Inakuwaje wananchi wanachagua Jenerali Moses Ali ambaye nimzee na kuonekana ana changamoto ya afya ya akili!

Inakuwaje wananchi wanachagua Jenerali Moses Ali ambaye nimzee na kuonekana ana changamoto ya afya ya akili!

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722

Hili limenisikitisha sana, nimeona video ya Mbunge mwenye umri wa miaka 87, Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza, Jenerali Moses Ali, aliyetetea kiti chake cha Ubunge wa Jimbo la Adjumani West baada ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2026 akihangaika sana kuwasiliana na watu, lakini pia akionekana kuwa mwenye changamoto ya afya ya akili.

Limeniuma sana kama binadamu, hii si sawa kabisa na hata familia yake imemkosea kwa kumruhusu kugombea tena ilihali wakijua kuwa hana tena uwezo wa kuhimili siasa.

Mwisho wa siku amebaki kuwa kituko na meme mbele ya hadhara

Jenerali Moses Ali alazimishwe kustaafu.
 
Back
Top Bottom