jeshi la polisi tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lutah25

    Jeshi la Polisi Tanzania litoe taarifa kuhusu askari waliopewa tuzo na Mahakama Kuu ya kurejeshwa kazini.

    Septemba 10,2024 Mahakama Kuu ilitoa uamuzi wa kuwarudisha kazini Askari watatu kama taarifa ilivyojieleza kwenye mtandao wa Mahakama ujulikanao kama TanzLii (Home - TanzLII) ambapo majina ya askari hao na sababu ya uamuzi uliotolewa vyote vimebainishwa katika taarifa hiyo. Baada ya uamuzi...
  2. robbyr

    Barua ya Wazi kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa heshima, Kiongozi wa Jeshi la Polisi Tanzania, Makao Makuu, Dar es Salaam. Mpendwa Kiongozi, Natumai barua hii inakukuta salama. Ningependa kuchukua fursa hii kuungana na wenzangu katika kujadili suala la ulinzi na usalama nchini Tanzania. Kwanza kabisa, napenda kuwapongeza kwa...
  3. JUKUMU

    Utendaji wa Jeshi la Polisi kushughulia wahalifu

    Wanajamii nawasalimu, natumaini wote mpo salama weekend hii. Sasa niende kwenye point hasa kwenye suala ukamataji wa jeshi letu hasa pale inapotokea uhalifu. Mfano tukio la Mwanza, Polisi anasema watuhumiwa walikuwa na mapanga hivyo ikabidi watumie risasi za Moto. Sawa walikuwa wanajihami...
  4. waziri2020

    Pre GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa alalamikiwa kusimamia uchaguzi feki wa TLP

    Wanachama wa chama cha Tanzania Labour Part {TLP} wamemtaka msajili wa vyama vya siasa kuacha kushirikiana na katibu mkuu wa chama hicho Limo kukiingiza chama katika mgogoro na wanachama wake walioko mikoani . Wakiongea na msajili wa vyama Sisty Nyahoza kwa njia ya simu wamemtaka kuacha...
  5. Mindyou

    Pre GE2025 Kamanda Muliro: Tumejipanga kuimarisha ulinzi Uchaguzi wa CHADEMA. Sisi sio wageni hapa Mlimani City, wanaoshangaa ndio wageni

    Wakuu, Kama mnavyojua leo ndo ile siku ya Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti ndani ya CHADEMA na saa chache kabla ya Uchaguzi huo kuanza Jeshi La Polisi limetoa msimamo wake Akizungumza na Samuel Sasali, Kamanda Muliro amesema kuwa wamejipanga kutoa ulinzi katika eneo la Mlimani CIity na kwamba...
  6. Megalodon

    Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka

    Moja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi. Trafic hajawahi...
  7. Mindyou

    Wazazi wa vijana 5 waliotekwa mwaka 2021 Kariakoo waibuka tena, wamlilia Rais Samia. Wanasema uchunguzi ulikamilika lakini ripoti haijatoka

    Wakuu, Mnakumbuka ile story ya wale vijana watano waliotekwa Desemba 2021 kule Kariakoo. Hivi karibuni wazazi wa vijana hao wamejitokeza tena kuomba msaada kwani mpaka sasa hakuna kitu kimefanyika ili kujua vijana hao walipo. ================================================ Miaka mitatu...
  8. eden kimario

    hivi jeshi la polisi Tanzania linalinda usalama wa raia wa uingereza na mali zao au linalinda usalama wa raia na mali za mtanzania!!?kwa nini 1919

  9. J

    Dodoma: Majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa yaua askari Polisi Wawili na Mtuhumiwa mwenyewe!

    Askari Polisi wawili wameuawa huko Mpwapwa baada ya kutokea majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa Mtuhumiwa huyo Athanasia Malenda naye ameuawa. --- Askari Polisi wawili wamefariki dunia wakati wakifanya majibizano ya risasi na Mtuhumiwa Atanasio Malenda (30) ambaye walienda...
  10. Mindyou

    LGE2024 Kagera: Polisi waahidi "usalama" siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Mbona kama kuna watu wame-targetiwa kutokana na tangazo hili? Jeshi la polisi mkoani Kagera limewataka wananchi wa mkoa huo kushiriki uchaguzi wa serikali za mtaa kwa utulivu kwakuwa limeimarisha ulinzi na usalama kwenye maeneo yote ya mkoa huo kuelekea kwenye siku ya uchaguzi huo...
  11. Roving Journalist

    Pre GE2025 Dodoma: Tume ya Uchaguzi yawanoa Maafisa wa Polisi kuelekea uchaguzi

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa Uchaguzi (INEC), Kailima Ramadhani amesema wameamua kulijengea uwezo Jeshi la Polisi ili waweze kutambua matakwa ya Sheria za uchaguzi na kuepusha kuyumbishwa na Wanasiasa. Kailima aliyasema hayo katika mafunzo kuhusu sheria za uchaguzi yaliyotolewa na Tume hiyo...
  12. Mindyou

    Kamanda Muliro: Ndio maana sitaki kubishana, Jeshi la Polisi ndio lilimuokoa Sativa kule Katavi!

    Wakuu, Mnakumbuka ile clip ya Sativa baada ya kupatikana kule Katavi na akiwa amezungukwa na wananchi ambao ndio walijitolea kumpeleka hospitali na kuhakikisha anakutana tena na familia yake? Kama utakuwa hujaona hiyo clip, nimeiweka hapo chini. Ni clip inayomuonesha Sativa akiwa amezingirwa...
  13. Roving Journalist

    Taarifa ya Jeshi la Polisi kutoka Mkoa wa Ruvuma

    Hali ya ulinzi na usalama Mkoa wa Ruvuma ni shwari, na ushwari huu umetokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Jeshi la Polisi na Wananchi kuhakikisha jamii na mkoa kwa ujumla unaendelea kuwa salama. Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya mafanikio ya doria, misako...
  14. Mindyou

    Jeshi La Polisi mkoa wa Kusini Unguja lathibitisha kifo cha Askari wake ambaye alitoweka tangu mwezi Agosti akiwa msituni

    Wanabodi, Hatimaye Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja muda mchache uliopita limetoa taarifa kuhusu kifo cha Askari Haji Machano Mohamed wa kikosi cha Valantia (KVZ). Askari huyo alitoweka tarehe 08/08/2024 wakati akihudhuria mafunzo ya uongozi katika Chuo cha Uongozi cha Jeshi la Kujenga...
  15. Mindyou

    Jeshi la Polisi la Polisi lamjibu Wakili Mwabukusi na wanaharakati kuhusu mamlaka waliyonayo katika kuzuia maandamano

    Baada ya kuwepo kwa malalamiko na mashauri mengi kuhusu uhalali wa Jeshi La Polisi Tanzania kuzuia maandamano nchini hatimaye Jeshi hilo limeamua kutoa ufafanuzi kuhusu sakata hilo. Tamko hili la Jeshi La Polisi linakuja siku chache tangu Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne...
  16. J

    Haki itendeke katika ajira za Jeshi La Polisi

    Mwezi May 2024 Jeshi la Polisi lilitoa tangazo la ajira kutokana na viwango vya elimu na kada mbalimbali. Tar 22/07/2024 Tangazo la kuitwa kwenye usaili lilitangazwa, ambapo kwa Tanzania bara idadi ya vijana walioitwa ni 31930(ambapo kwa wenye fani ni 2238) Kwa upande wa Zanzibar vijana 2068...
  17. sifi leo

    Alivyokamtwa Lema kwenye ndege ni sawa tu alivyochukuliwa mzee Ali Kibao kwenye basi

    Naanza hivi kwa uhalisia kabisa Nina hakika abilia wanao TUMIA kusafiri wa ngani wengi wenu mnaonekana ni wasomi na ni watu wenye uhakika wa kielemu na kipato. Nanajua kabisa yawezekana haiwezekani RUBANI wa ndege anaweza kuwa na kiwango Cha elimu ila sio Cha Darasa la Saba hasa la Saba ya...
  18. milele amina

    Pre GE2025 Ushauri kwa CCM na Polisi wa Tanzania na hofu unayojengeka kwa wananchi

    Kuna dalili kwamba wananchi wa Tanganyika wanakabiliwa na hofu kubwa ndani ya mioyo yao. Wakati wanapowaona polisi, wanawafikiri kuwa ni wawakilishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kwa upande mwingine, wanapokutana na wanachama wa CCM, wanawaza kuwa ni polisi. Hali hii inadhihirisha jinsi...
  19. Mindyou

    CHADEMA watoa tamko baada ya viongozi wake kukamatwa wakiandamana: "Polisi wametumia nguvu kupita kiasi"

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kimetoa rasmi tamko mara baada ya baadhi ya viongozi wake kukamatwa na Jeshi La Polisi wakati wakiwa wanaandamana. Tamko la CHADEMA linakuja saa chache tangu viongozi mbalimbali wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Godbless Lema kutiwa...
  20. Mindyou

    Maandamano ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA

    Jeshi la Polisi limetoa taarifa rasimi ya kuwakamata watu 14 ikiwemo baadhi ya Viongozi wa Chadema, Mwenyekiti Freeman Mbowe, Lissu na Lema, ambapo wamedai kuwa viongozi hao wamekamatwa kufuatia mpango wa maandamano. Wanawashikiria kwa sasa wanahojiwa kwa ajili ya hatua za kisheria. Kamanda...
Back
Top Bottom