Leo nitafundisha baadhi ya haki zako raia mbele ya polisi
Polisi ni chombo cha serikali kipo cha ajili ya kulinda raia na mali zao
Kimsingi polisi wanatakiwa kuwa rafiki wa Raia ili kushirikiana kuondosha uharifu
Polisi hawapo juu ya sheria, wakikengeuka wanaweza kushtakiwa na mkono wa sheria...
Hali ya raia kuzuia polisi kukamata watu nchini Tanzania ni jambo linaloweza kuashiria mabadiliko makubwa katika mfumo wa utawala na usalama wa raia.
Katika kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na matukio kadhaa ambapo wananchi wamejitokeza kuzuia polisi wasiwakamate watu, ikiwemo waandamanaji...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni, Mwamba Kabisa, Boni Yai, amehitimisha sekeseke la kukamatwa kwake kinyama pale Hotelini, kwa kukataa kutoa maelezo Polisi na kuahidi kikakamavu kwamba, Maelezo hayo atayatolea Mahakamani, siku yoyote atakayopelekwa...
Polisi wamemaliza kufanya upekuzi nyumbani kwa Meya wa zamani wa Ubungo ambaye pia ni Kada wa CHADEMA, Boniface Jacob ambaye amekamatwa na Polisi jioni leo akiwa maeneo ya Sinza na kupelekwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay Jijini Dar es salaam leo September 18,2024 kisha baadaye kwenda nae...
Kumbe Bonny ni mtu poa tu, hana chochote cha hatari alichonacho nyumbani kwake zaidi ya king'amuzi cha DSTV na simu ya Tochi ya Tecno pamoja na jiko la gesi moja
Kada na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Ntobi amesema Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface Jacob, maeneo ya Msakuzi kwa ajili ya upekuzi. Mawakili wa Chama wapo hapa kushuhudia upekuzi.
Hii inakuja baada ya kutoka taarifa kwa Jeshi la Polisi kwamba linamshikilia Boniface...
Kupitia Mtandao wa X, Askofu Mwamakula amesema Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amenyakuliwa na defenda akiwa kikaoni Sinza, Dar es Salaam na haijulikani kapelekwa wapi. Sisi Askofu Mwamakula tunatoa wito kama ni Polisi wamemchukua waseme maana huyo ni kiongozi wa jamii...
Rais ameonyesha imani kubwa kwa vyombo vya dola. Ameonyesha wanafanya kazi nzuri na kuwapa motisha wakujielimisha zaidi.
Je, wananchi wanaimani na vyombo vya dola kama ilivyo kwake Rais?
Soma Pia: Rais Samia aahidi kulipa ushirikiano Jeshi la polisi kutimiza majukumu yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 17 Septemba, 2024...
Kutokana na vitisho vinavyotolewa na polisi dhidi ya haki za wananchi kutimiza haki zao kikatiba, ni wazi polisi wanaweza kuumiza watu hata kuua kwa kisingizio cha kuzuia maandamano.
Nashauri waandaaji wa maandamano kuandaa media coverage kubwa sana hasa kwa upande wa picha mnato na picha...
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mara baada ya Tamko Batili la Jeshi la Polisi la Kuzuia Maandamano Halali ya Chadema, Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema, amesema kwamba Wajibu Pekee wa Polisi kwenye mandamano yoyote ni kuimarisha Ulinzi tu, hawana Mamlaka yoyote ya...
Vijana wawili wamefariki dunia hii leo Septemba 11, 2024 baada ya wananchi 800 kuvamia na kufanya vurugu katika kituo cha polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita vurugu zilizoanzia katika eneo la mnada wa Lulembela baada ya watu wawili kuonekana wakiwa wamebeba watoto wawili na wananchi...
RPC Mstaafu Mh Jamal Rwambo amesema kabla hajakamatwa Mwananchi ana Haki ya kujua kwanini anakamatwa
Aidha Polisi mkamataji ni lazima ajitambulishe na kueleza kituo Cha Polisi anachotoka
Rwambo amesema hata kwenye upekuzi ni lazima wawepo mashahidi wa kushuhudia zoezi la upekuzi
Haikubaliki...
Agizo hili la Rais kwa vyombo vya Dola yaani kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mkuu wa Majeshi, ni AMRI ya Kirais iliyotolewa na Amiri Jeshi Mkuu.
Tunataraji angalau ndani ya saa 24 hadi siku 7, wote waliohusika kwa kupanga, kumteka na mauaji ya Mzee Ally...
Alipouwawa Professor Jwani Mwaikusa (sidhani kama nimepatia jina) na aliposhambuliwa Dr Ulimboka, na alipotekwa Mo Dewji, Jeshi la Polisi lilikuja mbele ya media na "Wahalifu" ambao sijui Hadi Leo waliishia wapi.
Nawasihi Sana, tusiendelee kuchezea uhai wa watu, Kuna Leo kuna Kesho, madaraka...
Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X
======
Ali Mohamed Kibao Ameuawa
Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA.
Mwili wa ALI...
ali kibao
chadema
jeshilapolisitanzania
kibao kutekwa
matukio watu kutekwa
matukio ya ukatili dar
serikali
tanzania
ugaidi
utekaji na mauaji
utekaji tanzania
watanganyika
watu wasiyojulikana
Polisi wameshindwa kufukua mwili unaodaiwa kuzikwa kimakosa katika kitongoji cha Dungi, Kijiji cha Kibosho Kindi, Wilaya ya Moshi, baada ya ndugu kudai hawana taarifa hiyo na kutaka waonyeshwe kibali cha kuwaruhusu kufanya hivyo.
Mwili huo unaodaiwa kuwa wa Richard Shoo, aliyefariki dunia Juni...
CHICAGO, MAREKANI Katika Picha ni washiriki wa Mkutano wa Mafunzo ya Shirikisho la Askari wa kike na wasimamizi wa sheria wakifuatilia ufunguzi wa mafunzo yaliyolenga kuwajengea uwezo wa kiutendaji shirikisho hilo Leo Septemba 01,2024 Katika Jiji la Chicago Nchini Marekani.
Polisi wametoa taarifa leo walizoita za uhakika kwamba wamepata taarifa Viongozi wa CHADEMA wamefanya kikao kwa njia ya zoom na kuhamasisha Wafuasi wetu kwenda Ofisi mbalimbali za Serikali na kuhamasisha Vijana kwenda Vituo vya Polisi na wakasema atakayekwenda kwenye Vituo vya Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.