Ombi langu kwenu (JWTZ) ni kwamba mwaka huu na mwakani tunaelekea kwenye chaguzi za nchi yetu na hapa ndipo usalama mkubwa ndani ya nchi unapotakiwa kuangaliwa kwa ukaribu zaidi, niwaombe sana Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye Kamandi zenu tofauti kujipanga kwa ajili hii, mwaka huu tunaanza...
Mfumo wetu wa siasa unakataza indirectly Kiongoz wa kisiasa au chama tawala kuhojiwa anapotenda jinai . Vinginevyo lazima wapokee maelekezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa wasipofanya hivyo .
Incase akajitokeza askari akataka kumhoji mwanasiasa basi mfumo unaweza kuelekeza ahojiwe yeye au...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amefanya uhamisho wa baadhi ya Makamanda wa mikoa kwa lengo la kuboresha ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Jeshi la Polisi.
Wakuu,
Ukifanya mipango inabidi ucheze vizuri karata zako usiwe 'too obvious' kama Wazaramo wanavyosema. We ulisikia wapi maadamano ya kusifia juhudi za 'Mama' yanapingwa tena karibia na mikutano/maandamano ya upinzani kupinga mkataba wa DP World?
Ikifika tar. 22 mtaona, wataambiwa hamuwezi...
Ni yule ambaye aliripotiwa hapa JamiiForums na Member mmoja nimemsahau jina kuwa alimjeruhi aliyemhusi mwizi wa mkewe (mama Zai ambaye sasa ni mjamzito) kwa kumkata kiukatili sikio na kidole kisha kupita navyo sokoni Kawe akiwa anatamba na kuvionyesha kwa watu huku akisema hakuna wa kumtisha...
dar es salaam
jaribio la kuua
jeshilapolisijeshilapolisitanzania
matukio ya ukatili dar
matukio ya ukatili kawe
mtuhumiwa
muuza mihogo akamatwa kawa
muuza mihogo kawe
tcra
Haya ndiyo mambo muhimu sana kwenye kudhibiti ajali za barabarani;
~ Iwekwe sheria ambayo itahakikisha kabla ya anayetaka leseni ya udereva pamoja na mafunzo anapimwa macho na dakitari wa polisi au wa hosipitali ya serikali, madereva wengi wana tatizo la mtoto wa jicho ambalo husababisha uono...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na Askari wa Uhifadhi kutoka hifadhi ya Taifa Ruaha wanamshikilia Cyprian Kasula miaka 42, mkulima na mkazi wa kijiji cha Kipera kwa tuhuma za kukutwa na kichwa cha Tembo kikiwa na meno yote mawili katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.
Akizungumza na...
Kumekuwa na tabia kama sio utaratibu wa nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania kutangazwa kwenye vyombo vya habari bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika.
Je, kuna siri au ubaya gani kama idadi ya nafasi ikatajwa kwenye tangazo la ajira. Nilitarajia Jeshi hilo kutoa mfano linahita vijana...
Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi wanaosimama kama walinzi wa msaada jamii
1) Hawa walinzi shirikishi wanareport kwa nani je? Kwenye jeshi la polisi ngazi ya kituo cha polisi au Ofisi yq uhamiaji ?
2)Uhalali wa utendaji kazi wao na jinsi wanavyopatikana hadi kuingia kufanya...
jeshila akiba
jeshilapolisijeshilapolisitanzaniajeshila uhamiaji
serikali mtandao
serikali na wananchi
sheria inasemaje
sheria na jamii
ulinzi
ulinzi shirikishi
Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa pia nikupongeze kwa kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uwe Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Sina shaka na utendaji wako uliotukuka, pichani ni Askari wako Inspekta Emmanuel Govella ambaye alikuwa Mkuu wa Kituo cha...
Habari wakuu,
Inasikitisha na kutia hasira kuona tumefikia huku na tunasema kila siku jeshi letu ni kiboko. Kweli Panya Road ndiyo wameshindikana kiasi hiki mpaka kufikia mtu anapoteza uhai na nyie mpo?!
Ama huu ni mchongo wa mtu unaoibuliwa kila akitaka kupata maslahi yake anayoyajua...
Chama cha Akiba na Mikopo cha Jeshi la Polisi Tanzania, URA SACCOS kimekabidhi vifaa tiba pamoja na kompyuta kwa vikosi vya Jeshi la Polisi Tanzania.
Vifaa hivyo ni pamoja na vifaa tiba kwa ajili ya Hospitali ya Jeshi hilo iliyopo Kunduchi, Simiyu na Kumpyuta kwa ajili ya Kikosi cha Ufundi na...
Jeshi hili lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Raia
neno usalama wa Raia ndipo chimbuko la mabadiliko ninayoyaona mbeleni mwakahuu. Jeshi hili halijawahi kuwa karibu na Raia hata kidogo!
jamii ambayo inaweza kukimbilia polisi ni wezi wanapokuwa wamebananishwa kipigo kikaanza...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Kwa kweli Kwa Hali ilivyo, inabidi jambo kubwa sana lifanyike katika nchi yetu kubadili mifumo yetu ya ulinzi na usalama wa raia.
Asubuhi ya Leo, nasikiliza Power Breakfast ya Clouds FM, kuna habari ya kijana ISSA, ambaye amefanyiwa ukatili uliopitiliza na...
Wandugu juzi kati palitokea ajali pale Bunju iliyohusisha basi lilikua linatokea tegeta kwenda kanda ya kaskazini ambapo lilipofoka Boko lilitanua na kusababisha ajali ya msafara wa msiba wa aliyekuwa injinia wa TCRA Nd CHACHA ambaye mwili wake ulikuwa unapelekwa uwanja ndege ili kumpeleka...
Hili ni swali muhimu linalopaswa kujibiwa, Inafahamika kwamba miongoni mwa watoto hao wa Mahita yumo Mahita Omari ambaye sasa imefahamika kwamba amewekwa kwenye kundi la WATESAJI, au kwa jina la kisasa ni WATU WASIOJULIKANA, hatuna shida naye maana tayari ameanikwa hadharani na Mungu.
Swali ni...
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na Polisi kwa ajili ya mahojiano kituo cha polisi Mbezi, sababu haijajulikana.
========
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob amechukuliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano hata hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.