jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Kwanini Jeshi la Polisi mnamuacha Mdude Nyagali anamdhalilisha Rais wetu pasipo kumchukulia hatua?

    Ndugu zangu Watanzania, Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki...
  2. Kaka yake shetani

    Jeshi la polisi mkiwa kama hivi mtakuwa mkipendwa sana

    Polisi kama huyu anaonyesha uwajibikaji wake kulinda amani na kusaidia pale jambo linapo wezekana. kumsaidia kusomesha mtoto ni jambo zuri https://www.youtube.com/watch?v=jyoBjJv64fs
  3. R

    Boniface Jacob: Habari mbaya kuhusu Kombo Mbwana Twaha

    Kutoka kwenye kinywa chake, siyo mimi 1. Ametembezwa mikoa 10 2. Muda wote alikuwa amefungwa kitambaa cheusi machoni for all 29 days 3. Ameteswa kishenzi 4. Amevunjwa vidole 5. Mlo mmoja per day etc etc etc --- HABARI MBAYA KUHUSU KOMBO MBWANA TWAHA 😭😭😭 Baada ya kutoa UPDATES za kuhusu...
  4. P

    Kupotea kwa watu: Je, kuna haja ya jeshi la polisi kutoa elimu kuhusu haki za mtuhumiwa na namna ya kukamatwa?

    Suala la watu kukamatwa na Kutoeka (a.k.a kukamatwa na wasijulikana) limekuwa la kawaida miongoni mwetu. Kwa yanayoendelea nchini huwezi kujua kama mtu kakamatwa na polisi au majambazi coz style ni ile ile. Polisi wakiwa kama wasimamizi wa sheria nchini wanahaki ya kumkamata mtu yeyote...
  5. KikulachoChako

    Taarifa: Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa wizi wa Carbon ya dhahabu

    Naomba msaada Huyu mtu kaiba mali ya kutosha Plant. Carbon zenye Dhahabu atakayemuona naomba tuwasiliane 0744419100 Kuna zawadi nono itatolewa. Sehem Carbon zimeibiwa na Majengo, sangambi chunya Mbeya. NB; NIMEIKUTA KWENYE MTANDAO WA X
  6. MIMI BABA YENU

    Rais Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la kisasa la Ofisi za Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi

    HABARI PICHA: Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi. Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa...
  7. Roving Journalist

    Dar: Anayedaiwa kutekwa naye asakwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za utekaji

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na mamlaka zingine za kisheria tunaendelea kufuatilia kwa karibu matukio ya ubakaji na kulawiti kwa watoto wadogo ambapo tangu mwezi Machi mpaka Julai Jeshi la Polisi limepokea taarifa nne kutoka kwa wazazi wa Mbagala na Temeke...
  8. W

    IGP Koome ajiuzulu, Ruto aridhia kujiuzulu kwake

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, IGP Japhet Koome amejiuzulu. Rais wa Kenya, William Ruto ameridhia kujiuzulu kwake. ===== NAIROBI, Kenya July 11, 2024 – Kenya’s Police Chief Japheth Koome has resigned following mounting pressure over police brutality during recent protests that rocked...
  9. Kaka yake shetani

    Nawapa tahadhari mnaopenda kutembea na pesa au kadi za benki

    Kuna mchezo hupo kupitia jeshi la polisi hapa Tanzania na ukikutwa na makosa hua ndio mpinzani unaweza kupoteza uhai au kutengenezewa kesi kulingana na pesa utakayokutwa nao. Hii tabia imejivisha sana hiki kikosi wanaojiita takforce .Kuna siku nilikuwa safari naelekea mkoa X na gari...
  10. Roving Journalist

    Dar: Mussa Khamis Bakari aka Buda, akamatwa kwa kumuua rafiki yake Abdallah Twahir Selemani kisha kumpora Milioni 61

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mkakati wake maalum wa kuzuia vitendo vyote vya kihalifu katika jiji la Dar es Salaam. Tarehe 28 Juni 2024 lilimkamata na kumuhoji kwa kina Mussa Khamis Bakari buda (30) wakala wa Forodha, Mkazi wa Temeke kwa tuhuma za mauaji ya...
  11. Cute Wife

    Naibu Kamishna Polisi (DCP): Wananchi Tanzania wanalifurahia jeshi lao la polisi

    "Tanzania ni miongoni mwa nchi chache katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambazo, askari na wananchi wana mahusiano mazuri kuliko nchi nyingine katika jumuiya hii, na wananchi wanalifurahia jeshi lao kwa namna linavyolinda maisha yao na mali zao". Naibu Kamishna wa Polisi (DCP)...
  12. passion_amo1

    Kunahitajika Chombo Huru cha kulichunguza Jeshi la Polisi, operesheni ya kukamata wanaotuhumiwa kuhusika na biashara ya ukahaba yaibua mengi

    Wakuu Heshima mbele. Tangu kutokee sekeseke la kukamatwa kwa wanaodaiwa ni “madada poa” nimeona kuna haja kubwa sana kuwe na chombo huru cha kuchunguza mienendo ya jeshi la Polisi na Polisi kwa ujumla. Video inayoonyesha wanaodaiwa ni madada poa wakiwa wanalalamika unyanyasi waliopotia...
  13. cleokippo

    Askari Polisi bandia aitwae Son, ageuka gumzo wilayani Sengerema jijini Mwanza kwa kuwatapeli Madereva wa vyombo vya moto

    Kijana mmoja almaarufu kwa jina la SON mkazi wa Sengerema jijini Mwanza amekuwa gumzo kwa wakazi wa wilaya hiyo kwa kujifanya askari wa jeshi la polisi. Kijana huyo mwenye mtandao mkubwa wa marafiki ambao ni ma askari amekuwa akitumia fursa hiyo ya kujuana na ma askari na yeye kujifanya...
  14. Johnson Yesaya

    SoC04 Jeshi La Polisi, "Mwiba Kwa Wananchi wa Tanzania" liundwe upya

    1.0 Utangulizi. Jeshi la polisi la Tanzania, ni kati ya majeshi mengi Afrika ambayo yanalaumiwa sana na wananchi kwa ukiukaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu ikiwemo kuua raia katika mazingira ya kutatanisha, kupora mali na fedha za wananchi wanapokuwa mikononi mwa polisi, kuwatolea...
  15. BigTall

    Malisa ahojiwa kwa saa tano, inadaiwa amefunguliwa mashtaka matatu

    #Updates Usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2024, Malisa amefikishwa Moshi Mjini, na Jeshi la Polisi limempeleka moja kwa moja Ofisi ya RCO. Taarifa kutoka CHADEMA zinaeleza kuwa Wakili Peter Kidumbuyo ameambatana na Malisa katika mahojiano hayo. Picha tofauti za Malisa na Boni wakiwa na Wadau...
  16. Mdude_Nyagali

    𝗝𝗲, 𝗵𝗮𝘄𝗮 𝗻𝗶 𝗮𝘀𝗸𝗮𝗿𝗶 𝘄𝗮 𝘂𝘀𝗮𝗹𝗮𝗺𝗮 𝗯𝗮𝗿𝗮𝗯𝗮𝗿𝗮𝗻𝗶 𝗮𝘂 𝗧𝗥𝗔?

    Jana tumepoteza watu 14 katika ajali iliyohusisha roli na magari mengine likiwemo basi la abiria mteremko wa Simike Mbeya. Kinachonisikitisha ni kwamba eneo hili lina askari wa usalama barabarani ambao badala ya kuongoza magari kutokana na hatari ya eneo hilo wao muda wote wako busy kukagua...
  17. Roving Journalist

    Polisi Moro lasema linachunguza madai ya Askari Polisi kumshambulia Mwananchi anayemiliki banda la kuonesha mpira

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linafuatilia malalamiko ya Wolter Fuime (32), Mkazi wa Mjimwema ambaye analalamika kushambuliwa na Askari Polisi waliokuwa doria. Kamanda wa Polisi Mkoa Morogoro, Alex Mkama-SACP amesema Mei 26, 2024 Askari Polisi walifika kwenye banda la Wolter analotumia...
  18. Kaka yake shetani

    Mipaka ya Tanzania kuna usalama mdogo. Kwanini Jeshi la Polisi lisengeweka kitengo kinaitwa ranger?

    Matukio unayosikia ya kutisha kama watu au mtu kuvamiwa na kuuliwa mengi yapo mipakani sababu wahalifu wanapata mwanya mzuri wa kukimbia au kuja. Jeshi la polisi linatakiwa kuweka kitengo cha polisi kinachoitwa ranger . majukumu yake ni polisi ambao wapo mipakani tu na vijijini vilivyo na...
  19. O

    Songwe: Mbaroni akidaiwa kumuua mumewe akishirikiana na hawara

    Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanamke mmoja na mtu mwingine anayedaiwa ni hawara yake kwa tuhuma za mauaji ya mme wa mwanamke huyo kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi. Watuhumiwa hao ambao majina yao hayajatajwa wanadaiwa kumuua Victor Mwakapenda (41), mkazi wa mtaa wa...
  20. Cute Wife

    Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi juu ya tuhuma za baadhi ya Trafiki kuhusika na uchepushaji wa fedha

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoandikwa na kusambazwa kupitia vyombo vya habari zikisema "Wachepusha mfumo wa malipo". Taarifa hiyo imeenda mbali zaidi ikidai na kutaka kuaminisha umma kuwa askari wa Usalama barabarani wameingilia mfumo wa malipo ya fedha za...
Back
Top Bottom