jenerali moses ali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Inakuwaje wananchi wanachagua Jenerali Moses Ali ambaye nimzee na kuonekana ana changamoto ya afya ya akili!

    Hili limenisikitisha sana, nimeona video ya Mbunge mwenye umri wa miaka 87, Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza, Jenerali Moses Ali, aliyetetea kiti chake cha Ubunge wa Jimbo la Adjumani West baada ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2026 akihangaika sana kuwasiliana na watu, lakini pia akionekana kuwa mwenye...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jenerali Moses mwenye umri wa miaka 86 amezindua Kampeni ya Ubunge

    Jenerali Moses Ali, Naibu Waziri Mkuu wa Pili wa Uganda, ameanza rasmi kampeni zake za kugombea tena kiti cha ubunge cha East Moyo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2026. Akiwa na umri wa miaka 86, Jenerali Moses Ali amesifiwa na wananchi wa Uganda kwa mchango wake mkubwa katika utumishi wa umma...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwanasiasa Mkongwe Nchini Uganda, Jenerali Mstaafu Moses Ali Kuwania Ubunge tena 2026

    Watu wengi wameshangazwa na kitendo cha mwanasiasa mkongwe nchini Uganda, Jenerali Mstaafu Moses Ali kuendelea kutaka kuwa mbunge ilihali afya yake imekuwa tete kwa muda mrefu sasa. Mzee Ali ambaye amekuwa serikalini kwa miaka 54, alipoulizwa ni lini ataachia ngazi, akajibu kuwa ni mpaka...
Back
Top Bottom