtaka ya ugaidi

    Rachel Ghannouchi (81) ambaye ni Spika wa zamani wa Bunge, alikamatwa Aprili 2023 kwa tuhuma mbalimbali ikidaiwa kuwa ni hatua ya kudhibiti upinzani wa kisiasa Chama cha Mwanasiasa huyo, Ennahda kilikuwa chama kikuu bungeni kabla ya Rais Kais Saied kulivunja Bunge mnamo Julai 2021 na kuchukua...
  14. O

    Baba ahukumiwa miaka 40 jela kwa kuzaa na binti yake

    Kibaha. Hakimu Mwandamizi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Yudith Lyimo amemhukumu kifungo cha miaka 40 jela, na viboko 12 mkazi wa ‘Kwa Mfipa’ Kibaha, Fadhiri Msham kwa kosa la kufanya mapenzi na mwanawe wa kumzaa na kumpa ujauzito. Mbali na adhabu hiyo pia Msham ambaye...
  15. L

    Nafikiria adhabu za jela miaka 30 zipunguwe muda wake

    Mtu anafungwa jela miaka 30, sisi tunakatwa Kodi zetu kulisha watu wa namna hii Kwa muda wa miaka 30? Sitetei uhalifu ila inabidi tutafute namna nyingine, wastani wa mtu anayefungwa hiyo miaka 30 wa kuishi ni miaka walau 55 na anaelekea huko akiwa na miaka 25 Sasa hii Ina maana Gani? Ni lini...
  16. willpower

    Harakati za Mapenzi zilivyompeleka jela rafiki yangu

    Wasalaam; hii ilitokea, Nakumbuka miaka ile, tukiwa tumehitimu kidato cha sita, mtaani kwetu tulikuwa vijana 6 ambao tulikuwa tumehitimu elimu ya sekondari. Miaka ile utaratibu wa kujiunga na elimu ya Chuo Kikuu ilikuwa unasubiri mwaka mzima nyumbani. Utamaliza kidato cha sita mwezi wa tano...
  17. Roving Journalist

    ISSA Salumu Makale (35) afungwa miaka 30 jela kwa hatia ya kukutwa na vipande 13 vya meno ya tembo

    MENO YA TEMBO YAMPELEKA GEREZANI MIAKA 30. Na Steven Augustino, Tunduru Hakimu Mkazi mwandamizi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Honorus Kando amemhukumu mkazi wa Kijiji Cha Nalasi Bw. ISSA Salumu Makale (35) kutumikia kifungo Cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na...
  18. M

    Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

    Msanii wa Nyimbo za asili ya Kisukuma, Dawa Juma mkazi wa Kijiji cha Makurugusi wilayani Chato mkoani Geita, amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya Tsh. Milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kumtukana rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan...
  19. Dexta

    Mchungaji Nurdin Abdallah jela miaka 30 kwa kumbaka mwanaye

    Mchungaji Nurdin Abdallah ambae ni muinjilisti wa vitabu amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka kwa nyakati tofauti binti yake mwenye umri wa miaka 6. Akitoa hukumu hiyo hakimu mkazi mwandamizi Erick Kimaro wa mahakama ya wilaya ya Magu amesema mahakama...
  20. JanguKamaJangu

    Kijana wa miaka 18 afungwa jela miaka 30 kwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Tonny Kurwa Zuchu [18] Mkazi wa Misungwi Mwanza amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuruhusu kuingiliwa kinyume cha maumbile. Hukumu ya kesi hiyo ya jinai namba 91/2023 imetolewa Aprili 19, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya mbele ya...
Back
Top Bottom